Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

These are your statements. It seems to me your are confused.

Be clear, what is your point?
My point kwann huwa mnawaangali Makasisi wa Kanisa Katoliki...???

Vp kuhusu wanandoa leo wenye michepuko ya kutosha wkt tayari wameshafanya Maagano na Mungu mbele ya Kanisa....????

Vp hao Wachungaji walioachwa na Luther leo hii tunapishana nao guest houses na wakiwa na wanawake nje ya wake zao....???!

Vp Mashekhe leo wamekuwa wakitanua na wabinti nje ya ndoa zao...???

Kwanini mnalitolea macho Kanisa Katoliki tuu....????
 
Wapi nimesema in your country
? Nipe ushahidi? Hivi unafikiri hii Tanzania ni Nchi yako wewe tu? Wewe ni mtu mjinga sana.

Grow up, try to stick to the topic and read carefully what is written before you jump to reply.
Bro you said "even to our country"..!!!stop blinding yourself...
 
Bro you said "even to our country"..!!!stop blinding yourself...

Bro, now you have quoted me right, i did say even to our country not in your country there is massive difference between the two. I did provide evidence in the same post. So now we have establish i did not say in your country. What exactly is your beef with me?
 
Vp kuhusu Masista nao wataruhusiwa kuolewa? Mana naona kama limesemwa upande mmoja. Au ndio father atatakiwa kuoa sista?

Au hata msela ntakua na uhalali wa kuoa sista?
 
My point kwann huwa mnawaangali Makasisi wa Kanisa Katoliki...???

Vp kuhusu wanandoa leo wenye michepuko ya kutosha wkt tayari wameshafanya Maagano na Mungu mbele ya Kanisa....????

Vp hao Wachungaji walioachwa na Luther leo hii tunapishana nao guest houses na wakiwa na wanawake nje ya wake zao....???!

Vp Mashekhe leo wamekuwa wakitanua na wabinti nje ya ndoa zao...???
the Kwanini mnalitolea macho Kanisa Katoliki tuu....????

Kwa sababu hii ndiyo mada ya huu uzi. Hamna mtu aliyesema kwamba hata madhehebu mengine na dini nyingine ni better zaidi ya RC.

Pia hata sisi wengine tuna ndugu ambao pia wako RC. Fungua basi uzi mwingine utakaohusisha dini zote. Wewe umetoka kwenye mada ya huu uzi

Huu uzi ulikuwa unahusu: - Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe.
 
Wakiruhusiwa kuoa pia wakajiajiri /Wafanye Kazi ili kulisha familia zao. Wasitumie pesa zetu za sadaka kujirisha na familia zao.
 
View attachment 623282

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.
Chanzo: Mwananchi

Kha! Kumbe Papa ndie aliezuia Mapadri wasiowe,mi nilizani ni sheria ya Mungu.
 
Wamechoka kufirana kwa kujificha inabidi papa awakubalie "kuoa" na haitajalisha unaoa nani muhimu ni kuoa na kwa vile kanisa au wenye dini "weupe" wenyewe wamehalalisha kuoa ni kuoa tu awe mke kwa mke su mume kwa mume. Na hii itapelekea mikasisi na mapadre yakaoana yalifungiwa soku nyingi tusubiri tuone huko "kuoana"
 
Wakiruhusiwa kuoa pia wakajiajiri /Wafanye Kazi ili kulisha familia zao. Wasitumie pesa zetu za sadaka kujirisha na familia zao.
Hawatakuwa na familia labda walee mayatima.
View attachment 623282

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.

Hata hivyo, imefahamika kuwa pengine pendekezo hilo likawaruhusu mapadre wa Brazil pekee kutokana na mjadala unaoendelea nchini humo. Hivi karibuni Askofu wa Brazil, Kadinali Claudio Hummes alimwomba Papa Francis kufikiria kuondoa sheria inayowakataza makasisi kufunga ndoa.

Ingawa pendekezo hilo la Papa Francis huenda likapunguza tatizo la uhaba wa wanaume wanaojiunga kwenye utumishi huo, lakini linatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa waumini wenye msimamo mkali na hata pia kusababisha mgawanyiko ndani ya kanisa.

Ombi hilo linatarajiwa kujadiliwa katika kikao cha baraza la kanisa kinachotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu nchini Brazil.

Kanisa Katoliki linahubiri mafundisho ambayo yanapiga marufuku makasisi wake kufunga ndoa ingawa kumekuwa na baadhi wanaovunja mwiko huo na kuisha maisha ya ndoa. Hata hivyo, wale wanaochukua uamuzi huo hujitenga na kanisa.

Kasisi moja aliyetambulika kwa jina la Paddy O’Kane amenukuliwa na baadhi ya magazeti akielezea uwezekano wa Papa Francis kuchukua uamuzi wa kuwafungulia mapadre kifungo cha kutokua wakati wowote mwezi huu.

“Hivi karibuni nilimsikia Papa anataka kutekeleza ombi alilolipata toka Brazil kama jaribio lake la kwanza,” alisema.

Papa Francis na mtangulizi wake, Benedict XVI wamekuwa wakieleza kuwa suala la makasisi kutoruhusiwa kuoa siyo jambo lisiloweza kubadilika na kwamba jambo hilo linajadilika.

Chanzo: Mwananchi
 
Katika moja ya makanisa kongwe duniani, kanisa la Orthodox - ambalo ndipo kanisa Katoliki lilipotokea, hili limeshafanyiwa kazi na ni jambo la muda tu kubadilishwa hata huko katoliki.
Acha uongo mkuu...unadanganya ili iweje...

Orthodox Church au Eastern Church lilijitenga na Kanisa Katoliki (Western Church)kanre ya 11....Kabla ya hapo Kanisa lilikuwa moja tuu..yaani Katoliki..

Na hiyo ndio schism ya kwanza kabisa ndipo ikafuatiwa na ile ya Martin Luther
 
Kwa wa orthodox, kama padre anahudumia parish basi ni lazima awe ameoa. Kwa wale wanaobaki katika conventi basi wana uhuru wa kutokuoa.
Daah...hizi information huwa mnazitoa wapi.???

Mapadre wa Kawaida ndio wanaruhusiwa kuoa...ila kwa Bishop si ruhusa kuoa
 
Katika moja ya makanisa kongwe duniani, kanisa la Orthodox - ambalo ndipo kanisa Katoliki lilipotokea, hili limeshafanyiwa kazi na ni jambo la muda tu kubadilishwa hata huko katoliki.

Kwa wa orthodox, kama padre anahudumia parish basi ni lazima awe ameoa. Kwa wale wanaobaki katika conventi basi wana uhuru wa kutokuoa.

Nadhani ni jambo jema.
Duh ....Kanisa Katoliki litokee Orthodox? Nenda kwenye source rasmi za Kanisa hilo utakuta hata wenyewe wameweka historia ya kweli na sababu ya mgawanyiko ....
 
Back
Top Bottom