Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Huyo mbwa ameuawa bwana! Halafu usituletee tafsiri zako kuhusu hotuba ya Obama. Alichosema Rais Obama ni nakuu 'they killed Osama bin Laden and took custody of his body'. Ina maana immediately baada ya kuua huyo mbwa walichukua mwili wake. Sasa kilichoendelea baada ya hapo inawezekana ndiyo mazishi yakafanyika.
 
Mkuu umecheki picha zake google aliyopigwa risasi mbili kichwani? Nenda hata youtube utapata movie. Al qaeda wenyewe wamekubali matokeo. Empiricists will never miss!
 
Nimegundua hapa jf wengine sio great thinkers. Pamoja na umaarufu wa swala la Osama, marekani waseme uongo! Ulitaka nani aseme ameuawa ndipo uamini? Hata kama unachukia marekani, haiwezi kubadilisho tukio!
 
2011 ni mwaka ambao hautasahaulika kwenye historia ya dunia hii....hasa kwa madikteta wa nchi za kiarabu na watu kama wakina Osama.
Hakika mwaka 2011 ni mwaka wenye usiri mkubwa sana kwa mungu wetu!....marais wanatimuliwa ikulu kwa nguvu za umma....na kwingineko magaidi wa kimataifa wanakufa kifo cha mende. Heeee mwenyezi mungu hatuwezi kupingana na wewe na endelea kufanya kile ulichopanga kufanya ndani ya mwaka 2011!.....Jina lako tunalitukuza daima na milele!

Pamoja sana!
 
Facial recognition used, they have pictures!!!!!
 
The president was watching live video as the operation took place.
 
Pakistan hawakuambiwa kuhusu operation hadi baada ya tukio.
 
"Akhsante" "Wewe wajisemea ama wengine wamekuambia useme hivyo?"
What the hell do you think you are? A great thinker? You must be kidding you toddler.
Ulitakiwa uisome hii hapa kwanza kabla ya kukurupuka.

quote_icon.png
Originally Posted by Ta Muganyizi
Tafsiri yake ni kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, chenye mwanzo kina mwisho, sasa jamaa kakosa nini? Kwani wewe lazima uchangie? Watu mnakuwa na chuki ambayo haina sababu ka wajawazito. Angalia vizuri na wewe unaweza kuwa mjamzito ,ujauzito ulioupata kwenye mkesha, maana we mkeshaji.

Gosh!!! You are unbelievable. Your head must be hurting a lot.
 
Hivi toka usiku mkali hadi wasaa huu kinachoendelea kwenye media za nje kuhusu osama ni propaganda? Chunguza tena halmashauri ya ubongo wako mkuu

napata mashaka juu ya uelewa wako wa global politics na suala la media manipulation....uezo wako wa utambuz uko chini sana...picha gani inayokufanya uamini huo ni mwili wa osama...ni sabbu gani inayofanya marekan istoe picha? Mbona sadam walizionesha picha matukio ya kifo chake? C kila kinachotangazwa na vyombo vya habar kinakua na ukweli wa asilimia mia...jifunze tafakuri
 
he is the first black president and first ever to kill osama.... Kenya wapate sifa

Mkuu nimeshindwa kukuelewa, who do you think would be second to kill Osama?. Nafikiri ingependeza kama ungeandika ametimiza ahadi ya kumuua American Public enemy no 1 in short time kitu kilichomshonda mtangulizi wake kwa miaka 7.

He will be remembered as one of the greatest presidents japo GOP wanajaribu ku-downplay for political purpose, ila mioyoni wanajua kuwa jamaa kashikilia mpini kwa sasa na kumshinda uchaguzi wa 2012 itakuwa kazi ngumu sana.
 
Duh ni heri mkawa wapole ndugu zangu mwendelee kusikiliza na kuona kinachoendelea.tusikurupuke tu ndugu zangu
 
One Osama Bin Laden has fallen but many will still carry his torch; it is too early to celebrate his downfall!
 
An-image-purporting-to-sh-004.jpg

An image purporting to show Osama bin Laden's bloody corpse, right, is a composite of two separate images, left and centre.


An image apparently showing a dead Osama bin Laden broadcast on Pakistani television and picked up by British newspaper websites is a fake.


An image purporting to show Osama bin Laden's bloody corpse, right, is a composite of two separate images, left and centre. Photograph: twitpic
An image apparently showing a dead Osama bin Laden broadcast on Pakistani television and picked up by British newspaper websites is a fake.


Since then, however, the image has been claimed as genuine on a number of conspiracy forums and used to substantiate claims that the terrorist responsible for the 9/11 bombings had been killed.


The Guardian was one of the few sites to hold back from using the manipulated image on its front page, reporting the picture's existence in its live blog but questioning its legitimacy.


The image is based on a genuine photograph of Bin Laden taken in 1998 and used by the Reuters news agency.

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom