Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

ASIEFANYA KAZI NA ASILE.PADRI NAE AFANYE KAZI ALISHE FAMILIA YAKE NA MKE WAKE.MBONA MASHEKH WA WENZETU WAISLAMU WANAJITEGEMEA NA WANAENDESHA IBADA??
Pia ahame parokiani akapange au kujenga nyumba kama wenzetu mashekh

Kazi sio ya kulima au kuzalisha kiwandani tu. Kazi wanayoitiwa Mapadri na watawa ni hiyo ya kuinjilisha Ulimwengu. Ni kazi na ndio maana wanafikia hata PhD katika suala zima ili waweze kuimudu vizuri na kuifanya iwe sustainable kama alivyotaka Yesu Kristu. Na ni mkakati huu wa kuamka na kulala huku concentration ikiwa uinjilishaji ndio Kanisa limefanikiwa kujipatia waumini wengi kuliko imani zingine katika Ukiristu au madhehebu mengineyo.
 
Ni ushetani wao tu hakuna sehemu kwenye biblia ilielekeza binadamu asioe ama kutoolewa kwa ajili ya kutumikia dini
 
Mkuu labda hujaelewa kinachojadiliwa. Mjadala ni kwamba Papa anaangalia uwezekano wa makasisi wa Katoliki kuruhusiwa kuoa. Sasa unaposema kwa nini tunawaangalia makasisi wa kanisa katoliki kwani sisi ndo papa? Halafu tofautisha tabia ya mtu binafsi na msimsmo wa kanisa. Hapa kinajadiliwa msimamo wa kanisa Katoliki siyo tabia ya mtu binafsi ya uzinzi awe mkristo au mwislamu. Tabia ya mtu binafsi siyo msimamo wa katoliki au msikiti.
Labda wewe ndio hujaelewa..!!hii post yangu uliyo quote umechunguza vizuri ulipoitoa..???

Hiyo taarifa ya Papa kufikiria Mapadri waoe sio ya kweli..!!hakuna mjadala kama huo ndani ya Kanisa,mtoa mada ni mzushi kabisa na usipoteze muda wako kujadili Uzushi kama huu...!!
 
Walipokelewa wakiwa Mapadri na wakaendelea kuwa mapadri. Ni baadhi ya wale waliopinga utamaduni mpya katika dhehebu hilo mashoga kuwa maaskofu na au kupewa daraja ya Kitume. Fuatilia hata Google utaipata.
Asante sana Mkuu hiki kitu nilikuwa sijakipata...!!
 
Sikukosea wewe ni mjinga sana, naweza kusema ni zaidi ya mjinga.
Nikiendelea na wewe ni Sawa na kuoga mtoni alafu wkt nimejipiga povu la kutosha akatokea Kichaa akanyakua Nguo zangu alafu kwa hofu kuwa nitavaa nini nikimaliza kuoga ninamkimbiza yule Kichaa ili nirudishe Nguo zangu Mara Kichaa anaingia mtaani kunako watu wengi,watu wenye akili timamu wakituona wa kwanza kuonekana Kichaa ni mimi niliye uchi alafu nimejipiga povu la sabuni...!!

Kwahyo siku tayari kuonekana Kichaa kwa kuendelea kujadili na wewe...
 
Mkuu;
Mbona huna nia njema?? Kulitetea kanisa katoliki sio kwa namna hiyo. Tusaidie tiririka hapa huo mfumo na jinsi haiwezekani. Tuliaminisha na Papa Pius X, kuwa Galileo Galilei ameenda motoni milele kwa kusema kuwa dunia ni mviringo. Si unakumbuka kuwa ni Papa Yohane Paulo II, ndiye aliyemfungua Galileo na sasa yupo mbinguni?
Je, haiwezekanihuyu Papa Francis naye akateleza ulimi hadi aje Papa mwingine amfungue?
Pope Francis wants to change two major Catholic laws he sees as 'archaic' - Living Faith - Home & Family - News - Catholic Online

LOS ANGELES, CA (Catholic Online) - As it stands now, Catholic priests take a vow of celibacy and cannot be married. The Catholic church simply does not accept divorce, and anyone divorced, who then remarries or starts a sexual relationship with a new person, is committing adultery under Catholic law.

"He said, these were his priorities as Pope. The first of all is to change the rules for divorced couples," claims Crespo on his conversation with Francis. "The second was to eliminate the law of celibacy. He said it was not part of the doctrine of the church. It was started more than 1,000 years ago by a pope, and he considers it archaic, an antiquity which needs to be reconsidered."

"He thinks God made everyone to live in family, including priests."

Make the world better this Lent - Give something today!

Pope Francis and Oscar Crespo when the Pope was an archbishop Crespo claims Pope Francis told him six years ago (pictured meeting here), when the Pope, real name Jorge Bergoglio, was archbishop of Buenos Aires, that the ban on priests getting married was not "doctrine."

