Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Nadhani hujapita JKT maana unaambiwa unaweza muachia rafiki yako mkeo lakini. Silaha hakabidhiwi mtu awaye yote. Ule ni msalaba wako na Golgotha utaufikisha peke yako, kwani hakuna Simon Mkirene wa kukusaidia.

Kwangu hizo ndio ushauri mkuu kati ya mambo uliyoandika. Kudos kwa kubaini ukweli halisi in a hardway

Bazazi


Sent using Jamii Forums mobile app

Kipindi nipo jkt nilipoteza mdeki wa bunduki, nikiwa lindo, kama ulipitia jkt unajua mziki wake hapo kikosini..

Ila ulipatikana..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto"
KWANGU HII NI FIX TU, KWA WALIOKO KWENYE NDOA WATAKUBALIANA NA MIMI. MIAKA 10 MKE WAKO HAJAWAI KUIONA? UNAILAZA WAPI? KUWA SERIOUS KIDOGO MZEE MWENZANGU BASI

Sasa unabishananae ? Wakati yeye ndio anasema


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna polisi mmoja alikuwa mtungi a kaenda na bastola chooni kufika chooni akaitoa akaiweka juu ajisaidie, kutoka chooni akaisahau
Kama zali mlinzi wa Ile bar akaichkua wao na uongozi wa bar wakaipeleka obay police
Mititi ulimuangukia polisi yule
Nakumbuka bar yenyewe ilikuwa mitaa ya Africana....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante bro nimeachiwa ya mirathi naona bora niwaachie polisi

Xxccccccccccccccccccccvccvvvvvvvv

Nimeona maswali mengi ngoja ninyoshe maelezo


Ni hivi hiyo silaha, nilishaikabidhi polisi kwa hifadhi na ndio utaratibu.

Na nikitaka iwe yangu taratibu za kumilikishwa nimeelekezwa. Ila kwa uzoefu wa huyo mwenzangu bora niiachane nayo.

Kuna wengine wamepata muwasho wa kuitumia kwa kisa kidogo sana kama kubishana na dereva wa daladala.

Naona bora niwaachie polisi au serikali
Nadhani imeeleweka sasa.

Ina maana ni yangu ila natakiwa nifuate taratibu ili niweze kuimiliki na kuitumia




Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuiuza kama ukiona huihitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Irudishe haraka, hiyo haina mirathi, ukitaka kaombe ya kwako.
Kurithishwa ipo, ila kabla ya kupata vibali inatakiwa kuwa chini ya uangalizi wa polisi hadi hapo itakapopata mmiliki mpya, aidha kwa kurithishwa au familia kuamua kuiuza baada ya kuona hawaitaji kuwa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufukara na kumiliki silaha haviendani. Ukiwa na nyumba yako na ukajenga shemu salama ya kuhifadhi silaha yako, hutatakiwa kutembea nayo mpaka kwenye harusi, bar na sehemu nyingine ambazo hazina umuhimu. Wabongo wengi silaha inakuwa mzigo kwao kwa sababu wanajipa jukumu la kuandamana nayo masaa yote. Unakuta mtu hata kwenda chooni na kujisaidia ni shida, ukichukuwa changudoa ni shida etc. Kwa nini usitengeneze safe corner chumbani kwako uwe unaiweka muda ambao hakuna ulazima kwa kuibeba?
Hiyo ndio changamoto, kisheria huruhusiwi hata kuiacha ndani ya gari, ukishuka unayo. Ni muhimu kama unamiliki hii kitu ukajijengea ki safe nyumban kwako, password yake hata mkeo hatakiwa kuijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe nikimiliki hiyo kitu nitawakojolea watu makusudi tu nione....
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikusimulia ya kwangu nina hakika utashangaa sana !
 
Nikikuja kugundua nahitaji kuwa na pingu wakati fulani ninapokuwa maeneo ya vijijini saingine kunakuwa na shughuli za kijamii matharani harusi , mikesha ya kumbukumbu za misa, harusi huwa zinakesha kwa ngoma vijijini n.k

Sasa kuna jamaa wakorofi huwa wanapenda kuanzisha fujo na virugu kwenye hizo shughuli,

Sasa nikajagundua kama mtu miongoni mwenu anapingu ni kiasi cha kumfunga mmoja ili kumdhibiti aache kuharibu shughuli kisha asubuhi akitubu mnamfungua !

Kwa naomba mwenye kujua anielekeze wapi zinapatikana na infact niko na sifa zote za kuweza kumiliki na za ziada


Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka michache nyuma nilikua nje kdg ya Tz sasa kuna sister wangu ktk mawasiliano yahapa napale kuna siku akanambia Shemu wako anataka pingu naskia huko zinapatikana kirahisi nunua ukirudi atakurudishia pesa yako..
Aah sasa nikajiuliza sasa pingu yanini zakazini kwake hazitoshi mpaka anataka yake binafsi yakuning'iniza kibindoni muda wote..kwakweli sijajishuhulisha kutafuta wala kuleta
 
Back
Top Bottom