Uchaguzi 2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

Hadi sasa naweza kuwa na uhakika na wagombea kama watatu ambao hawana harufu ya rushwa ambao ni mh Majaliwa ( Ruangwa), Prof Kitila ( Ubungo) na Prof Kabudi ( Kilosa).

Mungu wape ujasiri CCM wa kutuletea wagombea sahihi

Maendeleo hayana vyama!
Kwa kitila nahisi we ni mgeni ubungo mtafute ata dereva bodaboda atakuambia namna ilivyokua
 
Hadi sasa naweza kuwa na uhakika na wagombea kama watatu ambao hawana harufu ya rushwa ambao ni mh Majaliwa ( Ruangwa), Prof Kitila ( Ubungo) na Prof Kabudi ( Kilosa).

Mungu wape ujasiri CCM wa kutuletea wagombea sahihi

Maendeleo hayana vyama!

Rushwa zipo za aina nyingi,kila siku zinazaliwa mianya na mazingira mapya.
 
Uchaguzi huu umekaa vibaya sana kwa CCM. Makundi haya hayataki kusikia kitu kinaitwa CCM.

Vijana na ajira
Wahanga vyeti feki
Wafanyabiashara waliofilisiwa
Watumishi wa umma waliotumbuliwa kwa majungu
Wakulima wa korosho
Wafia chaman kutegwa mwenye teuzi....
Wahanga wa kesi mbalimbali
Wananchi maisha magumu kwa ujumlaa wake
 
Havi kwanini Majaliwa anaogopa kushindana kama jiwe kipindi cha ubunge wake?

Kwamba anaona jahazi linazama apitishwe mapema ili amsaidie Jiwe upande wa kusini ili kumnusuru?

Lissu atachukua 60 percent ya kula zote kusini.
Mkuu ni kura na sio kula.

Jifunze matumizi ya R na L ni mara kadhaa naona unazichanganya kwenye mabandiko yako, inaondoa ladha ya bandiko zima.
 
Hadi sasa naweza kuwa na uhakika na wagombea kama watatu ambao hawana harufu ya rushwa ambao ni mh Majaliwa ( Ruangwa), Prof Kitila ( Ubungo) na Prof Kabudi ( Kilosa).

Mungu wape ujasiri CCM wa kutuletea wagombea sahihi

Maendeleo hayana vyama!
Kwa taarifa yako hujuma kubwa inafanyika Ruangwa hivi sasa na wagombea wa CDM na ACT wamepigwa na kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, na WM anataka apite bila kupingwa, kweli ccm mna hofia demokrasia hata WM mwoga hivyo licha ya kuwa jukwaani miaka 5?!
 
Havi kwanini Majaliwa anaogopa kushindana kama jiwe kipindi cha ubunge wake?

Kwamba anaona jahazi linazama apitishwe mapema ili amsaidie Jiwe upande wa kusini ili kumnusuru?

Lissu atachukua 60 percent ya kula zote kusini.
nimeshangazwa na Majaliwa
 
Rushwa na kukubalika ni vitu viwili tofauti. Unaweza toa rushwa na bado ukachinjiwa baharini (kuna mifano hai) na unaweza ukatoa huku ukiwa unakubalika tayari.

Mfano Mwijaku hata angetoa rushwa ya milioni kwa kila mjumbe mnataka kusema angetoboa? Au steve nyerere?

Tuangalie na upande mwingine pia.
 
Kwa taarifa yako hujuma kubwa inafanyika Ruangwa hivi sasa na wagombea wa CDM na ACT wamepigwa na kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, na WM anataka apite bila kupingwa, kweli ccm mna hofia demokrasia hata WM mwoga hivyo licha ya kuwa jukwaani miaka 5?!
Na wao wanampingaje kijano wao mwenye majukumu makubwa taifani?

Anyway huu utaratibu wa kupita bila kupingwa Kikwete aliufuta!
 
Back
Top Bottom