Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

"Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto"
KWANGU HII NI FIX TU, KWA WALIOKO KWENYE NDOA WATAKUBALIANA NA MIMI. MIAKA 10 MKE WAKO HAJAWAI KUIONA? UNAILAZA WAPI? KUWA SERIOUS KIDOGO MZEE MWENZANGU BASI
Hii kweli ni fix na inaleta mashaka kama kweli anayo..
Ya Mr niliiona wiki ya kwanza tu tunafahamiana mana inamlazimu kuilinda alipo iwepo.,
 
Hapo mtu anajiona very privileged na ka bastola ka moja kameozea ndani ya sanduku miaka 10. Risasi zenyewe unauziwa za kuhesabu. USA unapewa leseni za kumiliki silaha hadi 3 siku moja hapo kwa hapo ukienda Sheriff's Office. Hata AK 47 au AR 15 ruksa. Kila leseni ni $10
 
WanaJF,

Mwaka 2009 niliomba bastola kihalali kwa ulinzi binafsi kutokana na mazingira ya shughuli zangu za kiuchumi, nilipewa bastola aina ya Beretta yenye risasi 12.

Nilipewa masharti, tahadhari na conditions za kuitunza, kutembea nayo na kuihifadhi ili isilete madhara kwangu binafsi, familia na wadau wengine.

Mm ni mtumiaji wa beer vizuri tu, nilijikaza nikasema potelea pote.

Kuna mambo ambayo nimegundua baada ya kuimiliki kwa miaka hiyo 10:

1. Inaleta kakiburi na kujiamini kupitiliza kwa mtu yeyote, mazingira yoyote na kwa hali yoyote. Inaongeza kujiamini sana.

2. Mara nyingi nikilewa huko bar nilikuwa nagombana na washikaji zangu lakini sikuwahi kuitoa wala kufyatua hovyo, hata mke alikuwa anaboa wakati mwingine lakini napiga moyo konde na hakuwahi kuiona na hajui kama nina chombo cha moto.

3. Utembeaji nayo ni mgumu sana maana haitakiwi mtu aione. Nilijitahidi sana sikuwahi kuhisiwa kama ninayo wala kuonesha mtu.

4. Mara kadhaa nikiwa nasafirisha mizigo yangu usiku kwa gari kubwa nimekumbana sana na vibaka wakining'inia kwenye magari, nimeshafyatua kadhaa hewani kujiweka salama.

5. Kwakweli sijawahi kukutana na majambazi nikaitumia. Sijawahi kuvamiwa kamwe

6. Ukiwa nayo mwili unakuwa sensitive sana, bora upoteze pesa kuliko hicho kifaa.

Ushauri:
Kama huna issue kubwa sana, usiombe kumiliki silaha ni mateso sana, kifo ni nje nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakuelewa vizuri sana.

Niliishi Eneo la kijenge, Arusha miaka ya 1998-1999.

Kuna duka la silaha nzito kwaajili ya ulinzi dhidi ya Binadamu na wanyama wakali pamoja na Tochi kali sana linaitwa TANGANYIKA ARMS pale maeneo ya Arusha Naaz hotel...ipo chini ya Mzee S. Mollel

Kuna siku kulikuwa na sherehe nyumbani nipo na Uncle wangu akiwa Mjeda wa TMA wakati anastaafu alinitoa kwenye sherehe na kwenda kuchukua Leseni ya kumiliki Bastola 2 na risasi pia alishaprocess kabla ya kustaafu akapewa na kimfuko cha risasi kutoka kwa mwanamke mmoja pale Crystal Club karibu na sheli iko pale jirani...ni usiku anataka kwenda Meru Inn tumefika Mnara wa Mwenge tupo kwenye gari yule Mama akamwambia mtoe huyu mtoto nje

Uncle akamwambia niache hapa,

Tukashuka nae na kutembea hadi karibu na kaloleni akaniambia ziba masikio upanue mdomo huku anatoa bastola moja ilikuwa imefunikwa na kava kama la Biblia alipiga 3 juu karibu na nyumba za waalimu na uwanja wa kaloleni primary nyingine akanipa nishike amefunika na jacket na ipo covered pia,

Kila saa ananiambia tu huku kuna wahuni sana, huku kuna wahuni sana.

