Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
osama-location-670-050211.jpg
 
Osama is a symbol, dont be fooled that the whole show was between A nation of 400 million people, a super power against one Man!. Osama was against imperialists agenda in Saudi-Arabia, in which there is a petro-dollar deal between Saudi Arabia and United State, of which America companies will exploit oil, the money which is obtained from oil to be re-invested in America treasuries, and the interest which is obtained to be utilized by american construction companies to build Saudi Arabia as a western country, also Saudi Arabia to re-assure America to increase oil production, at a price acceptable to USA, just incase OPEC cub production or increase price, in exchange the assurance of Saudi family to continue rule Saudi Arabia under the protection of America.
 
Where's Alqaeda's 2nd in command AYMAN AL-ZAWAHIR?
 
Nway unadahani mchezo utaanza tena
jinsi wanavyoona ndugu zao wanauliwa na
kukamatwa kama kuku... na sasa baba yao wa taifa
ndo ka RIP nadhani hofu watakuwa nayo..

Ile ni organization sasa wamemwagia moto petroli
 
Takbirrr!!!!.............takbirrr!!!!.............takbirrr!!!!..................takbirrr!!!!
 
kwa mujibu wa rais Obama ameuawa kwenye operation maalumu huko islamabad Pakistan. habari zaidi zinasema walipata habari za kuwepo kwake August 2010 na Mwezi march 2011 Obama aliwakutanisha taasisi za usalama kumjadili na wiki iliyopita aliidhinisha kufanyika operation ya kutoa kwenye maficho yake. habari zaidi ni BBc,CNN na Aljazeera etc
 
AYMAN AL-ZAWAHIR
Jina hili si geni miongoni mwa wafatiliaji wa kundi la Al-qaeda na mambo ya nje, ni kamanda namba mbili wa kundi kubwa la ugaidi duniani. Ni daktari mwenye asili ya Misri na ambae walikuwa mara kwa mara akishirikiana na Osama kutoa karipio kwa wamarekani na wamagharibi kiujumla.
Kutokea kuuawa kwa kamanda mkuu Osama, je yu wapi na amenusurika na shambulio hilo? Ama ndie amebeba mikoba ya ukamanda mkuu wa kundi hilo la kigaidi?
 
This is great. Natamani serikali itangaze leo au kesho kuwa siku ya mapumziko...
 
I hope this is not one of those tactics kumsaidia Obama ashinde uchaguzi wa mwaka kesho maana he's in a bad shape na kuna kila dalili za kushindwa urais mwaka kesho
 
Wakuu mbona kuna Osama wengi tu. Huyu waliyemuua kama kweli basi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Wamarekani Wanajidanganya bure, mashambulizi ya Al Qaeda yapo palepale. Aluta Continua.
 
Wakuu mbona kuna Osama wengi tu. Huyu waliyemuua kama kweli basi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Wamarekani Wanajidanganya bure, mashambulizi ya Al Qaeda yapo palepale. Aluta Continua.
wanajidanganya wamewasha moto upyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom