Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

Kati ya mimi na wewe sijui nani kichaa, yule ambae anakataa ukweli au yule anayesema ukweli. Wewe kama unaona hiki sio kitu kizuri sema hivyo, weka hoja yako na sisi wengine tunaona ni kitu kizuri tutasema hivyo na kuweka hoja zetu. Ndio maana ya discussion. This is why JF exist.

I suggest to you put pressure to people who are responsible for making these decisions not me. It is actual a just a proposal at the moment. Labda hawa wote pia ni wazushi kama unavyosema.

Pan-Amazon bishop calls for new rules on priesthood
]

Umeipata clearly hyo dialogue inahusu nini..????
 
Umeipata clearly hyo dialogue inahusu nini..????

I know exactly what this discussion is about, it is explained very cleary on all various sources i have given to you. I don't know if you have bother to look at them. Otherwise you would not be asking this question.

Mkuu, i don't think you have intelligence, ability, capacity and calmness to discuss this sensitive issue. For you it all emotions, you are all over the place.

Naona sasa hoja huna unakimbilia umbea tu sasa hivi: - mtupu, mweupe, mjuaji. Hiyo ancient (accent) hawezi nusa chochote huyo. For you these small clips are big deal, difficult for you to understand. How can we have serious discussion? Different levels, find your level bro. I will let you do just that.
 
Acha uongo mkuu...unadanganya ili iweje...


Orthodox Church au Eastern Church lilijitenga na Kanisa Katoliki (Western Church)kanre ya 11....Kabla ya hapo Kanisa lilikuwa moja tuu..yaani Katoliki..

Na hiyo ndio schism ya kwanza kabisa ndipo ikafuatiwa na ile ya Martin Luther


Tungekuwa tumekaa tunaonana ningefanya haya mazungumzo nanyi. Lakini kwa jinsi mlivyokuja kishari, wacha niwaache na imani zenu. Muwe na amani ya Bwana.

Mkuu Otorong'ong'o naona umeongelea the great schism..nadhani jikite zaidi kusoma nini kilitokea hapo. Usinijibu ila nadhani ukiendelea kusoma kidogo along those lines waweza pata jambo. [HASHTAG]#blessings[/HASHTAG]

Duh ....Kanisa Katoliki litokee Orthodox? Nenda kwenye source rasmi za Kanisa hilo utakuta hata wenyewe wameweka historia ya kweli na sababu ya mgawanyiko ....
 
Hiyo haitakaa itokee, kila mtu ataomba upadre ili yeye na familia yake wale na kulala bure
 
Tena kwa Afrika ndio itakuwa balaa


Mkuu hili suala Kanisa hadi kufikia kuwataka Maklero kujikatalia ndoa kulikuwa na sababu za msingi sana!

Haikuwa jambo rahisi rahisi tu hivi. Uamuzi na wake utekelezaji ulizingatia mambo mengi sana na kwa Kweli baada ya utafiti Wa kina. Tukumbuke celibacy sio fundisho la kiimani. Nina imani kabla ya kurejesho ndoa kwa Maklero kwa Kanisa zima mambo mengi yatatizamwa. Nina imani ruhusa hiyo itaambatana na masharti kadhaa kadhaa. Vinginevyo kama ulivyosema kila mtu kwa Afrika atataka kuwa Padri. Wengi wao hata huko Ulaya, America na Afrika wanakatazwa na ndugu na jamaa kuwa Mapdri na Watawa sababu ya kuona kuwa maisha yao yote hawatakuwa na ndoa na hivi kuwa na watoto. Na Kanisa linafikiria kurejesha ndoa kwa sababu huko Ulaya na America wito Wa Upadri na Utawa umepungua sana kwa sababu hiyo tu.
 
Ni wapi mungu alisema Padre asioe toa ushahahidi
Kumbe dini yenu huwa inaongozwa na mtu na si sheria za MUNGU?OK sawa nimekuelewa mkuu,ngoja tuishie hapa mana nimefunzwa kuheshimu dini ya mtu,
 
Mbona wengi wao wana wake zao huku mitaani na sio siri,mtume Paulo alisema "Ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa"oeni nyie watumishi
 
Aisee waoe tu ila nawaonea huruma sana wana parokia na makanisa yao.Maana sasa watalisha familia ya padri,wakwe zake na ndugu wengine watajazana pale.
Kweli aisee kila wiki buku tano kila jumuiya haitatosha.... maaana ni shiiiidah
 
Bro, kwani wakiruhusiwa kuoa, nini kitaharibika, hii sheria kwamba wasioe ilitokea wapi kwenye Bibilia?
Mkuu sina uhakika na kifungu ila Biblia ipo wazi kabisa kabisa juu ya hili, imetaja watu ambao watajitoa kwa kutooa kwa ajili ya kumtukuza Mungu, mfano huu pia upo kwa Yesu mwenyewe, hakuwa na familia na hata mitume wake iliwabidi waziache familia zao.
 
Kwa mwanaume amayekula chakula vyenye virutubisho protein ,carbohydrates, vitamins ,fat miezi 2 tu kama shahawa hazijatolewa anawehuka na nyege hapo sijakuambia miaka

Hiyo kusema waliooa hao wanapenda na kujitakia tu lkn wapo wengi sana hawajawahi kuchepuka maishani yao..hii point usii crush sababu huwezi kupigana na maumbile na shahawa ikizidi lazima zipunguzwe sabb zikibaki mtu huwehuka na kuweza kufanya mambo ambayo yatashangaza ulimwengu ,aliye na mke ana asilimia kubwa kuwa mcha mungu kuliko asiye na mke
mkuu huko ndo kunakoitwa kujitoa kwa ajili ya Mungu, ukifata matamanio ya mwili basi kuna mambo mengi sana utalazimika kuyafata, mwili ni mdhaifu sana kama hutaamua kuuzuia. Pia nikuambie tu hizo shahawa na nyege zinazuilika kwa namna zingine kama vile kufanya mazoezi na kuwa busy na kazi, mtu aliye busy na kazi wala hayo hawezi kuwa na hamu nayo, kama umepitia JKT utanielewa, mawazo ya ngono siku zote ni kwa watu wasiokuwa na kazi yaani iddle mind.
 
Mkuu hujaelewa lengo la kuruhusu waoe sio kwamba mapadri ndio wanataka bali vijana wengi wanaukacha upadri kisa hataoa, sasa huko brazil kuna uhaba wa mapadri sana yaani watu wanaojiunga na upadri ni wachache kuliko mapadri wanaoded
hilo wala lisitishe Kanisa la Mungu, Mungu atatoa mapadre sehemu zingine za Dunia na kupeleka huko Brazil kama wakati ule alipokuwa anawatoa wazungu kuja Afrika.
 
Aisee waoe tu ila nawaonea huruma sana wana parokia na makanisa yao.Maana sasa watalisha familia ya padri,wakwe zake na ndugu wengine watajazana pale.
Kwani wachungaji wa makanisa mengine wanaooa waumini hawalishi familia zao?
 
Back
Top Bottom