You tell me maanake navyojua kutoka Islamabad hadi bahari yeyote ni thousands of miles kiasi kwamba wangeweza kuipiga picha maiti na hata kuupeleka mwili huo sehemu nyingine yeyote.
hakuna mtu aliyesema hawajampiga picha! hawaja-release picha! Hivi ni vitu viwili tofauti!!
Kuutupa baharini haiwezi kuwa for safety measures..Na wamemtupa baharini kwa amri ya nani maanake Obama kasema mwili walikuwa nao mara hadithi ikabadilika.
kwanzia Obama aseme wanao mwili, mpaka habari za kuutupa baharini imechukua muda gani? Na kwanzia attack mpaka news conference ya obama je?
Sidhani kama kuna ishu ya time kokote hapo.
Pili, amri zote za jeshi lazima zitangazwe?
Halafu sii kweli Helkopta kwenda na kutua juu ya nyumba hiyo wenyeji wasijue, na habari zilizoingia sasa hivi zinasema serikali ya pakistan ilishiriki kwani waliwaambia watu wasitoke nje na wazime taa zao.. Hizi habari zilitangazwa redioni ina maana Osama hakuwa na redio wala watu wa kumlinda. Kisha habari zinasema zilitumika Helcopta mbili, moja ilianguka kutokana na matatizo na wao walikuwa Navy Seal 30, hiyo Helikopta ilikuwa na ukubwa gani?..
Nafikiri hapa una mis-information. Kuna jamaa mmoja alikuwa anaandika kwenye twitter hizi events. Na yeye alikuwa hajui kilichokuwa kinaendelea. Sijasikia popote waliposema kuwa hii habari ilitangazwa kwenye vyombo vya habari. Kuna ripoti kuwa zilikuwa helicopter zaidi ya mbili. Na hii imeandikwa na BBC.
"The operation began at about 2230 (1730 GMT) and lasted about 45 minutes, military sources told BBC Urdu. Two or three helicopters were seen flying low over the area. Witnesses say it caused panic among local residents."
Source: BBC News - Osama Bin Laden killed: How it happened
Sasa
Na footage ya mashambulizi imechukuliwa na Geo Exclusive chombo cha habari cha Pakistan, hawa walijua vipi ikiwa kila kitu kilikuwa siri na wameweza vipi kuzipata picha baada tu ya mashambulizi..
Kuna maswali mengi sana mkuu wangu na ninayo haki ya kuuliza kwa sababu hili sii swala la kuamini au kutoamini bali tunataka ushahidi kwa sababu kwa kila dakika zinavyuokwenda ndivyo tunazidi kutatanishwa..
footage haionyeshi mashambulizi, bali inaonyesha moto kwenye hiyo compound. By the way, polisi wa huo mji walienda nao bila kujua chochote. Milipuko ilikuwa mikubwa na hivyo ni likely ili-attract hiyo news agency!
Yah kuna watu tunameza tu binafis nikisiila news napenda niskie wanahojiwa watu zaidi ya wanasiasa . Muulize tony blair na Bush kuhusu WMD za Saddam alafu Muulize mtaalam mwingine utaona tofauti. eti wanasema 40 min two helicopters
Kumbe wanasema wamemtupa baharini. net yangu inakata kata ukiweka na kingereza cha kuunga unga previously nilisikia kwamba wamemzika at SCENE. kumbe wamem dump at SEA Hii sasa inazidi kuogeza maswali zaidi?
Kusema DNA proves death hakutoshi. Maiti iko wapi? Kwa nini waharakishe kumzika, tena baharini mtu waliyekuwa wanamwinda kwa karibu zaidi ya muongo mzima? Eti wanampa heshima...heshima gani hiyo aliyostahili?
Kuna kitu hakija kaa sawa hapa na stori nzima haijanyooka.
Sijasema DNA ina-prove death. DNA ina prove identity! Waislamu wanazika ndani ya 24hrs. Hiyo ni ku-respect dini yao maana hawataki attack yeyote kutoka kwa waislamu kuwa hawaja heshimu dini yao, nk. Maana watu wanapenda kudandia kosa lolote ilimradi wapate sehemu ya kuponda na kushtumu!
wakibaki na mwili watapata faida gani?
kaka chapa kazi huyo jamaa wa kwenye twitter ...amepigiwa simu na kituo cha france24 na amekiri kuwa yeye alikuwa analipoti na kandika kwenye twita bila kujua nini hasa kinaendela na nini hiyo helcopta ilikuwa inafanya....maana eneo hile alipofia ndugu yake nyani ngabu ni eneo safiu na kuna majumba ya kifahari....so jamaa hakujua nini kinajiri pale ila alikuwa anandika kila hatua helcopta hiyo ilichokuwa inafanya na kuonyesha kuwa imeshambulia eneo hilo na baada ya hapo akaasikia kuwa osama bin laden alikuwa hapo na ameuawa........sasa hivi kwenye twita kuna watu kama 37 elfu wnafatilia link ya jamaa huyu........

