Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Nimechekakwa dhrauuuuuu, we jamaa akili yako bado ipo likizo, ngoja likizo iishe akili yako nayo Itakuwa imezidi,
 
Baada ya Mange kuandika IG anaweka kila kitu wazi naona umekuja kuanzisha uzi
Hii ndio hofu yao kuwadanganya Watanzania mtakayoambiwa siyo hahahhhh acha tuujue ukweli ajisemea Ravvyn 'tutabadilishana majengo ya serikali'
 
Hakuna jambo la kushangaza kama pale viongozi wa chadema na wanachama wao wanaposema vyombo vya dola vinahusika na utekaji , watu wanaopotea pamoja na shambulizi la risasi kwa mh Lissu.

Mwenyekiti wa chadema bw. Freeman Mbowe alisema kuwa wahusika wa matukio hayo ni vyombo vya dola, inachekesha lakini wacha tu niwakumbushe kidogo wapenzi wa chadema na viongozi wenu.

 Mwaka 2012, akiyekuwa mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema ambaye kwasasa ni Mbunge wa Bukoba Mjini bw.

Wilfred Lwakatare ameonekana kwenye moja ya clip akipanga mipango ya kuwateka na kuwaua waliokuwa wahariri wakuu wa magazeti ya mwananchi(bw. Msaki) na Tanzania daima(Absalom Kibanda). Nadhani kila mtu anajua kilichomtokea kibanda

 Matukio ya kupotea kwa Ben Saanane , kutekwa kwa Roma Mkatoliki pamoja na shambulio la risasi kwa Tundu Lissu halina tofauti na kutekwa na kuteswa kwa Absalom Kibanda ambaye alikuwa kiongozi wa Chadema pia mhariri mkuu wa gazeti la chadema (Tanzania Daima)

 Kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chadema ambayo kwasasa ipo chini ya BENSON KIGAILA ambaye kwasasa ndio nyota wa michezo ya kuteka, kuoteza, kuua na kuwatisha maisha wabunge na wanachama wa chadema.
Umeandika upuuzi ambao hata wewe kama usingekuwa mpuuzi basi ungeweza kuelewa kuwa ulichoandika ni Upuuzi ambao unatosha kabisa kukuwajibisha!! Ila tu kwa vile sikio la dola linachagua cha kusikia na macho ya dola pia yanachagua cha kuona sitashangaa ukiendelea kuwa huru na kuendelea kuurutubisha upuuzi wako! Ok! Unaweza kutujulisha kuwa huyo Lwakatare alipangaje,alipangia wapi,alikuwa na akina nani,na ni yupi kati yao aliyetekeleza tukio la Tundu lissu kushambuliwa kwa risasi? Vyombo vya usalama vinapaswa kuambatana na wewe kwenye uchunguzi wao(kama upo)
 
Hakuna jambo la kushangaza kama pale viongozi wa chadema na wanachama wao wanaposema vyombo vya dola vinahusika na utekaji , watu wanaopotea pamoja na shambulizi la risasi kwa mh Lissu.

Mwenyekiti wa chadema bw. Freeman Mbowe alisema kuwa wahusika wa matukio hayo ni vyombo vya dola, inachekesha lakini wacha tu niwakumbushe kidogo wapenzi wa chadema na viongozi wenu.

 Mwaka 2012, akiyekuwa mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema ambaye kwasasa ni Mbunge wa Bukoba Mjini bw.

Wilfred Lwakatare ameonekana kwenye moja ya clip akipanga mipango ya kuwateka na kuwaua waliokuwa wahariri wakuu wa magazeti ya mwananchi(bw. Msaki) na Tanzania daima(Absalom Kibanda). Nadhani kila mtu anajua kilichomtokea kibanda

 Matukio ya kupotea kwa Ben Saanane , kutekwa kwa Roma Mkatoliki pamoja na shambulio la risasi kwa Tundu Lissu halina tofauti na kutekwa na kuteswa kwa Absalom Kibanda ambaye alikuwa kiongozi wa Chadema pia mhariri mkuu wa gazeti la chadema (Tanzania Daima)

 Kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chadema ambayo kwasasa ipo chini ya BENSON KIGAILA ambaye kwasasa ndio nyota wa michezo ya kuteka, kuoteza, kuua na kuwatisha maisha wabunge na wanachama wa chadema.
Na bado mwaka huu!

Mtatajana wenyewe
 
Haya kachukue book 7
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.

Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan.

Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu wahusika na kusema watu waendelee kusubiri taarifa kutoka kwenye jeshi hilo

Amesema hawatapenda kuona mikusanyiko sehemu yoyote ya Dodoma mjini kwa sababu jeshi la polisi bado linafuatilia asili ya tukio lenyewe na mikusanyiko ya watu inaweza kutumika vibaya.
Pia wataendelea kuwafaamisha raia kwenye kila hatua watakayofikia

adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

Huyu bulicheka bin abunuwas aliikuwa wapi tarehe 7 Sept,2017 wakti Lissu anamiminiiwa risasi 38...????
Aache ujinga bhana.....Pambaf kabsa!
 
Hakuna asiyemjua Lisu juu ya majukwaa.
Upelelezi juu ya shambulio la Lisu usipokamilika kabla ya 2020 kuna jambo moja tu litatokea; version ya story ya Lisu mwenyewe ndio itakayokuwa version pekee ya hilo tukio.Hapa kuna mtu ataomba yai bichi ili alainishe koo jukwaani.

Okay, tuseme upelelezi lazima ukamilike , kwa maoni yangu, kitakachoendelea ni hiki hapa :
Kwanza kabisa kama tungeona drawing board ya 'watu wasiojulikana' , naamini mwisho kabisa ingesomeka, LISU and DRIVER dead- mission accomplished.

Kwanini?
Kwenye Assassination attempt , coverup story huandaliwa pamoja na plan ya assassination.
Hii inafanyika ili umma ulishwe story ambayo wapangaji wa tukio wanataka.

Ukimya ulioko mpaka sasa na fact kuwa Lisu na dereva wake wako hai inamaana version ya kwanza ya coverup story imeshakuwa invalid.

Kama tukio limetekelezwa na ambao Mheshimiwa Mbowe anawahofia na kama lingefanikiwa kwa asilimia 100 kama nilivyoeleza hapo juu, naamini kabisa sasa hivi tungeshaambiwa nani anahusika na akili inanituma kuamini dereva wa Lisu angehusishwa.Na kwasababu angekuwa amekufa basi, case closed, asingeweza kujitetea.

Dereva hajafa, so!
Second version ya coverup story itakuwa inapikwa muda huu. Itamuhusisha nani? ni ngumu kubashiri. Lakini ukifuatilia historia ya karibuni ya jeshi letu katika kutolea maelezo 'wahalifu' waliokufa, inawezekana kabisa tukasikia 'waliojaribu kumjeruhi Mheshimiwa Lisu wameuawa usiku katika majibizano ya risasi na jeshi la polisi . Tena wanaeza kutwa wanakunywa fanta au pepsi, alafu wakiona polisi wataanza kurusha risasi huku wanakimbilia kichakani. Jeshi la polisi litajihami na wenyewe watakufa.
Hautaona maiti yeyote, isitoshe pressconfere nce yaweza fanyikia ofisini so ngoma inaeza isha hivyo.
Ilaaaaa !!!!!ngoja kidogo......

Vipi kama Lisu na dereva wake wana ushahidi zaidi?
Ushahidi wa sura za watu kwa mfano .....
Usisahau Lisu ni mwanasheria ,one of the best!
Fani ambayo roho yake ni evidence/ ushahidi !

Coverup by expediency ndio kitakachofuata kama coverup story ya tatu.
Hapa tutaona watu mbalimbali wenye mamlaka na vyombo mbalimbali vikiungana kutengeneza coverup story.
Hii ni ngumu kwelikweli.
Ni kazi kwa watu wengi na vyombo vingi kwa pamoja kutoa story moja ya uongo inayofanana.

Unless the gods are crazy
Shambulio la Lisu ni bomb shell ya siasa za 2020.
 
Bombshell? I doubt it, any more than arap Ruto's saga in Bondo.
 
Ujinga huu CHADEMA mnaufanya
ujue sometimes nawaza nyie chadema akili zenu zikoje
enheee...ntawataja ntawataja..so what?
Kwani ni kitu gani ambacho Chadema haijataja hadi sasa
si wameshasema serikali inahusika ..tena mara nyingi
na hiyo serikali wala haijahangaika
Kwa hio inasaidia nini hiyo tishia nyau
Aisee hawa jamaa inabidi wajifunze siasa ngumu..Enzi za siasa za kikwete zimeshaisha
 
Si mmeshaambiwa mjadala huu umefungwa? Mbona mnawafundisha polisi kazi? Haya ukiwataja kuna faida gani? Ndio kuwakamata?
 
Back
Top Bottom