Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Kazi sio ya kulima au kuzalisha kiwandani tu. Kazi wanayoitiwa Mapadri na watawa ni hiyo ya kuinjilisha Ulimwengu. Ni kazi na ndio maana wanafikia hata PhD katika suala zima ili waweze kuimudu vizuri na kuifanya iwe sustainable kama alivyotaka Yesu Kristu. Na ni mkakati huu wa kuamka na kulala huku concentration ikiwa uinjilishaji ndio Kanisa limefanikiwa kujipatia waumini wengi kuliko imani zingine katika Ukiristu au madhehebu mengineyo.

haya sasa mauongo ya ukatoliki yanaanza kuwekwa kweupe. na bado. gather up manguvu ya kidini na kisiasa ili mfanye yenu. mwenye sikio na asikie
 
Mkuu nimependa aina ya majibu unayoyatoa...!!!

Kuna watu wako macho usiku na mchana kuona hilo likitukia ndani ya Kanisa ila wanatakiwa wajue historia ndefu na ngumu ya Kanisa, haya mambo yanayotukia leo yatapita kimyakimya kutokana na uzoefu Mkubwa wa kukabiliana na changamoto ktk historia yake...

Watangoja sana hao....!!!

😛😛😀😀😀😀 the thing is uongo unafichuka kirahisi sana. neon la Mungu wa mbinguni halidhihakiwi namna ukatoliki unavyolidhihaki. ole wenu itakapofika siku ya aibu 😛😛😀😀😀😀
 
Mkuu kutooa sio msimamo wa kanisa bali nadhili ya useja kwa mtu binafsi. Je inajua hadi muda huu kuna mapadre halali wenye familia?
Kama kwa Orthodox church sawa, sio Roman rite!
 
Ama kweli, dini inapobadili imani na misimamo yake, inatia Shaka mno uhalali wa dini yenyewe.
Msingi wa mafundisho ya Kanisa ni Biblia. Hilo la kutokuoa kwa makasisi ni utaratibu wa kanisa ili kurahisisha jukumu la kueneza injili, siyo takwa la biblia na papa amesema linajadilika. tatizo lipo wapi? Ishi kwa kuzingatia maandiko ya Biblia, siyo taratibu za kanisa kwa kundi husika ndani ya kanisa ambalo kimsingi siyo kundi lako. Rudi katika katika historia ya kanisa Katoliki uone kama zamani makasisi walikuwa wanaoa au la.
 
Kuna watu wanaamini kanisa katoliki kuruhu mapadri kuoa ni dalili ya kanisa kushindwa, jitahidi kuwaeleza kanisa alishindani na mtu bali linajitahidi kuweka mambo sawa
 
Kuna watu wanaamini kanisa katoliki kuruhu mapadri kuoa ni dalili ya kanisa kushindwa, jitahidi kuwaeleza kanisa alishindani na mtu bali linajitahidi kuweka mambo sawa
mr. nguvu, hilo kanisa halishindwagi kitu na kwa taarifa tu halitashindwa hata kwenye hili. mambo yalivyo ni kuwa litakusanya nguvu nyingi za kidini na kisiasa na litaweza kufanya lolote na litakuwa ndio mtawala wa dunia mwishowe. hakuna atakayeweza kulizuia kwa kutumia nguvu za nyama na damu. litafanya makufuru mengi hata mwisho wa dunia na kitakacholiangusha ni nguvu za Yesu mwenyewe ajapo mara ya pili.
 
😛😛😀😀😀😀 the thing is uongo unafichuka kirahisi sana. neon la Mungu wa mbinguni halidhihakiwi namna ukatoliki unavyolidhihaki. ole wenu itakapofika siku ya aibu 😛😛😀😀😀😀
Usione niko kimya ni kwamba nashindwa kuelewa kinachokufurahisha ni kitu gani..????
 