According to devout Catholic and divorcee, Claudia Garcia Larumbe, she was divorced at the age of 31 and no longer allowed to participate in her Catholic church activities, such as Communion and confession, because she was now considered to be living in adultery.
Larumbe heard Crespo was going to visit the Pope and asked him to send a message to Francis. "I said I wanted to be part of the church, I wanted to be able to confess, but I wasn't able to because I had divorced. I just wanted some advice, but I never expected to get an answer back," expressed Larumbe to Daily Mail. "But when Oscar got back he called me and said he had spoken personally with the Pope and that he had given me permission himself. I was speechless and so emotional, I couldn't believe I'd got a message directly from the Pope."

Pope Francis has spoken out against a number of issues; this is not the first time information on the Pope's feelings toward Priest marriage and divorce have been recorded.

In May he is reported as saying celibacy is "a gift for the church, but since it is not a dogma, the door is always open," and that the issue of married priests is in his "diary."

Pope Francis and Oscar Crespo in High School
Pope Francis (second from the right in back row) and Oscar Crespo (third from left in front row) were secondary school classmates.

Crespo is considered the Pope's best friend and former secondary school classmate; the two men correspond often and Crespo made a special visit to Rome to see his friend in October.
Crespo claims the pontiff was "serious and passionate" as they discussed his "two main plans"

However Crespo points out Francis "does not intend to force through radical reforms at the expense of church unity." "Changes are made either with time or with blood, and I choose peace," Francis is quoted as saying, according to Crespo.

Pope Francis and longtime friend Oscar Crespo
Longtime friend, Oscar Crespo visited the Pope at the Vatican in October.

Although Pope Francis has previously expressed his sentiment on the mentioned topics, the conversations and details provided by his friend, Crespo were from a private conversation that should not be taken as any part of his teachings.
"The Synod on the Family is in course so the issue [of the divorced in new relationships] is being addressed. The Pope has already said what he has to say on the divorced - remarried at the Synod last October and the issue will be discussed again at this year's Synod," explained Vatican spokesman Father Federico Lombardi. "We don't know what the Pope may have said as part of a private conversation. We only know what he says in public. Since such conversations do not form part of the Pope's public activities, no comments from the press office should be expected.

Such conversations should be seen in the context of personal pastoral relationships."
 
Ana mamlaka hayo kwani anao ufunguo, atakacho funga au kufungua duniani kitakuwa kimefungwa au kufunguliwa na mbiguni Yh 19 :21-23
 
Sasa wewe kumbe mbishi tu! Nina haja gani kuja hapa kusema uongo. alikuwa padre wetu parokiani, unabisha tu! si vema kuwataja watu humu, ningelikutajia uende utamkuta anatumikia wakatoliki
Mkuu samahani hili jambo nilikuwa silijui kumbe lipo.. kama nilikukwaza samahani sana..
 
Kwahyo siku tayari kuonekana Kichaa kwa kuendelea kujadili na wewe...

Hiyo taarifa ya Papa kufikiria Mapadri waoe sio ya kweli..!!hakuna mjadala kama huo ndani ya Kanisa,mtoa mada ni mzushi kabisa na usipoteze muda wako kujadili Uzushi kama huu...!!

My point I need vivid evidence not blahblah n' rumours..!!also I need to know which country are you from

Kati ya mimi na wewe sijui nani kichaa, yule ambae anakataa ukweli au yule anayesema ukweli. Wewe kama unaona hiki sio kitu kizuri sema hivyo, weka hoja yako na sisi wengine tunaona ni kitu kizuri tutasema hivyo na kuweka hoja zetu. Ndio maana ya discussion. This is why JF exist.

I suggest to you put pressure to people who are responsible for making these decisions not me. It is actual a just a proposal at the moment. Labda hawa wote pia ni wazushi kama unavyosema.

Pan-Amazon bishop calls for new rules on priesthood
]
 
Ikiwa hivyo basi mjadala utakuwa mgumu sana.

Wakiruhusiwa kuoa, maanayake nikuongeza mahitaji katika kipato kinacho tokana na matoleo pamoja na miradi mbalimabli katika maparokia majimbo na kadhalika.

Ukishaowa inamana unakuwa na majukumumengi ya ziada na utatakiwa kutatua matatizo ya familiayako pamoja na ndugutegemezi.
Utahitaji maliyako binafsi na kwaajili ya familiayako.

Kutokana na mfumo uliopo, shidakubwa itakuja kwenye gharaama za maisha.
 
Lutheran ni TAASISI.
AND WHY NYIE WATU MNAJALI ZAIDI KANISA TAASISI ZAIDI YA BIBLIA NENO LA MUNGU
Ni swali ninalojiuliza muda mrefu. Yaani badala ya kuenzi maandiko ambayo ndo msingi wa dini husika mtu anakomalia vitu vyepesi
 
suggest to you put pressure to people who are responsible for making these decisions not me. It is actual a just a proposal at the moment. Labda hawa wote pia ni wazushi kama unavyosema.
Na kwataarifa yako hizo habari umezisoma kimekengeza zaidi...Ishu hapo ni kuruhusu wale ambao tayari wana ndoa kusomea upadre....na sio kubadili doctrine ya celibay....useja upo pale pale...
 
