Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Aisee waoe tu ila nawaonea huruma sana wana parokia na makanisa yao.Maana sasa watalisha familia ya padri,wakwe zake na ndugu wengine watajazana pale.

Hawatakuwa tena wakikaa pale parokiani. Kama parokia zina mapadre 3 - 4. Je, hapo si unataka kuleta ngumi?? Shida yangu sio kwa mapadre bali na hao masista wao hawajisikii?? Nadhani huu ni mwanzo wa kuanguka kwa ile dola kubwa. Kweli sasa naamini, Hakuna marefu yasokuwa na ncha
 
Hawatakuwa tena wakikaa pale parokiani. **** parokia zina mapadre 3 - 4. Je, hapo si unataka kuleta ngumi?? Shida yangu sio kwa mapadre bali na hao masista wao hawajisikii?? Nadhani huu ni mwanzo wa kuanguka kwa ile dola kubwa. Kweli sasa naamini, Hakuna marefu yasokuwa na ncha
Endelea kusubiria dodo kwenye jangwa..
 
nitashangaa sana na hili haliwezi kutokea, anayeshindwa mashariti anayo ruhusa ya kuacha upadre na kuoa, kwa nini wanataka vyote? isitoshe hata wakiruhusiwa kuoa si kwamba ndo hawatatenda dhambi, kuna watu wana ndoa na bado wanatoka nje ya ndoa zao.
Wakiruhusiwa unitag mkuu....
View attachment 623295

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.

Hata hivyo, imefahamika kuwa pengine pendekezo hilo likawaruhusu mapadre wa Brazil pekee kutokana na mjadala unaoendelea nchini humo. Hivi karibuni Askofu wa Brazil, Kadinali Claudio Hummes alimwomba Papa Francis kufikiria kuondoa sheria inayowakataza makasisi kufunga ndoa.

Ingawa pendekezo hilo la Papa Francis huenda likapunguza tatizo la uhaba wa wanaume wanaojiunga kwenye utumishi huo, lakini linatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa waumini wenye msimamo mkali na hata pia kusababisha mgawanyiko ndani ya kanisa.

Ombi hilo linatarajiwa kujadiliwa katika kikao cha baraza la kanisa kinachotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu nchini Brazil.
Kanisa Katoliki linahubiri mafundisho ambayo yanapiga marufuku makasisi wake kufunga ndoa ingawa kumekuwa na baadhi wanaovunja mwiko huo na kuisha maisha ya ndoa.

Hata hivyo, wale wanaochukua uamuzi huo hujitenga na kanisa.
Kasisi moja aliyetambulika kwa jina la Paddy O’Kane amenukuliwa na baadhi ya magazeti akielezea uwezekano wa Papa Francis kuchukua uamuzi wa kuwafungulia mapadre kifungo cha kutokua wakati wowote mwezi huu.

“Hivi karibuni nilimsikia Papa anataka kutekeleza ombi alilolipata toka Brazil kama jaribio lake la kwanza,” alisema.
Papa Francis na mtangulizi wake, Benedict XVI wamekuwa wakieleza kuwa suala la makasisi kutoruhusiwa kuoa siyo jambo lisiloweza kubadilika na kwamba jambo hilo linajadilika.
 
Katika moja ya makanisa kongwe duniani, kanisa la Orthodox - ambalo ndipo kanisa Katoliki lilipotokea, hili limeshafanyiwa kazi na ni jambo la muda tu kubadilishwa hata huko katoliki.

Kwa wa orthodox, kama padre anahudumia parish basi ni lazima awe ameoa. Kwa wale wanaobaki katika conventi basi wana uhuru wa kutokuoa.

Nadhani ni jambo jema.
 
Mkuu mbona Church Of England (Anglican Church) and Lutheran church allowed their Ministers, Priests and Pastors to marry.
Ndio mjue dini za kutengenezwa na padri hizi...na mashoga pia wanaruhusiwa kuongoza kanisa...napita tuu
 
2 NOVEMBER 2017 • 2:59PM

Pope Francis has requested a debate over allowing married men in the Amazon region of Brazil to become priests, in a controversial move that is likely to outrage conservatives in the Church, Vatican sources say.

The pontiff took the decision to put a partial lifting of priestly celibacy up for discussion and a possible vote by Brazilian bishops following a request made by Cardinal Claudio Hummes, the president of the Episcopal Commission for the Amazon, Il Messaggero newspaper quoted the sources saying.

Cardinal Hummes reportedly asked Francis to consider ordaining so-called viri probati, married men of great faith, capable of ministering spiritually to the many remote communities in the Amazon where there is a shortage of priests, and evangelical Christians and pagan sects are displacing Catholicism.

The cardinal's request has been echoed by Monsignor Erwin Krautler, the secretary of the Episcopal Commission. He has also suggested that the bishops attending the synod in 2019 on the Amazon, now being prepared in Rome, should consider ordaining women deacons as priests.
(shida ni wanaume hawajitokezi kuwa mapadri)
 
Katika moja ya makanisa kongwe duniani, kanisa la Orthodox - ambalo ndipo kanisa Katoliki lilipotokea, hili limeshafanyiwa kazi na ni jambo la muda tu kubadilishwa hata huko katoliki.

Kwa wa orthodox, kama padre anahudumia parish basi ni lazima awe ameoa. Kwa wale wanaobaki katika conventi basi wana uhuru wa kutokuoa.

Nadhani ni jambo jema.

Uko sawa kabisa Mkuu, it is only matter of time. The RC needs to come into 21 century and make effort to stop abuses, especially children abuses. It happens even in our country. But very few people are talking compare to other countries:- He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
BBC NEWS | Africa | Tanzanian priest molested child

The important thing is not not to be defensive but to change. Martin Luther started reformation 500 years ago (Lutheran Church, Protestant movement). It is high time RC start to reform itself.
 
