Hii ni sawa sawa na Kumuua Yesu.. watu wanashangilia kumbe kuna mitume wamejibanza mahali.. wanasubiri time yao ifike waanze kumwaga neno!
Weweeee! Usimfananishe huyu mshenzi na YESU! Yesu alifia watu na huyu aliua watu! Jitahidi kuwa makini unapochangia humu usijeonekana mropokaji! Yesu afananishwi na yeyote hata kama ni mtu mwema kiasi gani. Tuko makini sana