Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mimi ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko Baa nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kiburi its true, vijana wa chuga wana ulinbukeni fulani utakuta wanajifanya wanakandamizi pesa zisipeperuke juu ya meza wakiwa Bar.
 
aise hii kitu,ni raha Sana kuwa nayo,Ila Kama una kichwa kichafu inakupa kiburi kibaya Sana,unakufanya ujione wewe ni bonge la commando,kila mtu unamuona ni mdogo Sana kwako na sio level zako kabisaa! kibaya zaidi inakufanya akili yako kila dakika ime concentrate kwenye hii kitu.usiku ukilala ni mang'amu ng'amu,kila ukikurupuka usngzini Cha kwanza kuja kwenye akili yako ni silaha.

Kibaya zaidi Kama ukifanya makosa mkeo ajue unamiliki hiyo manati,aise ni shida,mkigombana kidogo siku hiyo unawaza mahali pa kuihamisha .hii kitu ni raha kuwa nayo bt at the same time ni mateso .
 
Hongera, maana mwenye kifua kidogo lazima aitumie popote akivurugwa
Majuzi nimeshuhudia humu kwenye barabara zetu za bongo zilizokaa kama vichochoro pasi nje nje jamaa na baby walker yake IST kamtolea mwenzake mkwaju eti kwa sababu kwenye kupishana sehemu nyembamba ameenda kumgusa bumper la nyuma.

Jamaa alishuka na chuma anatweta kwa hasira bahati defender la police lilikuwa linakatiza karibu wakamtia bangili wakaondoka naye,wapo watu siyo wakumiliki hivi vitu kile siyo kiwembe ni kitu hatari kama alivyoshauri mdau hapa bora kodi mabaunsa wakulinde siyo ulazimishe kumiliki chuma.
 
Asante bro nimeachiwa ya mirathi naona bora niwaachie polisi

Nimeona maswali mengi ngoja ninyoshe maelezo

Ni hivi hiyo silaha, nilishaikabidhi polisi kwa hifadhi na ndio utaratibu.

Na nikitaka iwe yangu taratibu za kumilikishwa nimeelekezwa. Ila kwa uzoefu wa huyo mwenzangu bora niiachane nayo.

Kuna wengine wamepata muwasho wa kuitumia kwa kisa kidogo sana kama kubishana na dereva wa daladala.

Naona bora niwaachie polisi au serikali
Nadhani imeeleweka sasa.

Ina maana ni yangu ila natakiwa nifuate taratibu ili niweze kuimiliki na kuitumia

Sent using Jamii Forums mobile appi
Inaruhusiwa kuiuza kwa Kesi Kama hii , unatafuta Mteja anakupa fedha halafu unampeleka Polisi ilipohifadhiwa unamtambulisha uliyemuuzia then yeye anaendelea na taratibu za kumilikishwa kisheria
 
Hapo kwenye kiburi its true, vijana wa chuga wana ulinbukeni fulani utakuta wanajifanya wanakandamizi pesa zisipeperuke juu ya meza wakiwa Bar.
🤣🤣🤣 sijawahi kuona hii. Ila sijaona mkoa watu wana miswaki kama u mkoa.
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mimi ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko Baa nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwn Alex Koroso hakusoma hili file?
 
Kwa hiyo ulikuwa unaomba kukutana na majambazi mkuu, sema tukutane wapi wiki hii tuhabarishane ila isiwe shemu ya watu wengi, porini ni vema zaidi.
 
Hapo kwenye kiburi its true, vijana wa chuga wana ulinbukeni fulani utakuta wanajifanya wanakandamizi pesa zisipeperuke juu ya meza wakiwa Bar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mimi ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko Baa nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichepuka huwa unaitunzaje!?
 
Back
Top Bottom