Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

Ulikosea njia mzee, huko ulipoingia ni vyumba vya mal@ya.
Duh, hii ilinitokea mwaka 2004 nilikuwa naenda kilwa, nikaenda kulala mbagala ambako zile coaster za kwenda kilwa zinaanzia. Nilitembea hadi miguu ikauma nikaamua kukubali matokeo nikisubiri saa tano ndo nikapewa chumba ila kilikuwa kinanukia k sikupata usingizi nikatoka saa 10 nikakaa nje hadi saa 12 nkaenda stendi.
 
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.

Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.

Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea
Sasa mapema na mabegi ya nn ndugu unalala sa hizo ? Wamekwambia kulala ni kuanzia saa 4 ww unalalamika nn ? Hali ya biashara ni ngumu acha hizo, serikali ikiweka mashart kila mahali tutashindwa kuishi,

N.B : ila kweli inakera maswali ya kindezi ndezi eti unalala au fasta.
 
Hizo siyo nyumba za kulala ni nyumba za sex
Hakuna Kitu nalaani kama kwenda kulala kwenye Nyumba zinazofanya hiyo Kitu, na hata kama nitapata chumba na baadae nikagundua Kuna activities za namna hiyo Asubuhi na mapema nahama!
 
Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta.

Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za kulala.

Sasa ni nyumba za fasta unatakiwa ulipie Kwa masaa, mteja ukionekana na mabegi inamaana unataka kulala chumba hupewi, nenda Gongo la Mboto, Banana au Mbezi huo mchezo umekithiri, unaweza kuzunguka na mabegi kutwa nzima, mamlaka inayohusika fuatilieni uchafu huu unaendelea
Pole Mkuu. Dawa yao inachemka, wataaalam washaona fursa huko jikoni kuna dawa inaitwa RERA inasukwa. RERA yaaani Real Estate Regulatory Authority itakua mwarobaini wa Wapangisha nyumba, Logde, Hotels, Madalali wa Viwanja na kampuni za Upimaji nk nk
 
Hata makondakta huwa hawapendi abiria wa kawe-mbagala ile asubuhi. Wakiona hamshuki wanaanza kujisemea na dereva leo tumebeba waheshimiwa yaani linapoanzia gari mpaka mwisho wa safari.
Muda wote mkondakta wanataka shusha pakia.
Akishusha vichwa 10 apakie 20, ashushe 10 apakie 10.
 
vya bei nafuu vina kero zake, acha kwenda kulala kwenye vi guest house vya shilingi elfu 7, elf 10, au elf 15.

kuanzia sasa, jizoeshe kulala lodge za kuanzia elf 20, elf25 au elf30, huko hakuna upuuzi huo.

tafuta pesa.
Nipe connection ya kuisaka pesa mkuu.
 
Kuna Lodge Gongolamboto inaitwa Monchwari yaani hiyo ukipita karibu ni miguno tuu watu wananyanduana km hawana akili vizuri huwa najiuliza hii Nyumba ya wageni au sehemu ya kunyanduana sjui majirani wapale wanaishi vipi na watoto wao.
 
Kama kamwala hapa studio ile sio nyumba ya wageni ni kituo kikuu cha kubanduana.
 
Siku hizi jamiiForum hakuna msaada wowote bora uombe ushauri polisi.
Na ore wako ukute hayajara chakura! Bia ….. mbaya Zaidi umkute kuruta wa Moshi! Kombati imefungwa kwa mkanda chakavu !…… maweee....yatakwambia ''arooo!!! wewe ni ria- arifu tu! vua viatu sunguka counta mara mocha! amri harariii!!

yaani hutakaa ufikirie kwenda polisi tena kulala!
 
Back
Top Bottom