Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,571
- 41,333
kwani Wananchi wanataka matokeo nenda na kile ulichofeli hata kama jina tofauti watakuelewa Ungekua Smart usimgefatiliwa maana cheo chako sio cha siasa ila umejiingiza kwenye Siasa uwe mpole tuu.