linauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Ghorofa zuri linauzwa Arushaa

    Ghorofa inauzwa B.2.7ml lip0 mjini Arusha Centre . Zipo floor 6 bado linafanya biashara . Nipm kama unahitaji
  3. C

    JamiiForums Tanzania SHAMBA hekari 8 linauzwa lipo mandera karibu na mizani mtowami Pwani

    Shamba linauzwa lililopo Mandera, karibu kabisa na Mizani ya Wami. 📐 Ukubwa: Ekari 8 💰 Bei: Tsh 2,500,000 kwa ekari 📄 Umiliki: Hati ya kijiji ipo 📍 Google Maps: Google Maps 📞 Kwa maelezo zaidi: 0753447870 Mteja serious tu tafadhali
  4. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

    Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo. Njoo DM tuongee naamini...
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania Eneo la ukubwa wa heka 3 linauzwa Mbezi mwisho

    🏢 ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI LINAPATIKANA — MBEZI MWISHO! Mbezi Mwisho, sio mbali na Stand ya Mabasi ya Mbezi Magufuli 🛣️ Linatazama moja kwa moja Barabara Kuu ya Mbezi–Msigani 📐 Ukubwa: Heka 3 ➡️ Sqm 12,300 ENEO BORA KWA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA! Eneo hili linafaa kwa miradi mbalimbali...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa Kinondoni Msisiri

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania *ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA* *LIPO DSM VICTORIA* *UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500* NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD *FULL DOCUMENTS*

    ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA LIPO DSM VICTORIA UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500 NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD FULL DOCUMENTS BEI NI USD $6m 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #beachplotsforsale #tanzaniantiktok🇹🇿 #houseforsale #creatorsearchinsights #viral_video_tiktok_treding
  8. A

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 400 linauzwa Ruvuma

    Habari wakulima wenzangu, Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba ya kuvunja inauzwa Kinondoni

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei...
  10. TUMBOO

    JamiiForums Tanzania shamba la hekari 114(sqm 463801) linauzwa ruvu kitonga

    habari za siku nyingi wakuu!! shamba la hekari 114.60(sqm463801)linauzwa… shamba lipo ruvu kitonga ni km kadhaa kutoka ruvu lipo pembeni ya mto ruvu bei 1.5m kwa heka moja na lina document zote kwa mauziano pia kwa anayehitaji heka chache chache anauza kuanzia heka 10 (hakuna dalali kaniomba...
  11. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Shamba la Ekari 2 linauzwa. Lipo Masugusugu eneo linaitwa Saeni

    Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba liko Saeni Misugusugu Kibaha maarufu kama Zogowale. Linakaribiana na maeneo ya uwekezaji wa viwanda hivyo ukinunua unakuwa umejiwekea hazina. Kila ekari moja inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25. Kwa mawasiliano zaidi njoo DM
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Leseni ya Makazi. Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Goba Maghorofani

    Eneo la ekari moja linauzwa Goba Maghorofani. Bei: Tsh. 160,000 per sqrmt. Mawasiliano: Wasiliana na mwenyewe moja kwa moja bila dalali 0788 284 554
  14. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Hisense Refrigerator lita 205, clean sana

    HISENSE REFRIGERATOR LITA 205 | CLEAN SANA ✅ BEI 550,000/= UBUNGO PLAZA Call/Whatsapp: 0749378669
  15. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo la shule linauzwa Goba

    Eneo hili la shule linauzwa Ukubwa wa eka moja na robo Lipo Goba kwa Ndambi Eneo ambalo mteja anaweza kujenga hata apartments kwa Goba zinalipa sana. Hapo ni Goba jirani sana na Mbezi Beach Masana Bei ya kutupa Tsh 650m/- mazungumzo yapo *Lina hati halali Anauza kwa hasara sana ili...
  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa bahari beach

    Eneo lenye Nyumba Iinauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Eneo/Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs...
  17. Sonship

    JamiiForums Tanzania Boma linauzwa Mbezi Msakuzi

    Boma la vyumba 2 Linauzwa Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha mwisho wa hiace zinazotoka mbezi stendi Linauzwa Mln 18 tu maongezi kidogo yapo Ukubwa wa eneo ni 20x23(460 m2) Vyumba 2(Master + single room) Jiko na baraza mbele na nyuma Public toilet na Sebule kubwa sana...
  18. Sonship

    JamiiForums Tanzania Ofa ya viwanja Kibaha kwa Mathias

    Ofa ya Viwanja Kibaha Kwa Mathias Kidenge B Vipo vya umbali wa km 4-kutoka kituo cha Mathias Lami Vipo vya Km km 6-Kutoka lami Nipazuri sana na huduma zote za kijamii zimefika Bei Ukubwa kuanzia: *million 2 ukubwa 16×13 *Milion 2.5 ukubwa 15×16 *Milion 3 ukubwa 15x19 *Milion...
  19. mtanashati halisi

    JamiiForums Tanzania Genereta kubwa linauzwa Tsh. 900,000/-

    Genereta aina ya boss kubwa naliuza tsh laki 9 tayar limetumika mwaka ... changamoto ni betri tu
  20. jaytravo

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Shamba la mitiki linauzwa Tanga Korogwe

    Shamba la mitiki LINAUZWA Mteja ambae uko serious Piga simu tuzungumze 0615636384 Miti iko 1700 Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza Karibu umalizie palipo Baki.
Back
Top Bottom