kinja
JF-Expert Member
- Oct 10, 2010
- 201
- 27
Ndugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!
exactly especially after the current allegation on birth place and date for obama