Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
.
Lazima tuandamane shura sijui wako wapi Marekani inavunja haki za binadamu na kuwaonea waislam duniani.

Ala! Ukiziba huku panavuja kule! Mtaonekana malimbukeni jamani! Minyeni kama vile hamjasikia
 
Siwezi kuchangia thread za kishetani, nilitalajia uulize je ni mbinu gani zifanyike kumaliza masalia ya Al qaida? na sio kujuwa nani atakuwa kiongozi wa uovu.

Umekua kiakili hakika ndg yangu, kuna maswali mengine hata kijibiwa ni kujichosha tu.
 
Eqlypz & Yoyo said:
YUko mbinguni na mabikira 70,pheew...
Wakati Osama anafaidi 'bikra 72' ngoja wengine tuendelee na maisha yetu ya kila siku.
Naona baadhi ya wakilisto wanapenda sana kueneza vitu vya uongo na kuvishikilia kwenye akili zao...!

Mimi ni Muislam kindaki ndaki haswa, ukipenda waweza kuniweka kwenye kundi la siasa kali...! Lakini katika kusoma kwangu kote uko sijawahi kuona hiyo kitu ya mabikira 72.

Ni wapi hii habari ya mabikira 72 imeelezwa kwenye Uislam?

Labda unazungumzia wakiviacha vyote watapata kila kitu mara 100. I mean Wake mia, mashamba n.k
 
Mkuu sidhani kama ni kweli usemayo. Kwa mujibu wa balozi wa pakistani nchini uingereza akihojiwa na CNN leo hii kasema waziwazi kua pakistani ni mshirika madhubuti katika vita dhidi ya ugaidi/al qaeda. Na kuthibitisha hilo kadai nchi yake imeshambuliwa mara nyingi zaidi kuliko nchi nyingine na magaidi. Wananchi wake (civilians)wengi zaidi wameuawa na wengi zaidi kujeruhiwa kuliko nchi nyingine. Wanajeshi wake wengi zaidi wameuawa na wengi kujeruhiwa kuliko wa nchi nyingine. Hivo kadai wao wako full committed na hiyo ndo price na sacrifice waitoayo kama matokeo ya ushiriki

Mkuuu sikatai kuwa serikali ya pakistan iko cmmited lakini kuna idaidi kubwa ya wanachi wana faith ya ajabu na OSAMA alikuwa anakubalika. na ndio maana hata safe heaven yake ilikuwa pakistan sio india au Indonesia.

Nimesoma muda mfupi idadi ya watu wengi tu wamendamana kwenye mji fulani uko pakistan wakichoma bendera ya USA kupinga kuuwawa kwa osama. U can see what I mean.

Nakubaliana na yote uliyoyasema lakini kuna public kubw atu jamaa ana suport ina inamkubali
 
Mkuuu sikatai kuwa serikali ya pakistan iko cmmited lakini kuna idaidi kubwa ya wanachi wana faith ya ajabu na OSAMA alikuwa anakubalika. na ndio maana hata safe heaven yake ilikuwa pakistan sio india au Indonesia.

Nimesoma muda mfupi idadi ya watu wengi tu wamendamana kwenye mji fulani uko pakistan wakichoma bendera ya USA kupinga kuuwawa kwa osama. U can see what I mean.

Nakubaliana na yote uliyoyasema lakini kuna public kubw atu jamaa ana suport ina inamkubali

Ndio mfa maji kaka , kisago kimezidi huko Kandahar wanatafuta mlango watoke maana taliban siku hizi wanatembea chini kwa chini
 
Waislamu wanazika ndani ya 24hrs. Hiyo ni ku-respect dini yao maana hawataki attack yeyote kutoka kwa waislamu kuwa hawaja heshimu dini yao, nk. Maana watu wanapenda kudandia kosa lolote ilimradi wapate sehemu ya kuponda na kushtumu!
wakibaki na mwili watapata faida gani?
Kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa wamemzika baharini mapema ili kuheshimu dini ya kiislam?
 
Here is the image that was photoshopped into the mirrored photo: http://a3.blick.ch/img/gen/p/a...

The same image circulated back in 2009 when a viral rumor spread about Osama's alleged death.[/QUO

One of the reasons which are believed by Pakistan people for the assasination of Benazir Bhutto by Americans is mentioning the death of Osama bin Laden on public, which was not on the interest of Americans. Take a look on this video in 2007, by Benazir. Then compire na profile ya Benazir kwa kutoa tamko kama lile on public kama ulikuwa ni uongo au hapana.
YouTube - Flashback: Benazir Bhutto Says Osama Bin Laden Dead In 2007!
 
Sisi tuliozoea kuhojiana na watu huwa tunagundua uwongo kirahisi.Njia ya muongo ni fupi.Kwani Afghanistan wanakosema waliupeleka mwili wa Osama kuna bahari?

Hujasikia ni wapi wewe? Kwani unafikiri kwa akili yako wamarekani hawajui kama kuna watu wasomi na wanaojua jiografia za kila sehemu? Nafikiri umekurupuka hapa.
 
You can't fool great thinkers Straatkasyambe, do you see how Mkasika has reveal your silly post? Don't Try It again!

Fanya utafiti kwanza ndio ulete majibu kama haya, mimi nakuona mvivu wa kufiri tu
 
U.S Officials say will release Bin Lade tape which was recorded shortly before his death.

Source: news.sky
 
jamani hebu hapa tuwe makini kidogo. this can very important move toward ONE WORLD GOVERNMENT. NaOmba tufuatilie kitu kinachoitwa NEW WORLD ORDER wakati haya mambo yanaendelea. ALMOST EVERYTHING THAT OCCURS AT THIS TIME WAS CAREFULLY PLANNED.
 
Huyu atakuwa ni shujaa wa kila mpenda haki.Tatizo sio kufa bali mazingira ya kifo ni ya utatanishi.Hali hii ya kutapatapa kutengeneza kifo inaweza ikamjengea heshima zaidi Osama.Kumbe amekufa shahidi,huku anapigana.
Mimi ningesikitika kama ningesikia kuwa Osama kajiuwa,kajisalimisha kwa vikosi vya NATO au amekamatwa.Vile vile nitalia sana nikisikia Gaddafi kakamatwa au kajisalimisha,lakini kwamba ameuliwa si tatizo kwa binadamu mwenye kukataa udhalili.

Wewe ndg yangu, unajua kumtetea jambazi tunakuwa na wasiwasi nawe! Hata kama wa dini yako ifike mahali tutofautishe undugu, dini, kabila na matendo ya mtu.
Unajishusha sana kumtetea osama
 
Hapo ndio unapokosea, kutoa shutuma nzito bila ushahidi. Yaani una maana Benazir Bhutto aliuwawa na wamarekani?

Read between lines, imendikwa Believed by Pakistans. Askarikanzu kwa hiyo wewe unaamini hawawezi kumuuwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom