Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,732
Lini sasa twende tukakione, si utapunguza kidogo radhiya.....Ina maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman š
Lini sasa twende tukakione, si utapunguza kidogo radhiya.....Ina maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman š
Bei zako huwa zinachekesha mpaka nahisi unafanyaga comedyšIna maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman š
Nkimuonaga radhiya nakumbuka ule mjengo wa vingunguti.....Bei zako huwa zinachekesha mpaka nahisi unafanyaga comedyš
Subiri niutafute ule mjengo! Najua bado haujapata mtejašNkimuonaga radhiya nakumbuka ule mjengo wa vingunguti.....
radhiya mimi naitaka ile custom warehuse pale karibu na peninsula plaza bei inasimamia ngapi šIna maana nyinyi hamjawahi kuona maeneo yanauzwa kuanzia Bilioni? Mbona ni jambo la kawaida sana jaman š
Nipo nipo mikuu sema fanya juu chini isiwe weekend maana si unajua nikiye nae Weeknd hataki nitoke mkuuššš
Nusu umeze ulimi ššššš¤£š¤£
Hiyo bei...
Astaghafirullah
Ali K for real si unamjua?Ali yupi boss? Niunganishe nae kama inawezekana nimshirikishe kama atakuwa interested au unipe namba yake..