Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Awe Daudi awe Paul that kiumbe is awesome, that's it! Chapa kazi RC wetu!
Kama cheti siyo chake basi ni kinyume cha maadili katika tasnia ya taaluma. Ila siyo lazima kutumbuliwa kwa kuwa anachapa kazi sana
 
Awesome indeed...
Kufoji vyeti sio criminal offence...wala haihusiani na utendaji wa mkuu wetu wa mkoa aliyetukuka...
Nami nasema afoji tu, ikibidi hata cheti cha ndoa.
Huu ukaguzi wa vyeti ungeanza tu kwa waajiliwa wapya, tuwaache watumishi wachape kazi
 
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Kuna msemaji wke dada eliza aje hapa kujibu
 
Na nashangaa mpaka leo aliyemteua anachelewa kumtengua wakati hii ni Kashfa kubwa mno hasa katika ngazi zozote zile za Kiuongozi au Kiutawala popote pale duniani.
Siyo amtengue. Aliyemteua angeagiza mamlaka husika (wizara ya elimu) ihakiki na impe taarifa! Akikaa kimya inatoa nafasi ya kila MTU kuja na tafsiri yake kuhusu ukimya huu!!! Double standards ni sumu katika jamii! Hatuhitaji amtengue bila kuhakiki, tuhuma zihakikiwe kama si za kweli asafishwe! Kama ni za kweli afanyiwe kama wanavyofanyiwa wengine wa jinsi hiyo! Wengine hufanyiwa hivyo hadharani!
 
Ila ni aibu kubwa kwa Bi. Paulina kakonda kujifanya kichwaa halafu kumbe kilaza namna hiyo!!!? Nauliza tu kwa saut hivi uhakiki ulikua kwa wanyonge tu au ilikuaje!!?? Naomba Rais wa wanyonge atengue uteuzi wa huyu bibie haraka!!
 
Jamani Mimi huwa naamini humu jamii forum tuna watu wa kila aina...secta zote tunao..
Inaamaana tumekosa mfanyakazi wa necta atusaidie hii kazi ya kupata matokeo ya huyu Daud Bashite na matokeo ya paul Christian makonda??
Watumishi wa necta mliopo humu Jf tusaidiane ktk hili jambo jamoney hahaaaaaaaaaaaa
I wish I KUDU Bi a chair person of NECTA...# in baba Jessica voice[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Uwiiiiii mkuu you made ma day... Qwamba bi Paulina kakonda hahaaaaaaaa
 
Kama cheti siyo chake basi ni kinyume cha maadili katika tasnia ya taaluma. Ila siyo lazima kutumbuliwa kwa kuwa anachapa kazi sana
Hata wewe ni wazi unatumia cheti cha kufoji na utetezi wako ukiulizwa utakuwa "eti kinachofanya kazi ni cheti au Mimi!?"
 
Jamani Mimi huwa naamini humu jamii forum tuna watu wa kila aina...secta zote tunao..
Inaamaana tumekosa mfanyakazi wa necta atusaidie hii kazi ya kupata matokeo ya huyu Daud Bashite na matokeo ya paul Christian makonda??
Watumishi wa necta mliopo humu Jf tusaidiane ktk hili jambo jamoney hahaaaaaaaaaaaa
I wish I KUDU Bi a chair person of NECTA...# in baba Jessica voice[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Wasilete harakaharaka.

Huyu mtu anapaswa kushughurikiwa kwa taratibu na kwa muda mrefu ili maumivu yamwingie vizuri.
 
Kama cheti siyo chake basi ni kinyume cha maadili katika tasnia ya taaluma. Ila siyo lazima kutumbuliwa kwa kuwa anachapa kazi sana

Mkuu kwani Cheti cha form IV ni tasnia ya taaluma?

Au kinachoangaliwa hapa ni credibility ya kiongozi au kuitwa kiongozi Muheshimiwa ni neno lenye maana na matendo mbadala..

Labda Mkuu tufafanulie huo uchapa kazi unaongelea ili wote tuwe page moja..
 
Asitumbuliwe haraka, kwanza azodolewe kwa mediaaaaa...kisha baba upara amtumbueeeeeeee
 
Amekimbia!! Pia Mahakama wangepata reference anaweza kwenda kwenye redio binafsi tena saa 1 asubuhi anashindwa kwend mahakamani!! Pia atazidi kujikoroga! Naona anajuta kw nini alikuwa kimbelembele!! Nimeona clip ya wazazi wake wanaongea na media hadi huruma!! Anawatesa wazazi waanze kudanganya na kusema uongo!! Yamemkutaa
ndo atatia akili
 
Back
Top Bottom