Acha dharau banana hapo uwanja wa ndege kwa miguu tu usipachukulie poa.Hivi wewe ??!!! Banana unaenda kulala ukitokea wapi, seminar ipi, au Kuna stend Gani banana kwamba unasafiri. Au ndio kwamba banana unafasiri kwenda nchi Gani ukalale banana Ili uwahi ndege??
mpwayungu village uko vizuri Sana kwenye hii sekta ya biashara ya ngono/lodge/vyangudoa sijui Ni ulivyo ishi jirani na Sewa/Mboka?Wewe unaenda kwenye madanguro unaita gest? Ingia lodge zipo kibao lakini kama unaenda vigest vya buku tano ili uopoe machangudoa yanayozunguka na kusimama kwenye makorido basi usilalamike
Invoice ngapi zilitoka?Sasa hivi wanawake wako very cheap!
Kuna siku niliamua kuokota namba za wadada kama saba hivi siku hiyo sina kazi nikatulia nikawatongoza randomly wanne walikubali on the spot watatu wakawa na dharura ila still walinielewa,sasa sijui ni maisha yamekuwa magumu au ni uhuru wa kutumia miili yao sijui.
Pana Sheria ndani ya uhuruUchumi huru serikali haiwez kumpangia matumiz ya jengo lake,kalale Serena Hotel hakuna izo mambo Mkuu
Na mnani Zamani sana, kulikua bar Na mnani huko sinza, siku hizi yupo mpaka kwenye gesti, ametisha.Mkaldoyo iyo gesti ni ya shemeji Yako?
Alichomaanisha mleta mada ni usumbufu ktk kupata chumba cha kulala.Sio kweli. Lodge zipo na zinapokea wageni. Kwa jinsi alivyojieleza mtoa mada itakuwa anaenda sehemu zenye biashara ya ngono. Maeneo kama hayo yana usumbufu sababu muda wowote unaweza shangaa mmevamiwa na polisi mkasombwa.
Tatizo la hoteli, lodge na gest ni kasheria walichojiwekea kuwa mwisho saa nne. Yaani uingie saa nane usiku ikifika saa nne ndo mwisho hiyo ndo tabia ya kijinga. Ilitakiwa watu walipe kwa 24hrs. Au basi atlest 20hrs ili 4hrs ziwe kwa ajili ya usafi.
Bado ipo? chaka langu la miaka ya 20000 huko, kipindi hiko chumba elfu 15, ilikuwa inaitwa blue bird nadhaniNend NamNan sinza pale Tshs 40,000 huwezo kosa chumba
😅😅😅Acha dharau banana hapo uwanja wa ndege kwa miguu tu usipachukulie poa.
Inakubalika kupangisha kwa masaa, kosa nj wakikulazimisha ulipe bei ya kulala wakati unatumia nusu saaWadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea
Sawa boss.Alichomaanisha mleta mada ni usumbufu ktk kupata chumba cha kulala.
60% ya lodge nyingi sn zinafanya hivyo..
Tofautisha mgeni toka mikoani na mgeni mwenyeji wa humu humu mjini.
Hivi mkuu ni lini umekwenda lodge na mabegi mkononi?
Wewe unaleta experience ya kwenda lodge bila hata mfuko wa Rambo mkononi,
Mleta hoja anazungumzia mtu akiwa ni mgeni wa kweli na ana mizigo mkononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtuache wahaya... kaingia mitaa ya "wahaya" halafu anataka alale; tabu sana! Kule nasikia unatakiwa umalize shida zako chap umpishe anayefuata bila kupoteza muda. Kama kuna "biashara" nchi hii ziko very sensitive na muda ni huko.
Usipende kulala sehemu za hivyo unaenda kuchota mikosi na nuksi tuu... kama una kipato fikia zako hotel.Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.
Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.
Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea