Interesting hili jukwaa...wewe juzu ulikuwa unasifia jamaa yako katumia laki moja kwenye baa, na wewe kakupa buku 15,ukaona ni pesa nyingi paka umeanzishia uzi ...leo unamkandia huyo jamaa??Wewe unaenda kwenye madanguro unaita gest? Ingia lodge zipo kibao lakini kama unaenda vigest vya buku tano ili uopoe machangudoa yanayozunguka na kusimama kwenye makorido basi usilalamike