Si lazima wabaki na mwili lakini kwa viwango vyangu ni lazima watoe ushahidi zaidi kuliko ambao wameutoa sasa ambao mwingi ni wa maneno tu.
Tokea tuaminishwe kuwa Saddam alikuwa na WMD halafu baadaye ikaja kujulikana kumbe tulidanganywa, siamini tena kijumla jumla vitu ninavyoona kwenye tivii. Nikiona au kusikia kitu lazima nitauliza maswali. Huyo ni mimi na ndivyo nilivyo tokea enzi na enzi. Siambiwi tu maisha bora kwa kila Mtanzania bila kuuliza utayatoa wapi hayo maisha bora? Au ni nani umeweza kumpatia maisha bora na uliweza wezaje....?
Kusema DNA proves death hakutoshi. Maiti iko wapi? Kwa nini waharakishe kumzika, tena baharini mtu waliyekuwa wanamwinda kwa karibu zaidi ya muongo mzima? Eti wanampa heshima...heshima gani hiyo aliyostahili?
Kuna kitu hakija kaa sawa hapa na stori nzima haijanyooka.
Sasa wataalam wa "photoshop" wa CIA wataingia kazini ili in one or two years tupewe movie nzima ilivyokuwa kuwa. May be jamaa alikuwa hoi bin taaban. but they cant say it. Hawawezi kusema alikuwa dhaifu sababu wataonekana wamekamata mtu aliyechoka.
Si lazima wabaki na mwili lakini kwango viwango vyangu ni lazima watoe ushahidi zaidi kuliko ambao wameutoa sasa ambao mwingi ni wa maneno tu.
Tokea tuaminishwe kuwa Saddam alikuwa na WMD halafu baadaye ikaja kujulikana kumbe tulidanganywa, siamini tena kijumla jumla vitu ninavyoona kwenye tivii. Nikiona au kusikia kitu lazima nitauliza maswali. Huyo ni mimi na ndivyo nilivyo tokea enzi na enzi. Siambiwi tu maisha bora kwa kila Mtanzania bila kuuliza utayatoa wapi hayo maisha bora? Au ni nani umeweza kumpatia maisha bora na uliweza wezaje....?
Nafikiri Obama atakuwa anasubiri conspiracy theorists kama birthers ili late 2012 atoe everything which confirms that. This continues to make opponents more extreme than ever. This also removes the argument that Democrats are weak on national security. I think there would be more Barbour actions from serious GOP presidantial candidates and let Donald Trump represent them as the chances for beating Obama becomes more slim on issues than on sleazy.
Two Obama administration officials say DNA evidence has proven that Osama bin Laden is dead, with 99.9 percent confidence.
The officials did not immediately say where or how the testing was done but the test explains why President Barack Obama was confident to announce the death to the world Sunday night.
Si lazima wabaki na mwili lakini kwa viwango vyangu ni lazima watoe ushahidi zaidi kuliko ambao wameutoa sasa ambao mwingi ni wa maneno tu.
Tokea tuaminishwe kuwa Saddam alikuwa na WMD halafu baadaye ikaja kujulikana kumbe tulidanganywa, siamini tena kijumla jumla vitu ninavyoona kwenye tivii. Nikiona au kusikia kitu lazima nitauliza maswali. Huyo ni mimi na ndivyo nilivyo tokea enzi na enzi. Siambiwi tu maisha bora kwa kila Mtanzania bila kuuliza utayatoa wapi hayo maisha bora? Au ni nani umeweza kumpatia maisha bora na uliweza wezaje....?
Okay! Tatizo tumerukia conclusion nyingi. Bado kuna information kibao zitatoka. Wape wiki uone. Lakini kwa vile unaishi kwenye nchi huru, nadhani unaweza kuwaandikia barua na kuomba info. Au kama vipi, anzisha kampeni kama Donald Trump kudai picha na info zaidi!
On my part, i dont raise doubt in issue in news that wont really affect my daily work. I take the info on face value as it has no true value to me. Whether the govt lies about Osama or whatever, wont help put food into my mouth. But i take serious issues on theft of public monies! which is the real problem in Tanzania.
AP Reporting
After bin Laden was killed in a raid by U.S. forces in Pakistan, senior administration officials said the body would be handled according to Islamic practice and tradition. That practice calls for the body to be buried within 24 hours, the official said. Finding a country willing to accept the remains of the world's most wanted terrorist would have been difficult, the official said. So the U.S. decided to bury him at sea.
You don't have to be a seasoned Homicide Detective in the LAPD kufahamu kuwa the cadaver/corpse is almost the only conclusive, incontrovertible proof of death. Kwa nini wampe Osama special treatment kama Muislam na kumzika haraka namna hii? Wanaogopa nini? Al Qaeda? Taliban wataandamana tena Kabul na Kandahar na kuua UN personell? Watu wamechoka kudanganywa kila mara na Watawala wa Marekani.