Usione niko kimya ni kwamba nashindwa kuelewa kinachokufurahisha ni kitu gani..????

kwani wewe huwa unaelewaga hata vitu rahisi? hebu endelea kuhangaisha kichwa kidogo maana asiyejua maana haambiwi maana 😛😛😛😛😀😀😀😀. ukipata maana rudi utuambie. wale wenzako sijui wako wapi saa hizi
 
mr. nguvu, hilo kanisa halishindwagi kitu na kwa taarifa tu halitashindwa hata kwenye hili. mambo yalivyo ni kuwa litakusanya nguvu nyingi za kidini na kisiasa na litaweza kufanya lolote na litakuwa ndio mtawala wa dunia mwishowe. hakuna atakayeweza kulizuia kwa kutumia nguvu za nyama na damu. litafanya makufuru mengi hata mwisho wa dunia na kitakacholiangusha ni nguvu za Yesu mwenyewe ajapo mara ya pili.
We boya unaandika upupu gani? Jitahidi kusoma na kuelewa, au nawe unaamini kuruhusu mapadri kuoa ni kushindwa kwa kanisa?
 
Kwani ni dini gani ilishawahi kushindwa kitu?
 
We’re on the same page Mkuu. Kumbuka pia zile kesi za kulawiti USA na Europe.
Mkuu kesi za ulawiti na ushoga nadhani ni ngumu kuthibitisha Kua zina uhusiano wa moja kwa moja na kutokuoa. Kuna dini zinaruhusu viongozi wao kuoa wengine hata mke zaidi ya mmoja lakini bado tunasikia kesi za kulawiti na uzinzi. Me nadhani tuliangalie kimaadili ya kawaida kuliko kidini. So kanisa liamue moja tu maana kabla ya kuingia mtu anajua kabisa hakuna kuoa na hawalazishi Kua padri wakiona huwezi wanaacha tu
 
We boya unaandika upupu gani? Jitahidi kusoma na kuelewa, au nawe unaamini kuruhusu mapadri kuoa ni kushindwa kwa kanisa?

you don't have a clue what or who you're talking about. so just keep your peace.
 
View attachment 623282

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.

Hata hivyo, imefahamika kuwa pengine pendekezo hilo likawaruhusu mapadre wa Brazil pekee kutokana na mjadala unaoendelea nchini humo. Hivi karibuni Askofu wa Brazil, Kadinali Claudio Hummes alimwomba Papa Francis kufikiria kuondoa sheria inayowakataza makasisi kufunga ndoa.

Ingawa pendekezo hilo la Papa Francis huenda likapunguza tatizo la uhaba wa wanaume wanaojiunga kwenye utumishi huo, lakini linatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa waumini wenye msimamo mkali na hata pia kusababisha mgawanyiko ndani ya kanisa.

Ombi hilo linatarajiwa kujadiliwa katika kikao cha baraza la kanisa kinachotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu nchini Brazil.

Kanisa Katoliki linahubiri mafundisho ambayo yanapiga marufuku makasisi wake kufunga ndoa ingawa kumekuwa na baadhi wanaovunja mwiko huo na kuisha maisha ya ndoa. Hata hivyo, wale wanaochukua uamuzi huo hujitenga na kanisa.

Kasisi moja aliyetambulika kwa jina la Paddy O’Kane amenukuliwa na baadhi ya magazeti akielezea uwezekano wa Papa Francis kuchukua uamuzi wa kuwafungulia mapadre kifungo cha kutokua wakati wowote mwezi huu.

“Hivi karibuni nilimsikia Papa anataka kutekeleza ombi alilolipata toka Brazil kama jaribio lake la kwanza,” alisema.

Papa Francis na mtangulizi wake, Benedict XVI wamekuwa wakieleza kuwa suala la makasisi kutoruhusiwa kuoa siyo jambo lisiloweza kubadilika na kwamba jambo hilo linajadilika.

Chanzo: Mwananchi
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Kwahiyo anayepanga sheria " katika dini ya Mungu ni binaadamu !!!? Aisee .. hizi dini zenu hizi kweli ni Changa la macho hahaha ..khaaa!!!
Yaani mungu ana saidiwa kupangiwa sheria duuh sasa hapo ukamilifu wake uko wapi !!? Endapo kwamba kuna mambo mengine nyeti anashindwa kuyaongoza mpaka asubiri msaada wa kibinaadamu (mimi nilidhani Kwamba swala la makasisi kutokuoa ni amri ya mungu) sasa kama dini ya mungu imekuwa inafanyiwa marekebisho namna hii kama tafiti za kisayansi jamani jamani kuna haja ya sisi kutoweza kuona kwamba hizi dini zina mushkeri " hebu tuonyeshe kujitambua basiii jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu katuumba kwa mfano wake so tu wasaidizi wake. Mbona wenzetu Waislam wanampinia Allah wao?!?
 
Back
Top Bottom