Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Obama noma!!!!! Haters giive it a rest!! Another 4 years!!!
best president ever!!!!

Hiyo inaitwa ......three point and a buzzer....next Tea Party.....nitam-join Ngosha NN
 
Ivi wewe unadhani hapa una-deal na jeshi la Tanzania. Ivi unajua hizo helicopter zilizokuja zilifly kutoka Afghanistan below radar detection?
Unadhani Marekani hawana aircraft carrier zao huko baharini pembeni mwa hizo nchi? How long will it take to fly the helicopter with the body to an aircraft carrier?

Sio kwamba hizo helikopter zime fly below radar. Ni kwamba wapakistan hawtaki kuonekana kama wameshiriki. Lazima kuna ofiss wa ngazi za juu wachache walijua. Inawezekana hata radr ziliharibiwa makusudi kwa ajili ya operation.

Eneo hilo kuna kitua cha kijeshi na pia sio mbali sana kuna ka kituo ka nyuklia. No way hata simple radar ishndwe kuona low flying helicopter.

Hii movie ni kwamba serikali ya pakistan wanaogopa kuonekana wanashirikiana na marekeni wazi wazi. Ni kama vile Jk anavyoogopa kupigana na ufusadi wazi wazi Au mpaka asaidiwe na Mukama na Nape......... haikuwa nia yake ........inamlazimu tu ...............

Ndugu wadau;

Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.

Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.

We need to receive it with intensive care!!!
I dont think we needed Osama in our everyday life because he is not water or air or any necessary basic need...he had his interests and we have our interest bt we trust the US ARMY
 
Hiyo inaitwa ......three point and a buzzer....next Tea Party.....nitam-join Ngosha NN

Mimi ndo chairman wa Forsyth County Tea Party. Tutakuwa na rally kesho pale Peachtree Parkway mkabala na lile jengo la Donald Trump.

Na waliomuua, kama kweli kafa, ni wanajeshi. Obama hajafanya lolote zaidi ya kusema 'go ahead'. So give credit to the real heroes and the fake ones.

Having said all of that, trust what the Americans are saying but we need verification too.
 
Ni uongo wa Serikali ya Obama kuwa Osama bin Laden eti wamemuwa na Maiti yake kuizika Baharini Wa Tanzania amkeni acheni Usingizi. Tunachotaka Ushahidi wa picha za Osama kama Bush alivyo Wauwa na kuonyesha Picha za Watoto wa SAADAM HUSSEIN walivyouliwa IRAQ, huo ni uongo wa Rais Obama kumuuwa Osama Bin Laden na kumzika eti Baharini Wabongo Amkeni jamani. Uongo wa Serikali ya Marekani kumuuwa Osama ni kama Uongo wa Mayahudi kumuwa Bwana Yesu Kristo na hawakuumuwa huyo YEsU hao Wayahudi.
 
BBC News - Osama Bin Laden dead

Hapo una maneno nimeweka ni ya kwanguu lakini nimesikiliza na kusoma BBC na wanasema na kuandika kazikwa tayari. kwa matamshi/maadishi yao wamesema ili kuendana na muslim faith .

But nadhani watakuwa wamechukua kipande cha nyama kwa ajili ya kumbukumbu na DNA.

lol

"Kazikwa" kwa kutupwa baharini, BBC ipi hiyo unasikiliza wewe?
 
Hii ya kuzikwa baharini haiingii akilini mwangu. Kazikwa bahari gani hiyo? This whole thing is just bizarre to me.
 
Sio kwamba hizo helikopter zime fly below radar. Ni kwamba wapakistan hawtaki kuonekana kama wameshiriki. Lazima kuna ofiss wa ngazi za juu wachache walijua. Inawezekana hata radr ziliharibiwa makusudi kwa ajili ya operation.

Eneo hilo kuna kitua cha kijeshi na pia sio mbali sana kuna ka kituo ka nyuklia. No way hata simple radar ishndwe kuona low flying helicopter.

Hii movie ni kwamba serikali ya pakistan wanaogopa kuonekana wanashirikiana na marekeni wazi wazi. Ni kama vile Jk anavyoogopa kupigana na ufusadi wazi wazi Au mpaka asaidiwe na Mukama na Nape......... haikuwa nia yake ........inamlazimu tu ...............

