MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Hata ingekuwa mimi ningeingia mitini.
Kuna tuhuma za kujibu lakini sio zile.
Pole sana Kamishna BASHITE.
Kuna tuhuma za kujibu lakini sio zile.
Pole sana Kamishna BASHITE.
I wish ai kudu be NdalichakoI wish ai kudu be REPORTER
Hii haihusu kulinda heshima au kuficha aibu, kama ni kweli amevunja sheria basi ni jukumu la Jamhuri kumshtaki.TETESI; Leo alasiri anajiuzulu kuficha aibu yake na kumlindia heshima mteuzi.
To move somebody or something illegally or secretlyYeah biashara yeyote isiyo halali, Biashara haramu ndo huitwa Smuggling mtu anaitwa Smuggler sema inakua inafanyika outside Borders
Wote walioshutumiwa wachunguzwe...Nchemba. Kigangwala.Muhongo ........Kama makonda ni msafi, kwanini asitoe vyeti vyake hadharani anaogopa nini?i smell something fishy, si suala la kupiga picha na kuviweka hadharani?afterall kama ni halali vitamjenga na kukata vilimi limi wote
Wale wote mliowafuatiliaga kuhusu vyeti,eg Mwigulu, Kigwangala etc nini kinachoendelea?Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Swali lako halitobadili hoja iliyopo mezani hivi sasa..Wale wote mliowafuatiliaga kuhusu vyeti,eg Mwigulu, Kigwangala etc nini kinachoendelea?
Dogo anambebesha Mh Ndalichako zigo la misumari....akipindisha ukweli imekula kwakeThubutu,kamwe hawezi fanya hivyo,unless ushahidi wa vyeti utolewe wazi wazi
Awe Daudi awe Paul that kiumbe is awesome, that's it! Chapa kazi RC wetu!
Double satandard,kumbuka wengine waliachishwa kazi kwa ajili ya vyeti fekiAwe Daudi awe Paul that kiumbe is awesome, that's it! Chapa kazi RC wetu!
Balaa hilo