Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mimi ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko Baa nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una bahati 'wazee wa kazi' hawajaja kuichukua waongezee mtaji wao wa silaha.
 
Kwa jinsi ambavyo sina uvumilivu, hakika hata sitawaza kumiliki silaha ya moto.
 
"Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto"
KWANGU HII NI FIX TU, KWA WALIOKO KWENYE NDOA WATAKUBALIANA NA MIMI. MIAKA 10 MKE WAKO HAJAWAI KUIONA? UNAILAZA WAPI? KUWA SERIOUS KIDOGO MZEE MWENZANGU BASI
Kwa kweli hapo nimemshangaa kidogo. Eti miaka 10 upo na silaha na mke wako hajui kama una silaha? Huu ni utani uliopitiliza. Anatembea nayo halafu anarudi nyumbani anatoa silaha mafichoni na kuihifadhi lakini mke wake hajawahi kuiona!!!!

Nina wasiwasi hii ni fix ya story kama story nyingine. Hamna ukweli wowote.

Tiba
 
Mtoa mada anawaingiza cha kike.
Berreta nyingi ziuzwazo Tz ni series 92 ambazo Mag yake haibebi 12 rounds bali 10,15,17,18 hadi 32....

Kama anabisha aseme series gani anatumia......
Toka 2004 zinatolewa 92 series hiyo mag ya 12 kwa Tz haipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ana cz
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mimi ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko Baa nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sitarajii kumiliki silaha. Zaidi ninajiwekea tahadhari za kawaida katika maisha dhidi ya uhalifu wowote. By the way, Bwana asipoulinda mji walindao wakesha bure.
 
Miaka 10 na silaha mkeo hajui? Hapo nyoosha maelezo mkuu. Anajua sema labda kaamua kukaa kimya tu, au labda ni wale wake wa kuwaacha mgombani unamwona Xmas kwa Xmas
 
Zamani kwa DSM tulikua tunaenda range kulenga shabaha pale ukonga FFU. Sasa hapako tena kwani SGR inapita pale. Sehemu nyingine ya Range kwa DSM ambayo raia wanaruhusiwa ni ipi?
 
Mtoa mada anawaingiza cha kike.
Berreta nyingi ziuzwazo Tz ni series 92 ambazo Mag yake haibebi 12 rounds bali 10,15,17,18 hadi 32....

Kama anabisha aseme series gani anatumia......
Toka 2004 zinatolewa 92 series hiyo mag ya 12 kwa Tz haipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mimi nilistuka nkaona ninyamaze toka lini buku 7 fc akamiliki bastola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Masai Arusha anapenda sana kuwa anayo, hajui madhara yake, nimeshamnuia mabaya maana alininitishia nayo. Nilivowambia washikaji wanasema ni kawaida yake ana masifa ya kitito japo in mtu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutishiwa ni kosa kma unaushahidi ni kesi unamfungulia na silaha yake atapokonywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika taratibu za kumiliki lazima mwenyekiti wa mtaa ashirikishwe,Sasa mwenyekiti na yy lazma awadadisi wajumbe au majirani kadhaa kua Zamaulid vp hanaga shida!?maana anaomba kumiliki bunduki,so hapo majirani lazma wajue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepata bila huyo mwenyekiti kujua cz wanaotutafutia vibali yani brokers wa hiyo kazi wao wanajua mutasari wanatoa sehemu gani,60% ya wamiliki wa bastola arusha address sio zao

Ni kweli inawezekana kwa hivyo Ila huwezi kaa miaka 10 mke bila kujua una bunduki na majirani mara nyingi Kama unayo watajua tu.

Sent using [ ]
 
I GAVE YOU POWER- NAS

Damn! Look how muh-fuckers use a nigga
Just use me for whatever the **** they want
I don't get to say shit
Just grab me, just do what the **** they want
Sell me, throw me away
Niggaz just don't give a **** about a nigga like me right?
Like I'm a f... I'm a gun, shit
It's like I'm a motherfuckin gun
I can't believe this shit...
Word up... (word up)
I seen some cold nights and bloody days
They grab and me bullets spray
They use me wrong so I sing this song 'til this day
My body is cold steel for real
I was made to kill, that's why they keep me concealed
Under car seats they sneak me in clubs
Been in the hands of mad thugs
They feed me when they load me with mad slugs
Seventeen precisely, one in my head
They call me Desert Eagle, semi-auto with lead
I'm seven inches four pounds, been through so many towns
Ohio to Little Rock to Canarsie, livin harshly
Beat up and battered, they pull me out
I watch as niggaz scattered, makin me kill
But what I feel it never mattered
When I'm empty I'm quiet, findin myself fiendin to be fired
A broken safety, niggaz place me in shelves
Under beds, so I beg for my next owner to be a thoroughbred
Keep me full up with hollow heads
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
Always I'm in some shit, my abdomen is the clip
The barrel is my dick, uncircumcised
Pull my skin back and cock me, I bust off when they unlock me
Results of what happens to niggaz shock me
I see niggaz bleedin runnin from me in fear, stunningly tears
Fall down the eyes of these so-called tough guys, for years
I've been used in robberies, givin niggaz heart to follow me
Placin peoples in graves, funerals made cause I was sprayed
I was laid in a shelf, with a grenade
Met a wrecked-up tech with numbers on his chest that say
Five-two-oh-nine-three-eight-five and zero
Had a serial defaced, hopin one day, police would place
Where he came from, a name or some sort of person to claim him
Tired of murderin, made him wanna be a plain gun
But yo I had some other plans, like the next time the beef is on
I make myself jam right in my owner's hand
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
Yo, weeks went by and I'm surprised
Still stuck in the shelf with all the things that an outlaw hides
Besides me it's bullets, two vests and then a nine
There's a grenade in a box, and that tech that kept cryin
Cause he ain't been cleaned in a year, he's rusty as clear
He's bout to fall to pieces, cause of his murder career
Yo, I can hear somebody comin in, open the shelf
His eyes bubblin, he said, "It was on"
I felt his palm troubled him shakin
Somebody stomped him out, his dome was achin
He placed me on his waist, the moment I've been waitin
My creation was for blacks to kill blacks
It's gats like me that accidentally, go off, makin niggaz memories
But this time, it's done intentionally
He walked me outside, saw this cat
Cocked me back, said, "Remember me?"
He pulled the trigger but I held on, it felt wrong
Knowing niggaz is waiting in hell for 'im
He squeezed harder, I didn't budge, sick of the blood
Sick of the thugs, sick of wrath of the, next man's grudge
What the other kid did was pull out, no doubt
A newer me in better shape, before he lit out, he lead the chase
My owner fell to the floor, his wig split so fast
I didn't know he was hit, it's over with
Heard mad niggaz screamin, niggaz runnin, cops is comin
Now I'm happy, until I felt somebody else grab me
Damn
Kumbe bro hujafa...shkamoo!
 
Back
Top Bottom