Duh! Sawa expert! Inaelekea wewe unajua habari zaidi ya NewsMedia! Maana wao ndio wame-ripoti low fly helicopters below radar detection. Lakini naona wewe ni expert zaidi kwenye haya mambo!
Sometimes mkuu kuna ishu za opinion zinazoweza kuwa challenged bila facts na sometimes tunatoa information iliyotoka kwenye trusted media. Sasa hapo wewe unapopingana nayo, tunategemea uje na sababu kamili!
Umeambiwa kuwa Marekani haikushirikisha taifa lingine lolote. Sasa wewe unadai kuwa Pakistan walijua. Sijui unadhibitishaje haya madai...
 
Kuna kitu kimoja ambacho kwa sasa ni muhimu tukafahamu. Pakistan na afgan kuna wafuasi wengi sana wa Osama hivyo kudisclose hiyo operation ilikua supported na mojawapo ya nchi hizi ni likely kulipuka. wengi tumesoma onyo lililotolewa na baadhi ya wafuasi wake watalipiza kisasi na wameapa kuanza na raisi wa pakistani. So nchi yeyote iliko karibu na camps za haya al-queda haziko tayari kusema wameshiriki kwenye operation. wanaweza kuwa hawakushirikishwa kwenye inteligency operation bali kwenye final count tu.

huu ni uelewa wangu mdogo
 
Arctic Ocean...

How convenient, buried at sea, so no one can verify this claim, nice! And the U.S. Government pulls another one over the eyes of the suckers who so desperately want to believe that the Government is all good and would NEVER deceive its people.
 
Ni uongo wa Serikali ya Obama kuwa Osama bin Laden eti wamemuwa na Maiti yake kuizika Baharini Wa Tanzania amkeni acheni Usingizi. Tunachotaka Ushahidi wa picha za Osama kama Bush alivyo Wauwa na kuonyesha Picha za Watoto wa SAADAM HUSSEIN walivyouliwa IRAQ, huo ni uongo wa Rais Obama kumuuwa Osama Bin Laden na kumzika eti Baharini Wabongo Amkeni jamani. Uongo wa Serikali ya Marekani kumuuwa Osama ni kama Uongo wa Mayahudi kumuwa Bwana Yesu Kristo na hawakuumuwa huyo YEsU hao Wayahudi.

Ningekushauri tu kichaa chako kiishie huko kwa OSAMA na MAREKANI. Habari za Yesu na wayahudi hakuna unalolijuwa. is better u shut up ur mouth.
 
Waislamu punguzeni mikwara nyau, marekani haijakosea chochote kwa waislamu kama sio kununua mafuta yao, wakitajirika ndio wanazidi kujiona, mafuta hayako kwao tu, angalia Bush alitaka kuachana na mafuta ya nchi za kiislamu, unaona nchi za waarabu wanavyogombania na kujipendekeza kuuza mafuta kwa wakristo wazungu? hebu tazama miondoko ya UAE, QATAR, LIBYA, SAUD ARABIA na BAHRAIN, angalia nchi hizi zina ugomvi chinichini wa kugombania soko la mafuta yao, na ndio maana Qatar wanaipiga kwa hamu libya sasa hivi ndege nyingi zinazorusha mabomu libya ni za jeshi la QATAR. ondoeni huyo sumu iliyomo ndani yenu, japo nyinyi wa Tanzania, achaneni na ujinga

wape wape eee vidonge vyao wakitema wakimeza shauri yao. safi sana umewapasha maana hawa watu sijui wana akili gani hata waliosoma akili zao hazina akili
 
Al qaeda will '' almost certainly'' attempt to avenge Bin Laden death quoted from CIA Director Leon Panetta! mmhh!!
 
I would think..just think that the one you have been trying to capture for so long...that you would at least show "your trophy"
 
Hahahaha mkuu, I know kuna watu hii habari si nzuri kabisa kwao kuelekea 2012. There will be a lot of consipiracy theories to distort the truth. Obama got him!

Sasa nafahamu kwa nini NN yupo so negative kuhusu kuuwawa kwa Osama. Because it has happened under Obama's presidency!!! Nakumbuka wakati wa 2008 US election period na jinsi NN alivyokuwa anamponda Obama....Hofstede, you nailed it on the head!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom