Uchaguzi 2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.

Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Mtoto siku zote uwa anarithi matendo ta Baba..Mmewaonyesha njia kwa kununua wapinzani sasa wanafuata mkondo...acheni kuwanyanyasa...
 
CCM hujisema wanapinga rushwa, na rushwa ni kosa la jinai! Onesheni rangi halisi - wapelekeni mahakamani!

La sivo tuhuma za rushwa zinatumika ili kuwamaliza wengine kisiasa. Juzi nilisema hapa TAKURURU inatumika kisiasa!! Ndio haya - eti “.....hatuwezi kuwapa uongozi....”
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.

Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Zilonga mbali zitendwa mbali ,CHAMA CHA MAFISADI kinawezaje kuwakataa watoa rushwa?
 
Hivi CCM bila rushwa hakichaguliwi?

Mpka sasa waliokuwa wabunge na wametia nia wanakamatwa kwa rushwa nitataja kwa ufupi waliotangazwa mpka sasa yawezekana ni wote ila irategemea uko vip na mamlaka ya uteuzi.

1. Kigwangala
2. Kibajaji (Lusinde)
3. David Mathayo
4. .....

Ila kubwa zaidi ni mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi kusambaza viskmu vya tochi vyenye nembo ya CCM a picha yake na ujumbe wa uchaguzi 2020 sasa hapa mteuliwa atamkamata mteuliwa kwa rushwa?

From Adbul Nondo

Chama cha mapinduzi @ccm_tanzania kimeandaa simu nyingi sana zenye nembo ya CCM na tone ya CCM ukiizima,ukiiwasha au ukiipokea.Sasa hivi wanazigawa kwa vijana kwa kuwatumia UVCCM nchini. Mfano, Juzi UVCCM walikusanya vijana sabasaba(Mlole) Kigoma na kuwagawia hizo simu hii ni Rushwa https://t.co/lLBdmXfacW
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.

Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi ni Kwa nini CCM kwenye uchaguzi wowote hawajiamini? Hakuna siku mwana CCM aliwahi kuamini kwamba mwananchi atamchagua bila kumhonga. kwa nini hawajiamini kwamba wanapendwa na kuaminiwa?
 
Ivi ccm bila rushwa hakichaguliwi?

Mpka sasa waliokuwa wabunge na wametia nia wanakamatwa kwa rushw nitataja kwa ufupi waliotangazwa mpka sasa yawezekana ni wote ila irategemea uko vip na mamlaka ya uteuzi.

1. Kigwangala
2. Kibajaji (Lusinde)
3. David Mathayo
4. .....

Ila kubwa zaidi ni mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi kusambaza viskmu vya tochi vyenye nembo ya ccm a picha yake na ujumbe wa uchaguzi 2020 sasa hapa mteuliwa atamkamata mteuliwa kwa rushwa?


From Adbul Nondo

Chama cha mapinduzi @ccm_tanzania kimeandaa simu nyingi sana zenye nembo ya CCM na tone ya CCM ukiizima,ukiiwasha au ukiipokea.Sasa hivi wanazigawa kwa vijana kwa kuwatumia UVCCM nchini.Mfano,Juzi UVCCM walikusanya vijana sabasaba(Mlole)Kigoma na kuwagawia hizo simu hii ni Rushwa https://t.co/lLBdmXfacW
Hivi kuna aliyewahi kuamini kwamba CCM inachukia rushwa? Huyo atakuwa mjinga namba moja Tanzania.
 
Tumesikia katika vyombo vya habari jinsi vitendo vya rushwa vilivyokithiri wakati wa kuwachagua wagombea wa ubunge na udiwani ndani CCM sehemu mbali mbali nchini.

Mfano uchaguzi wa kuchagua wagombea huko Musoma mjini ilikuwa ni aibu kubwa tumeona Takukuru wakitoa kadi fake zilizokamatwa zokamatwa na kiasi kikubwa cha fedha zilizokamatwa zikiwa zitumike kama Rushwa kwa wajumbe.

Hata inasemekana kuna ndugu wa mmoja wa wagombea ubunge alikamatwa na kadi fake akijaribu kupiga kura.

Ni muhimu kwa CCM kurudisha ule mfumo wa wanachama wote wapige kura ili kupata wagombea wazuri badala ya mtindo wa sasa wa wajumbe wachache ambao imekuwa ndio kichocheo kikubwa cha Rushwa.

Wengi wa wajumbe hawa huwa wanapandizwa wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM katika kuchagua viongozi mbali mbali na baadhi ya wagombea hawa wabunge kwa manufaa yao kisiasa.

Hata katika uchaguzi wa Meya CCM ilitupie jicho pia kwani baadhi ya wagombea wameanza kupanga na kutoa Rushwa ili wapate nafasi ya kuwa Meya. Mwenyekiti wa CCM John Pombe Magufuli anatakiwa kupata team nzuri na safi katika ujenzi wa taifa hill sio viongozi wabovu.
Rushwa ni Adui wa Haki
 
Kama Magufuli katika karne hii kaweza kuweka kura ya “Ndio” katika kumchagua ni nani ataweza kusema Rushwa hapana?

Yes na majabu yake yote lakini kuna watu walimkataa, magu ni nani yeye?

Note

Lakini kwa Yesu yeye wote waliyo mkataa hakuweza kuwapiga risasi.
 
Ngojea Dodoma Uone Mwenyewe Mwenyekiti Ataamua Jambo Kwa Haki
Je Ccm ita tenda haki??
IMG-20200805-WA0012.jpeg
 
Tunasaidia kuirahisishia Kaati Kuu ya CCM wiki hi kufyeka wagombea waliotoa rushwa na nitaahangaa mkiwarudisha. 1. Prof. Kabudi (Kilosa)
2.Prof. Ndalichako (Kasulu)
3. Ahamed Shabiby (Cairo)
4. Amosi Makala ( Mvomero)
5. Paul Makonda ( Kigamboni)
6. Peter Selukamba ( Kigoma Kas)
7. Dr. Molel ( Siha)
8. Fredy Lowassa (Monduli)
9. Jenister Mhagama (Peramiho)
10. Dr. Kigwangala ( Igunga)
Hiyo ni Top Ten bila kuonea unawesza kuongeza orodha kukisaidia chama.
 
Hii list bila supporting evidence hujafanya kitu. Hem weka vielelezo basi.
 
Tunasaidia kuirahisishia Kaati Kuu ya CCM wiki hi kufyeka wagombea waliotoa rushwa na nitaahangaa mkiwarudisha. 1. Prof. Kabudi (Kilosa)
2.Prof. Ndalichako (Kasulu)
3. Ahamed Shabiby (Cairo)
4. Amosi Makala ( Mvomero)
5. Paul Makonda ( Kigamboni)
6. Peter Selukamba ( Kigoma Kas)
7. Dr. Molel ( Siha)
8. Fredy Lowassa (Monduli)
9. Jenister Mhagama (Peramiho)
10. Dr. Kigwangala ( Igunga)
Hiyo ni Top Ten bila kuonea unawesza kuongeza orodha kukisaidia chama.
Mwiba Wa Mat*k* Yote Mawili
Changamoto Ni Namna Kutoa
 
Back
Top Bottom