How did he die? Are you all buying what the Americans are saying that they killed him? It is being said that he died a week ago. How can we know if he didn't die due to natural causes. He was sick for a long time anyway.
These Americans man. Anyway let's wait for more detail.
Inkoskaz, afadhali wamemaliza kafa digfied death by bullets than kudhalilishwa na Wamarekani na kufa kifo cha aibu kama Saadam. In actual fact Osama kafa Kishujaa.kumuua pasipo kumkamata akiwa hai ni failled mission
Wanasema washamzika tayari so wamempiga Picha na kuchukua DNA Test results
it is true he has died as a hero ndo maana nimesema wamefail...killing haikuwa na mashiko sanaInkoskaz, afadhali wamemaliza kafa digfied death by bullets than kudhalilishwa na Wamarekani na kufa kifo cha aibu kama Saadam. In actual fact Osama kafa Kishujaa.
nice Quote Brutus..well said!!Hii ni sawa sawa na Kumuua Yesu.. watu wanashangilia kumbe kuna mitume wamejibanza mahali.. wanasubiri time yao ifike waanze kumwaga neno!
Obama si mweusi. Ni nusu mzungu na nusu mweusi. Nusu ya kitu haiwezi kuwa nzima ya kitu.
Hii ni sawa sawa na Kumuua Yesu.. watu wanashangilia kumbe kuna mitume wamejibanza mahali.. wanasubiri time yao ifike waanze kumwaga neno!
Ilikuwa Wanted Dead or Alive.... kafa kishujaa au la hiyo ni interpretation ya kila mtu, to me he was a coward kwa sababu huwezi kukusanya watoto wa watu na kuwapa bunduki wapigane vita ambayo hawaijui wakati wewe umejichimbia kwenye jumba la kifahari la dollar million moja.it is true he has died as a hero ndo maana nimesema wamefail...killing haikuwa na mashiko sana