Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,888
35,901
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa?



Vipi hii kuwahusu hawa wengine?



Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
 
Wapinzani wenyewe hawasomeki , ndo chanzo kikubwa cha kuchochea makundi ,pambaneni na Hali zenu
 
Kamanda unachosha kwa kubandika threads zenye maudhui yale yale mitandaoni kila siku.

Ingia barabarani uandamane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…