Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Nikikuja kugundua nahitaji kuwa na pingu wakati fulani ninapokuwa maeneo ya vijijini saingine kunakuwa na shughuli za kijamii matharani harusi , mikesha ya kumbukumbu za misa, harusi huwa zinakesha kwa ngoma vijijini n.k
Sasa kuna jamaa wakorofi huwa wanapenda kuanzisha fujo na virugu kwenye hizo shughuli,
Sasa nikajagundua kama mtu miongoni mwenu anapingu ni kiasi cha kumfunga mmoja ili kumdhibiti aache kuharibu shughuli kisha asubuhi akitubu mnamfungua !
Kwa naomba mwenye kujua anielekeze wapi zinapatikana na infact niko na sifa zote za kuweza kumiliki na za ziada
Sent using Jamii Forums mobile app