I actually think this current pope is genuine, honesty and true. Probably one of the best Pope for the last 200 years. 8 Ways Pope Francis Is Changing the Direction of the Catholic Church. If anybody can reform the church he is the man to do it.

Here he is washing prisoners, women, muslims and refugees feets. He actually care for the least among us. His mission is to relieve suffering for the underprivileged, the poor, the marginalized and the victims of war.

pope_feet_1_3255867b.jpg
img.jpg

foot-washing-300x248.jpg

PA-22647547-800x500.jpg
 
Hawatakuwa tena wakikaa pale parokiani. **** parokia zina mapadre 3 - 4. Je, hapo si unataka kuleta ngumi?? Shida yangu sio kwa mapadre bali na hao masista wao hawajisikii?? Nadhani huu ni mwanzo wa kuanguka kwa ile dola kubwa. Kweli sasa naamini, Hakuna marefu yasokuwa na ncha
Unavyojadili utafikiri hii taarifa ni ya kweli pole sana mkuu.
 
Uko sawa kabisa Mkuu, it is only matter of time. The RC needs to come into 21 century and make effort to stop abuses, especially children abuses. It happens even in our country. But very few people are talking compare to other countries:- He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
BBC NEWS | Africa | Tanzanian priest molested child

The important thing is not not to be defensive but to change. Martin Luther started reformation 500 years ago (Lutheran Church, Protestant movement). It is high time RC start to reform itself.
Which country are u leaving..???

You said children abuses..!can you tell us Who abused..?From which Parish..?? When..?How..??

Plz come up....
 
Which country are u leaving..???

You said children abuses..!can you tell us Who abused..?From which Parish..?? When..?How..??

Plz come up....

I am citizen of the world. What's up? I have put two examples in post you have quote. Read it careful.

Go straight to the point. What is your point?
 
Ukipewa andiko la Biblia,tafadhali naomba unitag. Ni mambo waliyojiwekea RC wenyewe,lakini Biblia haina kitu hicho.
Kutooa kwa Makasisi wa Catholic Church ni utaratibu uliopo ndani ya Kanisa na sio andiko toka biblia..

Ila vifungu toka biblia nakitafuta nikivipata nitaviweka ndani huu uzi
 
Ni wazo zuri, wawe wanaruhusiwa kuoa au kutokuoa. These choices should be available them. It will reduce or stop many serious problems like secrets affairs with other people wives, Pedophilia activities, sodomy and rapes etc.
Kwani hayo yote yanafanywa na Makasisi wa Kanisa Katoliki tuu...???

Kwani ni Mara ngapi raping,sodomy vinafanyika na watu wenye ndoa zao nje na viongozi wa dini kama mashekhe,wachungaji nk..??
 
Kwani hayo yote yanafanywa na Makasisi wa Kanisa Katoliki tuu...???

Kwani ni Mara ngapi raping,sodomy vinafanyika na watu wenye ndoa zao nje na viongozi wa dini kama mashekhe,wachungaji nk..??

These are your statements. It seems to me your are confused.

Be clear, what is your point?
 
I am citizen of the world. What's up? I have put two examples in post you have quote. Read it careful.

Go straight to the point. What is your point?
My point I need vivid evidence not blahblah n' rumours..!!also I need to know which country are you from b'coz you said in your country there's alot of Children abuses...!!!!
 
My point I need vivid evidence not blahblah n' rumours..!!also I need to know which country are you from b'coz you said in your country there's alot of Children abuses...!!!!

Where did i say in your country there are lot of Children abuses, please provide evidence? a quote from me? I am commending this action of Pope. I am supporting this move by the Pope. You are taking the topic outside the mada. Naona kama unaweweseka tu. Unachanganya vitu na kuweka vitu ambavyo havipo.

Hamna mtu amesema kitu kama hicho. Ni wewe tu umesema hayo. Na mambo mengine ya kijinga sana mengi umesema na kuunganisha. Ni wewe tu peke yako. Usiniweke mimi au watu wengine kwenye mambo unayosema wewe. Hata huwezi kusoma vizuri.

If you can't provide evidence apologise for your nonsensical, silly and stupid drivel.
 
Mkuu hujaelewa lengo la kuruhusu waoe sio kwamba mapadri ndio wanataka bali vijana wengi wanaukacha upadri kisa hataoa, sasa huko brazil kuna uhaba wa mapadri sana yaani watu wanaojiunga na upadri ni wachache kuliko mapadri wanaoded
Unaweza ukaja na uthibitisho wa takwimu..???
 
Where did i say in your country there are lot of Children abuses, please provide evidence? a quote from me? I am commending this action of Pope. I am supporting this move by the Pope. You are taking the topic outside the mada. Naona kama unaweseseka tu. Unachanganya vitu na kuweka vitu ambavyo havipo.

Hamna mtu amesema kitu kama hicho. Ni wewe tu umesema hayo. Na mambo mengine ya kijinga sana mengi umesema na kuunganisha . Ni wewe tu peke yako. Usiniweke mimi au watu wengine kwenye mambo unayosema wewe. Wewe ni mtu mjinga sana. Hata huwezi kusoma vizuri.

If you can't provide evidence apologise for your nonsensical, silly and stupid drivel.
Not my country plz..!!can you refer post #90
 
Not my country plz..!!can you refer post #90

Wapi nimesema in your country
? Nipe ushahidi? Hivi unafikiri hii Tanzania ni Nchi yako wewe tu? Wewe ni mtu mjinga sana.

Grow up, try to stick to the topic and read carefully what is written before you jump to reply.
 
Back
Top Bottom