Bastola ni nzito aisee, na ina chuma labda kwa 85% plastiki ni ile cover ya juu tu

Sintasahau ile iliandikwa TAURUS na ina namba yake.

Ukiiweka mfukoni hata kama umetoa risasi zote still unaogopa tu kama hujazoea kushika silaha.

Nilikaza roho mpaka nafika pale jengo la TAKUKURU coz nilifikiri alikuwa ananitoa kafara na nilikuwa chalii mdogo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakuelewa vizuri sana.

Niliishi Eneo la kijenge, Arusha miaka ya 1998-1999.

Kuna duka la silaha nzito kwaajili ya ulinzi dhidi ya Binadamu na wanyama wakali pamoja na Tochi kali sana linaitwa TANGANYIKA ARMS pale maeneo ya Arusha Naaz hotel...ipo chini ya Mzee S. Mollel

Kuna siku kulikuwa na sherehe nyumbani nipo na Uncle wangu akiwa Mjeda wa TMA wakati anastaafu alinitoa kwenye sherehe na kwenda kuchukua Leseni ya kumiliki Bastola 2 na silaha pia alishaprocess kabla ya kustaafu akapewa na kimfuko cha risasi kutoka kwa mwanamke mmoja pale Crystal Palace karibu na sheli iko pale jirani...ni usiku anataka kwenda Meru Inn tumefika Mnara wa Mwenge tupo kwenye gari yule Mama akamwambia mtoe huyu mtoto nje

Uncle akamwambia niache hapa,

Tumetembea hadi karibu na kaloleni akaniambia ziba masikio upanue mdomo huku anatoa bastola moja ilikuwa imefunikwa na kava kama la Biblia alipiga 3 juu karibu na nyumba za waalimu na uwanja wa kaloleni primary nyingine akanipa nishike amefunika na jacket na ipo covered pia,

Kila saa ananiambia tu huku kuna wahuni sana, huku kuna wahuni sana.

Bastola ni nzito aisee, na ina chuma labda kwa 85% plastiki ni ile cover ya juu tu

Sintasahau ile iliandikwa TAURUS na ina namba yake.

Ukiiweka mfukoni hata kama umetoa risasi zote still unaogopa tu kama hujazoea kushika silaha.

Nilikaza roho mpaka nafika pale jengo la TAKUKURU coz nilifikiri alikuwa ananitoa kafara na nilikuwa chalii mdogo.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli ni nzito sana zaidi ya inavyoonekana
 
