Nimekwambia andiko hilo ni la uongo kisha nimakwambia soma vizuri biblia. Sijakwambia andiko halipo....naomba uelewe...Duh!
Mbona wakristo mnajichanganya sana, yaani hata Yesu mwenu mmeanza kumpinga wazi wazi.
Mathayo 28:19
(Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu)
Sasa kipi cha ajabu au uongo hapo?
Mkuu lisemwalo lipo na kama halipo huenda likaja. Kwa sasa siwezi kusema chochote hapa, kwa sababu umesema hizi ni "story za mitandaoni" kitu ambacho binafsi naamini sio story za mitandaoni tu, bali ni mjadala halisi ndani ya Kanisa katoliki ulimwenguni.Nafikiri huijui Catechisism of Catholic Church na Canon Laws...
Ili Papa aweze kubadili chichote lazima kwanza aweze kubadili katekisimu, na Canon laws...
Ni jambo gumu...Papa ni Ofisi..
Ni ngumi ni ngumu ni ngumu....haitokas kuja kutoke....Hizi ni stori za mitandaoni....
Au pengine hujaelewa ulichoandika..???au ume copy...???hiyo post hapo juu nimeileta karibuNext time learn to read careful what is written before you reply but i wish you well and God Blessings.
ni post #88 toka kwenye hii threadKama ni hivyo na masister waruhusiwe kuolewa ili tuanze kusimamia kucha

Mkuu sasa labda na wewe uje na hilo andiko lako la ukweli, maana la kwangu nililonukuu kutoka kwenye biblia umesema ni andiko la uongo.Nimekwambia andiko hilo ni la uongo kisha nimakwambia soma vizuri biblia. Sijakwambia andiko halipo....naomba uelewe...
Now you are coming...Mkuu sasa labda na wewe uje na hilo andiko lako la ukweli, maana la kwangu nililonukuu kutoka kwenye biblia umesema ni andiko la uongo.
Tatizo hilo la mwisho wanaamini akitoka Yesu then Papa. Na akifunga Papa basi na Mungu kafungaHoja hii ya Papa sasa inadhihirisha wazi wazi kuwa....
1/Maisha ya kutokuoa ya mapadri wa kikatoliki ni jambo zito sana linalosumbua kanisa katoliki kwa sasa. Hakuna tena ujanja, ni lazima mjadala wake uwepo ndani ya kanisa katoliki.
2/Utaratibu wa mapadri kutokuoa ulikuwa ni utaratibu uliotungwa tu na mapapa waliopita na wala sio msingi wa kiimani katika ukristo.
3/Sio kweli kuwa Ukatoliki ndio ukristo halisi wa kwanza alioishi Yesu na wanafunzi wake bali ni dini iliyotengenezwa kufuata mapokeo ya kitamaduni, mazingira na wakati huku ukipaka paka ukristo juu yake. Kwa sababu kanuni na taratibu zake zimekuwa zikibadilika badilika kila wakati.
4/Dhehebu la Kikatoliki sio dhehebu pekee lililobakia salama katika ukristo katika kukwepa mabadiliko ya ndani. Ukatoliki ulibadilika, unabadilika na utazidi kubadilika.
5/Papa ni kiongozi wa kawaida wa kidini hapa duniani, hana Upekee wa kimungu, anaweza kushawishiwa na watu, anatumia Akili za kawaida za kibinadamu katika kufikiri, kuongea na kuamua, Papa anaweza kukosea, anaweza kupingwa na kukosolewa vikali kabisa na wakatoliki wenyewe pasipo woga wowote.
Kwenu katekisimu ina nguvu kuliko papa. Kipingi kile mnanunua cheti cha toba kwa pesa then martin akajitoa si ilikuwa ni sheria za kanisa au za mungu?? Na je si mlitetea kuwa zilikuwa za mungu kwa vifungu na kwamba neno la mungu halibadilishwi!! Kipi kilichofanya mkaja baadae mkaondoa huo utaratibu....Katekisimu ilibadilishwa???Nafikiri huijui Catechisism of Catholic Church na Canon Laws...
Ili Papa aweze kubadili chichote lazima kwanza aweze kubadili katekisimu, na Canon laws...
Ni jambo gumu...Papa ni Ofisi..
Ni ngumi ni ngumu ni ngumu....haitokas kuja kutoke....Hizi ni stori za mitandaoni....
Endelea kusubiria dodo kwenye jangwa..
Unavyojadili utafikiri hii taarifa ni ya kweli pole sana mkuu.
Leta hiyo source ya habari inayoonesha pope kaleta wazo...hakuna...Usifikiri papa anaweza toa kauli sensitive kiasi hicho akaachwa....Papa ni Ofisi....Njoo nikupeleke ukaone kaburi lake. Sasa leo Papa analeta wazo hili.
Nitajie hayo yanayotarajiwa kubadilika...???Yapo mengi tu yanabadilika na hili nalo litabadilika. Nadhani tunaelekea kwenye Reformed RC.
Ok! Tumekuelewa...Kwa wakatiliki KATEKISIMU >BIBLIA.....NI Rahisi kubadili Biblia kuliko Katekesimu
Yes! Taratibu, miongozo na maelezo kuhusu mambo ya Kanisa na Imani yanapatikana Katika KatekisimuKwenu KATEKISIMU INA NGUVU KULIKO PAPA.
Leta hiyo source ya habari inayoonesha pope kaleta wazo...hakuna...Usifikiri papa anaweza toa kauli sensitive kiasi hicho akaachwa....Papa ni Ofisi....
Hata Homily(Mahubiri) ya Jumapili anayota yeye lazima yawe kwaandishi na yapitiwe....yote hayo ni kuepusha kutoa kauli za matakwa yake ambazo zitalibomoa dunia! Yes! Dunia..sio kanisa....
Kauli moja ya Papa yenye ishu sensitive inauwezo wa kuibadili dunia....
Kanisa katoliki papa akitaka kutoa kauli juu ya Jambo fulani la kiimani au maslai ya Kanisa kuna kitu inaitwa encylicle imayosambazwa duniani kote...mbali na hapo ni uzushi na uzandiki kupima upepo
Utajipa muda milele...Ngoja tujipe muda zaidi, muda utatupa majibu mazuri zaidi katika hili.
Mkuu;
Nakujua wewe ni mkatoliki swafi sana ila unaponiambia kuwa niendelee kusubiri dodo jangwani ina maana kuwa; Japo si rahisi hiyo sheria au kanuni kubadilishwa, huenda siku moja ikabadilika?? Au unamaana kuwa hao masista hawatakaa waolewe na kuendelea na utawa wao?? Mkuu, elewa kuwa, niaka 20 tu iliyopita, Padre kuwa na wazo la kuoa ilikuwa ni dhambi. Kuwa na hilo wazo tu. Nawafaham waliotengwa kabisa na hata walipokufa wakaja kuzikwa kwao. Njoo nikupeleke ukaone kaburi lake. Sasa leo Papa analeta wazo hili. Huoni kuwa aligundua kuwa hii ni kanunu tu ya chama flani wala sio amri ya Mungu? Yapo mengi tu yanabadilika na hili nalo litabadilika. Nadhani tunaelekea kwenye Reformed RC.