Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Kifo ni nje nje kwa vipi
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti ndio ana kazi ya kuuliza hao majirani kuwa blackcornshma kaomba kumiliki silaha je anafaa au miyeyusho? Kuna siku nimetoka job wife ananiambia alikuja mwenyekiti kutuuliza tabia za flani maana kaomba kumiliki mjegejo
Raha ya JamiiForums. Mjegejo neno murua hilo maana yake kilipuzi. Da raha tupu
 
Acha kutufanya watoto
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulínunulia wapi?

Mimi ni Mkenya naishi Nairobi. Mwaka 2015 niliomba na nikapewa kihalali cheti cha kumiliki silaha kisha nikanunua Ceska. Kusema kweli hata baada ya miaka 5 sijazoea kutembea na hii kitu. Unatakiwa uvae koti ama jacket mda wote hata kukiwa na joto ili kifaa kisionekane, mimi nimezoea kuvaa shati tu au T-shirt. Huruhusiwi kuiacha kwenye gari kwa sababu ikiibiwa kesi unayo nzito sana. Nimebaki kuiacha nyumbani kwenye safe mda wote isipokuwa nikienda mazoezi kwenye shooting range Na nikisafiri kwenda vijijini. Halafu huku Kenya kutokana na tishio la Al Shabaab, maeneo yote uendayo iwe kanisa, baa, benki, supermarket yana walinzi wa kukupiga search. Mlinzi akikupiga search ataiona ila unatakiwa umwonyeshe permit, hana tatizo nawe but hujui atamweleza nani kuwa huyu jamaa ana mguu wa kuku. Vibaka wanaweza kukutoa uhai ili waichukue. Kweli confidence imeongezeka sana ila sijawahi kuifwatua nje ya shooting range nikifanya mazoezi.
 
Kuna kipindi nilikuwa nilipewa hela za malipo za wafanya kazi na mzee nikaenda kuziweka ndani, usiku narudi hom namkuta bro wangu yupo na washkaji zake wanachukua mzigo, aisee ndiyo ikawa mwanzo na mwisho kumiliki silaha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto"
KWANGU HII NI FIX TU, KWA WALIOKO KWENYE NDOA WATAKUBALIANA NA MIMI. MIAKA 10 MKE WAKO HAJAWAI KUIONA? UNAILAZA WAPI? KUWA SERIOUS KIDOGO MZEE MWENZANGU BASI
Ujue na mimi nimeshangaa sana practically impossible kukaa miaka kumi na wife asiione bastola🤔🙃
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app

No. 7: Kuwa nayo ni uchaguzi na ni hiyari.
No. 8: Ukigombana na mke hupaswi hata kufikiria Kuitoa maana sio tishio la kifo Kwa hiyo usiseme umepiga moyo konde!
 
Ya mirathi..!! Hivi kuna kurithi silaha?
Ni hivi hiyo silaha, nilishaikabidhi polisi kwa hifadhi na ndio utaratibu. Na nikitaka iwe yangu taratibu za kumilimishwa nimeelekezwa. Ila kwa uzoefu wa huyo mwenzangu bora niiachane nayo.
Kuna wengine wamepata muwasho wa kuitumia kwa kisa kidogo sana kama kubisjama na dereva wa daladala.

Naona bora niwaachie polisi au serikali
Nadhani imeeleweka sasa. Ina maana ni yangu ila natamiwa nifuate taratibu ili niweze kuimiliki na kuitumia
 
Umefanya la maana sana mkuu... si unakumbuka ya Ditopile..!!! Kumuacha mtu uliyemfumania na demu wako wakati unamiliki bastola ni kazi sana
 
Safi sana mkuu, ila ukifumania haivumiliki unacharaza ntu angalau ya tako tu.usimuue atajidai sana huko mbele
 
Usisahau ukiwa nayo uwezekano wa kukaa gerezani unakuwa mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu,mm nna jamaa zangu wawili wapo mpaka Sasa magereza kwaajili ya kesi ya silaa,mmoja kaenda 2015 ilikua kwenye shereh moja Kuna deal walifanikisha huyo jamaa angu akaamua kupiga risasi juu kusheherekea bahati mbaya akajikuta kamuua mtu!!!.mwingine 2017 kafumaniwa kapigana kaona ameshindwa na ana bunduki kiunoni kavuta kampiga jamaa ndohivo mwaka Jana aliyepigwa risasi kavuta so jamaa yuko jela right now.so ukimiki bunduki unakua uspokua makini unakua direct pembezeno mwa mlango wa hela.

Sent using [ ]
 
Mimi ni Mkenya naishi Nairobi. Mwaka 2015 niliomba na nikapewa kihalali cheti cha kumiliki silaha kisha nikanunua Ceska. Kusema kweli hata baada ya miaka 5 sijazoea kutembea na hii kitu. Unatakiwa uvae koti ama jacket mda wote hata kukiwa na joto ili kifaa kisionekane, mimi nimezoea kuvaa shati tu au T-shirt. Huruhusiwi kuiacha kwenye gari kwa sababu ikiibiwa kesi unayo nzito sana. Nimebaki kuiacha nyumbani kwenye safe mda wote isipokuwa nikienda mazoezi kwenye shooting range Na nikisafiri kwenda vijijini. Halafu huku Kenya kutokana na tishio la Al Shabaab, maeneo yote uendayo iwe kanisa, baa, benki, supermarket yana walinzi wa kukupiga search. Mlinzi akikupiga search ataiona ila unatakiwa umwonyeshe permit, hana tatizo nawe but hujui atamweleza nani kuwa huyu jamaa ana mguu wa kuku. Vibaka wanaweza kukutoa uhai ili waichukue. Kweli confidence imeongezeka sana ila sijawahi kuifwatua nje ya shooting range nikifanya mazoezi.
Maelezo yamenyooka hujaacha loop yoyote ya kuuliza swali, asante mkuu
 
Back
Top Bottom