Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Majina.jpg

Hapa sijui imekuwa hivi kwa faida ya nani? Aliyeagiza zoezi au mtekelezaji? kuna tofauti gani kwa majina hayo niliyoyaweka kwenye rangi ya njano?!!!!!

Katika zoezi hili kuna upande umeibiwa, ipo siku itafahamika tu kama mkulu kapewa idadi fake ya 9000+ au wajanja ndio wamekula perdiem zao sasa kuzitema kwa kuleta idadi ndogo itakuwa noumer!!!

Tanzania ya Vi-Wonder!
 
orodha ya waajiriwa wa serikali mbona haipo hapa? mwenye nayo msaada tafadhali atupie hapa.
 
View attachment 504102
Hapa sijui imekuwa hivi kwa faida ya nani? Aliyeagiza zoezi au mtekelezaji? kuna tofauti gani kwa majina hayo niliyoyaweka kwenye rangi ya njano?!!!!!

Katika zoezi hili kuna upande umeibiwa, ipo siku itafahamika tu kama mkulu kapewa idadi fake ya 9000+ au wajanja ndio wamekula perdiem zao sasa kuzitema kwa kuleta idadi ndogo itakuwa noumer!!!

Tanzania ya Vi-Wonder!
Ni kweli majina mengi sana yamerudiwa zaidi ya mara moja. sijui ni kwanini wamefanya hivyo.
 
Hiyo orodha ingependeza kama yangewekwa na majina halisi ya waliofoji vyeti kuliko kuonesha majina ya waliobiwa vyeti tu, ingekuwa kwa mfano Jina halisi: xcccx zxxxcv anatumia cheti chenye Jina: xxvnn hklhc
 
Mwenye orodha iliyotolewa ya wenye vyeti feki mkoa wa Kagera, naomba anisaidie
 
Km una Whatsap lete namba nikuwekee...maana wengi wanahitaji...wewe uje uiweke hapa...ina 24.5mb....nmeshindwa kuwawekea maana ina majina ya nchi nzima
 
Sijui kama siasa za ugali watu wanazijua huwa wanapenda majanga ili chama/mtu/cheo/kada fulani ipendwe kuliko wengine...

Baada ya watumishi hewa kuondolewa na wanajua kazi za utumishi wa umma sijui wanatuandalia makao gani huko tukistaafu.... Ulikuwa ujanja kucheza na kuwatengenezea dharau kwa jamii.

Kazi hiyo ya kukubali maagizo ya mitego kwa kwenda mbele sijui itaisha lini!? Wengine tunaangalia tu bora sekta ya UONGO iendelee kutafuta ZILIPENDWA

http://kilosadc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/346750078-Public-Service-Halmashauri.pdf
 
Back
Top Bottom