Kwa mwanaume amayekula chakula vyenye virutubisho protein ,carbohydrates, vitamins ,fat miezi 2 tu kama shahawa hazijatolewa anawehuka na nyege hapo sijakuambia miakanitashangaa sana na hili haliwezi kutokea, anayeshindwa mashariti anayo ruhusa ya kuacha upadre na kuoa, kwa nini wanataka vyote? isitoshe hata wakiruhusiwa kuoa si kwamba ndo hawatatenda dhambi, kuna watu wana ndoa na bado wanatoka nje ya ndoa zao.
Labda na masista wataruhusiwa?
Kumbe inadhihirisha amri ya kutokuoa mapadri si ya kwenye biblia....
Nilijua ni amri kutoka kwenye biblia ati.We ulidhani ni amri ya biblia au kuna mtu alikwambia ivyo
Sadaka na zaka zitashuka sana kama sio kutokuwepo kabisa na hao mapadri kutakiwa kuwa na vipato vyao wenyewe kama madiwani.
Kwani wakati ule wanaoa ilikuwaje?
Shahawa zikijaa huwa zinatoka by natural means kama vile usingizini nkKwa mwanaume amayekula chakula vyenye virutubisho protein ,carbohydrates, vitamins ,fat miezi 2 tu kama shahawa hazijatolewa anawehuka na nyege hapo sijakuambia miaka
Hiyo kusema waliooa hao wanapenda na kujitakia tu lkn wapo wengi sana hawajawahi kuchepuka maishani yao..hii point usii crush sababu huwezi kupigana na maumbile na shahawa ikizidi lazima zipunguzwe sabb zikibaki mtu huwehuka na kuweza kufanya mambo ambayo yatashangaza ulimwengu ,aliye na mke ana asilimia kubwa kuwa mcha mungu kuliko asiye na mke
Kwanini ujue tu bila kuambiwa wala kuonaNilijua ni amri kutoka kwenye biblia ati.
Nani kakudanganya??Mkuu other Christians denominations do allow their Pastors to marry and they are still going strong, infact growing at faster rate than Roman Catholics Church (RC). It will actually help them to relate with other families better.
Hata mapadri mbona wanawabinua wake zetu na Madada zetu, nazungumzia haki sawaMbona wanabinuliwa mkuu, mi shabinua mmoja
View attachment 623282
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amependekeza kubadili mfumo wa utumishi wa mapadre akisema itakuwa vyema iwapo makasisi hao wakaruhusiwa kuanza kuoa.
Hata hivyo, imefahamika kuwa pengine pendekezo hilo likawaruhusu mapadre wa Brazil pekee kutokana na mjadala unaoendelea nchini humo. Hivi karibuni Askofu wa Brazil, Kadinali Claudio Hummes alimwomba Papa Francis kufikiria kuondoa sheria inayowakataza makasisi kufunga ndoa.
Ingawa pendekezo hilo la Papa Francis huenda likapunguza tatizo la uhaba wa wanaume wanaojiunga kwenye utumishi huo, lakini linatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa waumini wenye msimamo mkali na hata pia kusababisha mgawanyiko ndani ya kanisa.
Ombi hilo linatarajiwa kujadiliwa katika kikao cha baraza la kanisa kinachotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu nchini Brazil.
Kanisa Katoliki linahubiri mafundisho ambayo yanapiga marufuku makasisi wake kufunga ndoa ingawa kumekuwa na baadhi wanaovunja mwiko huo na kuisha maisha ya ndoa. Hata hivyo, wale wanaochukua uamuzi huo hujitenga na kanisa.
Kasisi moja aliyetambulika kwa jina la Paddy O’Kane amenukuliwa na baadhi ya magazeti akielezea uwezekano wa Papa Francis kuchukua uamuzi wa kuwafungulia mapadre kifungo cha kutokua wakati wowote mwezi huu.
“Hivi karibuni nilimsikia Papa anataka kutekeleza ombi alilolipata toka Brazil kama jaribio lake la kwanza,” alisema.
Papa Francis na mtangulizi wake, Benedict XVI wamekuwa wakieleza kuwa suala la makasisi kutoruhusiwa kuoa siyo jambo lisiloweza kubadilika na kwamba jambo hilo linajadilika.
Chanzo: Mwananchi
kwani masister hawapo parokiani siku hizi!?Ni wazo zuri, wawe wanaruhusiwa kuoa au kutokuoa. These choices should be available them. It will reduce or stop many serious problems like secrets affairs with other people wives, Pedophilia activities, sodomy and rapes etc.