I GAVE YOU POWER- NAS

Damn! Look how muh-fuckers use a nigga
Just use me for whatever the **** they want
I don't get to say shit
Just grab me, just do what the **** they want
Sell me, throw me away
Niggaz just don't give a **** about a nigga like me right?
Like I'm a f... I'm a gun, shit
It's like I'm a motherfuckin gun
I can't believe this shit...
Word up... (word up)
I seen some cold nights and bloody days
They grab and me bullets spray
They use me wrong so I sing this song 'til this day
My body is cold steel for real
I was made to kill, that's why they keep me concealed
Under car seats they sneak me in clubs
Been in the hands of mad thugs
They feed me when they load me with mad slugs
Seventeen precisely, one in my head
They call me Desert Eagle, semi-auto with lead
I'm seven inches four pounds, been through so many towns
Ohio to Little Rock to Canarsie, livin harshly
Beat up and battered, they pull me out
I watch as niggaz scattered, makin me kill
But what I feel it never mattered
When I'm empty I'm quiet, findin myself fiendin to be fired
A broken safety, niggaz place me in shelves
Under beds, so I beg for my next owner to be a thoroughbred
Keep me full up with hollow heads
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
Always I'm in some shit, my abdomen is the clip
The barrel is my dick, uncircumcised
Pull my skin back and cock me, I bust off when they unlock me
Results of what happens to niggaz shock me
I see niggaz bleedin runnin from me in fear, stunningly tears
Fall down the eyes of these so-called tough guys, for years
I've been used in robberies, givin niggaz heart to follow me
Placin peoples in graves, funerals made cause I was sprayed
I was laid in a shelf, with a grenade
Met a wrecked-up tech with numbers on his chest that say
Five-two-oh-nine-three-eight-five and zero
Had a serial defaced, hopin one day, police would place
Where he came from, a name or some sort of person to claim him
Tired of murderin, made him wanna be a plain gun
But yo I had some other plans, like the next time the beef is on
I make myself jam right in my owner's hand
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
How you like me now? I go blaow
It's that shit that moves crowds makin every ghetto foul
I might have took your first child
Scarred your life, crippled your style
I gave you power
I made you buck wild
Yo, weeks went by and I'm surprised
Still stuck in the shelf with all the things that an outlaw hides
Besides me it's bullets, two vests and then a nine
There's a grenade in a box, and that tech that kept cryin
Cause he ain't been cleaned in a year, he's rusty as clear
He's bout to fall to pieces, cause of his murder career
Yo, I can hear somebody comin in, open the shelf
His eyes bubblin, he said, "It was on"
I felt his palm troubled him shakin
Somebody stomped him out, his dome was achin
He placed me on his waist, the moment I've been waitin
My creation was for blacks to kill blacks
It's gats like me that accidentally, go off, makin niggaz memories
But this time, it's done intentionally
He walked me outside, saw this cat
Cocked me back, said, "Remember me?"
He pulled the trigger but I held on, it felt wrong
Knowing niggaz is waiting in hell for 'im
He squeezed harder, I didn't budge, sick of the blood
Sick of the thugs, sick of wrath of the, next man's grudge
What the other kid did was pull out, no doubt
A newer me in better shape, before he lit out, he lead the chase
My owner fell to the floor, his wig split so fast
I didn't know he was hit, it's over with
Heard mad niggaz screamin, niggaz runnin, cops is comin
Now I'm happy, until I felt somebody else grab me
Damn
Ukimaliza kusoma kichwa kinaanza kuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mwenyekiti wa mitaa hana mipaka ya kazi yake,yeye akijua lazima majirani wajue?
Mwenyekiti ndio ana kazi ya kuuliza hao majirani kuwa blackcornshma kaomba kumiliki silaha je anafaa au miyeyusho? Kuna siku nimetoka job wife ananiambia alikuja mwenyekiti kutuuliza tabia za flani maana kaomba kumiliki mjegejo
 
Mwenyekiti ndio ana kazi ya kuuliza hao majirani kuwa blackcornshma kaomba kumiliki silaha je anafaa au miyeyusho? Kuna siku nimetoka job wife ananiambia alikuja mwenyekiti kutuuliza tabia za flani maana kaomba kumiliki mjegejo
Shukrani mkuu.
 
Naomba muongozo wa kumiliki chuma, mana kuna watu nataka niwawinde.
 
Fix kabisa hii,huwezi miliki bunduki mke asijue!!!bunduki ukimiliki hata majirani lazma wajue

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sifa za bongo lazima wajue,
Siku moja kuna jamaa aliweka gari yake wrong pack, waungwana wakatia chain ya chuma kwenye tairi, kilichotea jamaa aliingia kwenye gari akatoa chuma....loh kilichotokea🏃🏃🏃jamaa akatoa lichuma,chain na kufuri akatupa uko...!
 
Hapo mtu anajiona very privileged na ka bastola ka moja kameozea ndani ya sanduku miaka 10. Risasi zenyewe unauziwa za kuhesabu. USA unapewa leseni za kumiliki silaha hadi 3 siku moja hapo kwa hapo ukienda Sheriff's Office. Hata AK 47 au AR 15 ruksa. Kila leseni ni $10
Kama ni hivyo si unaweza anzisha aseno yako kwa hom.
 
Sawa, tunashukuru kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom