Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

daudi mchambuaji wa mambo pole sana bwana daudi albaert bashite..
 
UJINGA HAUONDOKI KWA KUMCHUKIA MWENYE AKILI, UMASKINI HAUONDOKI KWA KUMCHUKIA TAJIRI KADHALIKA NYEGE HAZIONDOKI KWA KUMCHUKIA MWENYE DEMU MKALI
Ukilikorogwa utakunywa tuuuu.... Kwa bakuli au mrija. Maana hakuna namna!!! Tulia sasa tukunyweshe.
 
We unafkiri hayo maswali aliyokuwa anakuja kukumbana nayo ni ya kitoto? Au labda bado anayatafutia majibu mujarabu akija anayapangua yote
 
Kwann asitafutwe huyo paul Christian wa Tabora tumsikie kwanza??
Huyo hawezi kutoa ushirikiano maana naye alitenda jinai kugawa cheti chake! Hii sakata ni ya kumalizwa na yule mama wa elimu ambaye anaheshimika kwa kusimamia viwango, yetu macho!
 
Next tyme akitoa kisingizio kama hicho mpigieni simu Live katika kipindi ili ajibu tuhuma hizo zinazomkabili. Sio lazima afike studio ndio ahojiwe.
 
Iv mnafikili kujibu tuhuma zote hzo ni rahisi!! Ombea usiwe ww
Ni rahisi sana kujibu kama tuhuma siyo za kweli! Unaenda pale na vyeti vyako tangu cha primary hadi cha chuo! Unapigia Simu live school mates wako na wakuu wa SHULE ulikosoma na makelele yote yanaishia hapo!
Lakini kama tuhuma ni za kweli ni ngumu sana huwezi kuthubutu! Na ukithubutu unaadhirika sana! Ni afadhali kukaa kimya na kusubiri maamuzi ya mamlaka yako ya ajira!
 
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James amethibitisha kuwa Paul Makonda hatafika katika kipindi za Power breakfast (PB) Makonda alitarajiwa kujibu tuhuma za kununua cheti za Kidato cha nne.

Makonda amesema amepata dharura ya majukumu ya kiserikali.
hahaha leo wana ile kesi ya mbowe yaani aidharau mahakama halafu awe clauds lazma wangemshika tanganyika jeki...............
 
Ni rahisi sana kujibu kama tuhuma siyo za kweli! Unaenda pale na vyeti vyako tangu cha primary hadi cha chuo! Unapigia Simu live school mates wako na wakuu wa SHULE ulikosoma na makelele yote yanaishia hapo!
Lakini kama tuhuma ni za kweli ni ngumu sana huwezi kuthubutu! Na ukithubutu unaadhirika sana! Ni afadhali kukaa kimya na kusubiri maamuzi ya mamlaka yako ya ajira!
Hyo ni moja, ya Elimu. Anazo kibao thana
 
Mkuu, huyu hakuwahi hata kusoma Tangazo la Katibu Mtendaji wa Necta ambalo liliwaomba wananchi kutoa taarifa za wale wanao-forge vyeti. Kama suala la cheti cha mtu ni la mwajiri, kwa nini Katibu Mtendaji wa Necta aliomba wananchi watoe taarifa?
Tujitume kutafuta hela huyu jamaa ana 59yrs lakin njaa inamfanya aweweseke na kujiaibisha kwa ajili ya dogo ambaye anaweza kumzaa
 
Kwa namna ninavyomfahamu huyu jamaa, kama angekuwa kasingiziwa wakati hakufoji na vyeti anavyo visivyo na shaka lolote, nadhani angeahirisha safari ya nje ya nchi akaja na mavyeti yake tena kwa makomfidensi ili kuwatahayarisha watesi wake. Sasa nashangaa kuona anakwepa kutolea maelezo tuhuma zinazomkabili
 
Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu
 
Back
Top Bottom