Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Mshauri auze tu Ila sio kiholela lazma mkauziane/mkakabidhiane polisiKuna jamaa yangu mmoja Msukuma aliamua kuomba na akafanikiwa kupewa na kuanza kuimiliki. Alikuwa vizuri kiuchumi. Sasa tangu uncle Magu amechukua nchi jamaa uchumi umeyumba na pesa hana tena. Amebakiwa na bastola kutoka Zchec na hana cha kulinda.
Kweli nimeamini Pesa hailindwi kwa bunduki bali PEN.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app