Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 763
Kimboka habari ya Mafinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfano George Philip kimboka nchini yupo mmoja
lako umezibitisha wapi
Kimboka habari ya Mafinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfano George Philip kimboka nchini yupo mmoja
lako umezibitisha wapi
Hii ni nchi yenye mambo ya ajabu sana.Kweli ni nchi yenye maajabu mengi sana, nimegundua baada ya muda fulani watalii watakuwa wanakuja nchini kutuangalia kama mbuga zetu za wanyama wa porini
Nchi hii inatakiwa kuingizwa kwenye maajabu matatu ya duniaHii ni nchi yenye mambo ya ajabu sana.
Mama mama, huko ni majanga... Nchi itabaki utupu...View attachment 502470
Watumishi wa umma wapo 570,000, kwa nini wakaguliwe 400,035 hawa wengine waachwe? tuna taka orodha ya JWTZ, Polisi, JKT na Magereza.
Hahahah dah hata mm nimeona jina la rafiki yangu nae hajawahi kufanya kazi serikalini na tumesoma wote A level na chuo.Binafsi nimeona jina langu,na sijawahi kufanya kazi serikalini wala kumpa mtu vyeti vyangu
ndiyo hivyoMbona unatutisha
Hakuna namna.Mama mama, huko ni majanga... Nchi itabaki utupu...
Mi mwenyewe Kuna ka mdada ka mwalimu nina hakika hakakufoji vyeti ila jina limetoka,dah hadi huzuni.Kuna mtu nimesoma nae olevel ameonewa alimaliza mwaka mmoja mbele yangu yaani roho inaniuma sana Nina uhakika hajafoji sijui namsaidiaje?
Alafu fulani na wasaidizi wake bila aibu wanajisifu kuwa wanafanya kazi nzuri na kwamba eti tuwaombee!!!Nchi hii inatakiwa kuingizwa kwenye maajabu matatu ya dunia
Na mikopo ya bodi napo sijui inakuwaje hapo.Hiv apo wenye Mikopo Bank inakuaje mkuu,
Mbona silioni...!!!!!!!!! 😳 😳 😳 😳 😳Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.
Orodha ni hii hapa
Pole yako aiseee
[emoji28] yani ww..!Binafsi nimeona jina langu,na sijawahi kufanya kazi serikalini wala kumpa mtu vyeti vyangu
9000 tu?? na majina yangekuwa ya upande mmoja ungekaa kimya? au majina yameandaliwa na dini yako?Duh afu walikuwa wanasema watu wa dini flani hawajasoma lakini nikiangalia hyo orodha napatwa mshangao
Inawezekana walishare hicho chet na mtu mwingine bila kujua wewKuna mtu nimesoma nae olevel ameonewa alimaliza mwaka mmoja mbele yangu yaani roho inaniuma sana Nina uhakika hajafoji sijui namsaidiaje?