Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Narudi
IMG_20200621_084615.jpeg
 
Sijui kama siasa za ugali watu wanazijua huwa wanapenda majanga ili chama/mtu/cheo/kada fulani ipendwe kuliko wengine...

Baada ya watumishi hewa kuondolewa na wanajua kazi za utumishi wa umma sijui wanatuandalia makao gani huko tukistaafu.... Ulikuwa ujanja kucheza na kuwatengenezea dharau kwa jamii....

Kazi hiyo ya kukubali maagizo ya mitego kwa kwenda mbele sijui itaisha lini!? Wengine tunaangalia tu bora sekta ya UONGO iendelee kutafuta ZILIPENDWA

http://kilosadc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/346750078-Public-Service-Halmashauri.pdf
Hivi anayehitimisha kuwa ni vya kughushi au lah ni nani? Maana hio orodha na hio title ni kama vile imeshakua declared kuwa wameghushi
 
Hivi anayehitimisha kuwa ni vya kughushi au lah ni nani? Maana hio orodha na hio title ni kama vile imeshakua declared kuwa wameghushi
WEWE ACHA KUSAFISHA JINA LAKO SEMA UKWELI JAMAA ALIGHUSHI HUYOOOOO MCHEZO WA KUCHAFULIANA MAJINA BORA WAZUNGU WAPO HUMU

 
Back
Top Bottom