py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,454
Tusidanganyane kuna vitu 4 havizuiliki hazina baunsamkuu huko ndo kunakoitwa kujitoa kwa ajili ya Mungu, ukifata matamanio ya mwili basi kuna mambo mengi sana utalazimika kuyafata, mwili ni mdhaifu sana kama hutaamua kuuzuia. Pia nikuambie tu hizo shahawa na nyege zinazuilika kwa namna zingine kama vile kufanya mazoezi na kuwa busy na kazi, mtu aliye busy na kazi wala hayo hawezi kuwa na hamu nayo, kama umepitia JKT utanielewa, mawazo ya ngono siku zote ni kwa watu wasiokuwa na kazi yaani iddle mind.
1.kifo
2.njaa haina baunsa
3.usingizi
4.Nyege
Kaa miezi 8 tu bila kufanya ngono au kujichua ,shahawa zitakuwa nyingi mno na hapo jifanye upo busy ,Fanya mazoezi lkn bado nyege zitakuendesha tu hapo sisemi mwaka
Nature ya Mungu huwezi kufight nayo ,..njaa ,usingizi na nyege
Mwanaume anayekula vyakula hivi zenye mafuta ,..shahawa zikiwa nyingi ni kama vile njaa ikukamate ,..hili suala napingana nayo sana
Huwezi kujitoa kwa Mungu kipindi njaa imekukamata ,usingizi umekushika na nyege ikushike mwezi utavumilia ,miezi 2 utavumilia ,3 ,4 ,5 lazima utakengeuka tu
Mazoezi ,busy sio solution