Hakuna Kaasisi mwenye ushirika na Kanisa Katoliki anaweza kuoa akiwa ndani ya Kanisa...

Huu ni uongo wa hali ya juu...!!!

mangatara said:
Mkuu;
Mbona huna nia njema?? Kulitetea kanisa katoliki sio kwa namna hiyo. Tusaidie tiririka hapa huo mfumo na jinsi haiwezekani. Tuliaminisha na Papa Pius X, kuwa Galileo Galilei ameenda motoni milele kwa kusema kuwa dunia ni mviringo. Si unakumbuka kuwa ni Papa Yohane Paulo II, ndiye aliyemfungua Galileo na sasa yupo mbinguni?
Je, haiwezekanihuyu Papa Francis naye akateleza ulimi hadi aje Papa mwingine amfungue?
Pope Francis wants to change two major Catholic laws he sees as 'archaic' - Living Faith - Home & Family - News - Catholic Online

LOS ANGELES, CA (Catholic Online) - As it stands now, Catholic priests take a vow of celibacy and cannot be married. The Catholic church simply does not accept divorce, and anyone divorced, who then remarries or starts a sexual relationship with a new person, is committing adultery under Catholic law.

"He said, these were his priorities as Pope. The first of all is to change the rules for divorced couples," claims Crespo on his conversation with Francis. "The second was to eliminate the law of celibacy. He said it was not part of the doctrine of the church. It was started more than 1,000 years ago by a pope, and he considers it archaic, an antiquity which needs to be reconsidered."

"He thinks God made everyone to live in family, including priests."

Make the world better this Lent - Give something today!

Pope Francis and Oscar Crespo when the Pope was an archbishop Crespo claims Pope Francis told him six years ago (pictured meeting here), when the Pope, real name Jorge Bergoglio, was archbishop of Buenos Aires, that the ban on priests getting married was not "doctrine."

According to devout Catholic and divorcee, Claudia Garcia Larumbe, she was divorced at the age of 31 and no longer allowed to participate in her Catholic church activities, such as Communion and confession, because she was now considered to be living in adultery.
Larumbe heard Crespo was going to visit the Pope and asked him to send a message to Francis. "I said I wanted to be part of the church, I wanted to be able to confess, but I wasn't able to because I had divorced. I just wanted some advice, but I never expected to get an answer back," expressed Larumbe to Daily Mail. "But when Oscar got back he called me and said he had spoken personally with the Pope and that he had given me permission himself. I was speechless and so emotional, I couldn't believe I'd got a message directly from the Pope."

Pope Francis has spoken out against a number of issues; this is not the first time information on the Pope's feelings toward Priest marriage and divorce have been recorded.

In May he is reported as saying celibacy is "a gift for the church, but since it is not a dogma, the door is always open," and that the issue of married priests is in his "diary."

Pope Francis and Oscar Crespo in High School
Pope Francis (second from the right in back row) and Oscar Crespo (third from left in front row) were secondary school classmates.

Crespo is considered the Pope's best friend and former secondary school classmate; the two men correspond often and Crespo made a special visit to Rome to see his friend in October.
Crespo claims the pontiff was "serious and passionate" as they discussed his "two main plans"

However Crespo points out Francis "does not intend to force through radical reforms at the expense of church unity." "Changes are made either with time or with blood, and I choose peace," Francis is quoted as saying, according to Crespo.

Pope Francis and longtime friend Oscar Crespo
Longtime friend, Oscar Crespo visited the Pope at the Vatican in October.

Although Pope Francis has previously expressed his sentiment on the mentioned topics, the conversations and details provided by his friend, Crespo were from a private conversation that should not be taken as any part of his teachings.
"The Synod on the Family is in course so the issue [of the divorced in new relationships] is being addressed. The Pope has already said what he has to say on the divorced - remarried at the Synod last October and the issue will be discussed again at this year's Synod," explained Vatican spokesman Father Federico Lombardi. "We don't know what the Pope may have said as part of a private conversation. We only know what he says in public. Since such conversations do not form part of the Pope's public activities, no comments from the press office should be expected.

Such conversations should be seen in the context of personal pastoral relationships."
 
Yani kuna watu huwa wanatamanigi Kanisa Katoliki lifarakane....

Hahahahahahaha
 
Kweli hizi dini nyingine bwana zinakuwa ka katiba yanchi yani sheria zake kubadilishwa aisee inashangaza xana..
 
Na kwataarifa yako hizo habari umezisoma kimekengeza zaidi...Ishu hapo ni kuruhusu wale ambao tayari wana ndoa kusomea upadre....na sio kubadili doctrine ya celibay....useja upo pale pale...
Huyo kijana anaonekana ni mtupu kabisa ila anataka kujiona kama anajua sana...

Hiyo ancient ya hao Wamarekani hawezi nusa chochote huyo..

Me namwangalia tuu na ujuaji wake...!!!
 
Back
Top Bottom