sekulu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 988
- 158
Yaani Marekani inaheshimu dini ya kiislamu wakati tukiwa maiti tu.Hii heshima wangeionesha kwa wale masheikh wetu walio hai ambao wanastahiki kupewa heshima zaidi mbele ya familia zao.Mbona huwa wanawafuata mpaka vyooni.Kuzikwa baharini kupo na sio ajabu, na sababu mojawapo ambayo naamini wameichukuwa kumzika baharini ni kuwanyima fursa watu kama wewe mnaoamini Osama ni shujaa, njia nzuri ya kuwanyima nafsi ya kumuenzi ni kuwanyima kaburi la kwenda kuhiji ili muwe magaidi wazuri, na maiti wangekabidhiwa familia msafara wake wa kwenda kumzika ungejaa hamasa za kigaidi na TAKIBIRII za kuhamasisha ugaidi zingekuwa nyingi. pili nilishakujibu, dini yenu ya kiislamu hairuhusu kuonesha picha za maiti. (mzoga wa Osama Bin Laden ).
Yaani Marekani inaheshimu dini ya kiislamu wakati tukiwa maiti tu.Hii heshima wangeionesha kwa wale masheikh wetu walio hai ambao wanastahiki kupewa heshima zaidi mbele ya familia zao.Mbona huwa wanawafuata mpaka vyooni.
Kumuonesha Osam akiwa maiti kwao ingekuwa na faida zaidi kuliko kumzika.Osama ikiwa hayuko hai basi hakufa jana.Obama anataka kujionesha kidume kwa kutumia uongo.
Kauliwa jana na keshazikwa baharini. Why baharini? Nani anazikwa baharini?
Wapi picha? Wapi video?
Kuzikwa baharini kupo na sio ajabu, na sababu mojawapo ambayo naamini wameichukuwa kumzika baharini ni kuwanyima fursa watu kama wewe mnaoamini Osama ni shujaa, njia nzuri ya kuwanyima nafsi ya kumuenzi ni kuwanyima kaburi la kwenda kuhiji ili muwe magaidi wazuri, na maiti wangekabidhiwa familia msafara wake wa kwenda kumzika ungejaa hamasa za kigaidi na TAKIBIRII za kuhamasisha ugaidi zingekuwa nyingi. pili nilishakujibu, dini yenu ya kiislamu hairuhusu kuonesha picha za maiti. (mzoga wa Osama Bin Laden ).
Nilipohoji mtiririko wa matukio haya asubuhi ...na nikagusia unafiki wa Wamarekani... baadhi walijua ni KELELE za MpigaKelele... tusubiri tuone.
Nadhani sababu kubwa ya kuamua "kumzika" baharini ni hiyo kwenye rangi. Maana hata kaburi la Saddam huwa linapata watu wengi wanaokwenda "kuhiji" katika kaburi lake. Pia hawa jamaa watakuwa wamechukua mapicha kibao ya kuonyesha mwili wa Osama na sasa hivi wanaangalia upepo unaendaje kabla ya kuanza kuyaanika mapicha hayo ya mwili wa Osama hadharani.
Ndugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!
Huyu atakuwa ni shujaa wa kila mpenda haki.Tatizo sio kufa bali mazingira ya kifo ni ya utatanishi.Hali hii ya kutapatapa kutengeneza kifo inaweza ikamjengea heshima zaidi Osama.Kumbe amekufa shahidi,huku anapigana.Sipati shida tena ya kufanya argument na wewe, kwa sababu najuwa mmempoteza shujaa wenu. Teqibirr.
Naona hii picha ni yake Osama sio Computer generated pic.
Huyu atakuwa ni shujaa wa kila mpenda haki.Tatizo sio kufa bali mazingira ya kifo ni ya utatanishi.Hali hii ya kutapatapa kutengeneza kifo inaweza ikamjengea heshima zaidi Osama.Kumbe amekufa shahidi,huku anapigana.
Mimi ningesikitika kama ningesikia kuwa Osama kajiuwa,kajisalimisha kwa vikosi vya NATO au amekamatwa.Vile vile nitalia sana nikisikia Gaddafi kakamatwa au kajisalimisha,lakini kwamba ameuliwa si tatizo kwa binadamu mwenye kukataa udhalili.