GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa"

"Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi haipendezi unatazama kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."

 
Humphrey Polepole amesema "Ni Haki ya kila mmoja kugombea lakini haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."

View attachment 3426513
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Pole pole : kuwe na Viongozi wa kutosheka.

Kwa mantiki hii Nadhani CCM ifike hatua itosheke, Vyama vya siasa vipo vingi.

Pole pole : Hii nchi sio ya kifalme.
 
Huyu Polepole nadhani kuna wanaotamani kumlisu - ni vile tu hayupo Tz!
 
Sasa hapa tumwombe tu Polepole hii mijadala ianze kwenda na vitendo maana mda unakwenda na haurudi nyuma alafu hawa kenge nao ni kama wameshupaza shingo zao.

Angetwambia what next Ili tumalizane nao mapema
Yeah maana hakuna mantiki ya kuongea ongea tu wakati vitendo 0 wanakuwa wanamuona kwamba Hana madhara so way forward ni ipi !?
 
Back
Top Bottom