Osama thread kuliko ya prince na kate .Eventful days i must agree.JF technician i notice your server clock running more than an hour ahead/or is it my browser?
Abbottabad -- The military town where bin Laden hid in plain sight
By Tim Lister, CNN
May 2, 2011 -- Updated 1450 GMT (2250 HKT)
(CNN) -- One week ago, the chief of Pakistan's Army Staff, Gen. Ashfaq Parvez Kayani, told graduating cadets in the city of Abbottabad that the "back of terrorism" in Pakistan had been broken, thanks to the sacrifices of Pakistan's soldiers.
Kayani was speaking at the "passing out parade" at the prestigious Kakul military academy in Abbottabad, the West Point of Pakistan. At that very moment, the man who had dragged Pakistan into the "War on Terror" a decade earlier was, it transpires, just a mile or two away, living in apparent comfort behind the high walls of a very private compound. Osama bin Laden, who had declared war on Pakistan, had apparently been living for months in a city that had made its name as a military garrison.
Abbottabad, pronounced AHB-tah-bahd, is some 60 miles by winding mountainous roads north of Pakistan's capital. Surrounded by green hills, it is renowned for its trees and parks. It's a popular retirement place for officers in the Pakistani army, partly because of its military academy, but also because of its agreeable climate. During British rule, the Imperial Gazeteer of India described it as "picturesquely situated," 4,120 feet above sea level.
Abbottabad sits on the Karakoram Highway, an engineering marvel that links Pakistan with China through the Himalayas. Before much of Pakistan became off-limits to most foreign tourists, it was also a popular spot for those on their way to and from the Swat valley and the foothills of the Himalayas.
But despite its military traditions, its hockey fields and golf courses, Abbottabad and neighboring districts are also familiar territory to al Qaeda and other extremist groups.
In January this year, Pakistani security forces stormed a modest house in the city and seized Umar Patek, an Indonesian linked to al Qaeda who had a $1 million bounty on his head under the FBI's Rewards for Justice program. He had allegedly helped build the bombs used in the 2002 bombings in Bali that killed 200 people.
Patek -- a key leader in the Indonesian terrorist group Jemaah Islamiya -- had rented a room in the house of a retired accountant in Abbottabad after arriving in Pakistan some months earlier on a forged visa. He is now being held (after treatment for gunshot wounds sustained during his arrest) pending a decision on his extradition.
Patek's arrest followed that of a Pakistani in Abbottabad called Tahir Shehzad, an alleged al Qaeda facilitator who had been under surveillance for some time, according to Pakistani media reports. Shehzad had allegedly gone to Lahore to meet two French militants who were planning to travel to North Waziristan with Patek.
So Abbottabad emerges as something of a way station for al Qaeda and associated groups. Geographically, that makes sense. As the crow flies, the city is just over 100 miles from the border with Kunar province in Afghanistan, an area where al Qaeda has kept a foothold since 9/11. Even with poor roads and mountainous terrain in between, the journey can be completed in a day. It is even closer to the restive tribal territories.
In the past two years, the Pakistani army in this area has been preoccupied with reversing the gains of the Pakistani Taliban, rather than chasing down the remnants of al Qaeda or launching the offensive against militants in North Waziristan that Washington has long demanded.
The area to the north of Abbottabad saw a surge in Taliban activity two years ago, as the Taliban sought to extend their influence from the tribal areas that border Afghanistan into what was North West Frontier Province, now called Khyber Pakhtunkhwa. The town of Buner, just 30 miles from Abbottabad and 60 miles from Islamabad, fell to the Taliban early in 2009. They also established a training camp close to the town of Mansehr, a few miles from Abbottabad.
The Pakistani military has since gradually reasserted control over the area, expelling the Taliban from the Swat Valley, but at a bloody cost. Clashes continue sporadically in the area, and an attack on the offices of the charity World Vision last year in Mansehr resulted in six of the non-governmental organization's workers being shot dead.
To the east of Abbottabad is Pakistani Kashmir, its forested hills hosting training camps for several groups committed to "liberating" Indian Kashmir. So it is a city close to the front lines of several of South Asia's insurgencies and terror campaigns.
Like much of the region, Abbottabad has long been a theater of sectarian and religious rivalry. Back in the mid-19th century a British officer named Maj. James Abbott brought peace to an area that saw violent confrontations between its Sikh and Muslim populations. Abbott's contribution was recognized when the town was named after him. He even wrote a poem about the place that would bear his name:
You don't have to be a seasoned Homicide Detective in the LAPD kufahamu kuwa the cadaver/corpse is almost the only conclusive, incontrovertible proof of death. Kwa nini wampe Osama special treatment kama Muislam na kumzika haraka namna hii? Wanaogopa nini? Al Qaeda? Taliban wataandamana tena Kabul na Kandahar na kuua UN personell? Watu wamechoka kudanganywa kila mara na Watawala wa Marekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.