Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Kabisa mkuu,mm nna jamaa zangu wawili wapo mpaka Sasa magereza kwaajili ya kesi ya silaa,mmoja kaenda 2015 ilikua kwenye shereh moja Kuna deal walifanikisha huyo jamaa angu akaamua kupiga risasi juu kusheherekea bahati mbaya akajikuta kamuua mtu!!!.mwingine 2017 kafumaniwa kapigana kaona ameshindwa na ana bunduki kiunoni kavuta kampiga jamaa ndohivo mwaka Jana aliyepigwa risasi kavuta so jamaa yuko jela right now.so ukimiki bunduki unakua uspokua makini unakua direct pembezeno mwa mlango wa hela.

Sent using [ ]
Utakua unamuongelea luka mdogo wa felix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu kwako,
Mke hajui kama una siraha kwa miaka yote kumi? wakati wa kuvua nguo unamwambia asinzie kwanza au unabadirisha nguo chumba kingine?
Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna polisi mmoja alikuwa mtungi a kaenda na bastola chooni kufika chooni akaitoa akaiweka juu ajisaidie, kutoka chooni akaisahau
Kama zali mlinzi wa Ile bar akaichkua wao na uongozi wa bar wakaipeleka obay police
Mititi ulimuangukia polisi yule
Nakumbuka bar yenyewe ilikuwa mitaa ya Africana....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi husahau chooni mimi na mifano zaidi ya 5 wote wamesahau chooni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli hapo nimemshangaa kidogo. Eti miaka 10 upo na silaha na mke wako hajui kama una silaha? Huu ni utani uliopitiliza. Anatembea nayo halafu anarudi nyumbani anatoa silaha mafichoni na kuihifadhi lakini mke wake hajawahi kuiona!!!!

Nina wasiwasi hii ni fix ya story kama story nyingine. Hamna ukweli wowote.

Tiba
Hapana,
Ni kitu inawezekana kabisa. Ukirudi unamkuta anapika labda unapitiliza chumbani. Na ukimkuta chumbani basi labda utavua Shati tu ubaki na Suruali ndo uende sebuleni, au pia Unaweza ukaanzia sebuleni ukaiweka chini ya kochi ndo uende chumbani. Wangu nilikuja kumwambia mwenyewe after two years, nilimuanzia mbali kidogo.

Shida ya hii kitu ni kua umeinunua ili ikulinde wewe lakini muda ambao Wewe unautumia kuilinda yenyewe ni mkubwa kuliko muda ambao yenyewe inakulinda Wewe.
 
We bado mdogo sana.

Katika mavitu ambayo sitaki kuwa nayo ni mkuu wa kuku.

Mwaka 2008 nilikuwa na moja ninahasira sana mimi. Nikifika sehemu ukanizingua nakunyoonshea mswaki

Niliirejesha baada ya kupsss psss gari ya jamaa alipaki vibaya, tairi zote pigilia mbali. Nikatoa pesa pale pale. Akanunue nikamuonya akinifata nammaliza. Sikumuona hadi leo
 
We bado mdogo sana.

Katika mavitu ambayo sitaki kuwa nayo ni mkuu wa kuku.

Mwaka 2008 nilikuwa na moja ninahasira sana mimi. Nikifika sehemu ukanizingua nakunyoonshea mswaki

Niliirejesha baada ya kupsss psss gari ya jamaa alipaki vibaya, tairi zote pigilia mbali. Nikatoa pesa pale pale. Akanunue nikamuonya akinifata nammaliza. Sikumuona hadi leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].bola hata uliirudisha mkuu
 
Back
Top Bottom