ashy me
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 460
- 299
Hahaa ...dini inapobadili misimamo yake ...sasa kama n sheria ya mung VP papa aibadili ???
Licha kuwa s mafundisho ya kwanza issa (peace be upon him ) siku zote mung anawatakia watu wake mepes na s mazito .....wameikataa asili ya mwanadam kuwa na matamanio . .wanataka kushindana na na nature yao matokeo ndo ubakaji
Allah amewazungumzia kweny Quran kuwa hawakuamrshwa hayo ispokuwa walitaka njia ya kujikurubsha karibu na mung wakaona kuwa na wanawake n uchafu....matokeo yke wakachupa mipaka ...jpo lengo lao lilikuwa zur
Na wakristo muone sasa kuwa hii si dini warud kwenye dini ya maumbile yao ambayo n uislamu ...sabb ndiyo dini ya haki kama Allah alivosema ktk Quran
" elekeze uso wako katika dini iliyosawa ...ambayo n maumbile ya asili ya mwanadamu ...na hutokuta mabadiliko ktk mambo ya mwenyez mung"
Na akasema
". Hii ndo dini ya haqq lakin watu weng hawajui