Nipo Sengerema kwenye nyumba ya kulala wageni, napata majaribu sana kwani naota ndoto za ajabu mno

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
809
1,193
Leo nipo sehemu hii ya Kahunda wilaya Sengerema kwenye nyumba ya kulala wageni inaitwa Mtula G.H. ni gesti ya muda mrefu Sana!

Nilikuja hapa mimi na mke. Kuna kunguni wengi tu, hadi niliomba nibadilishiwe chumba, nilibadilishiwa lakini hali bado ni ile ile! Mida ya saa saba tulipitiwa na usingizi uliofuatiwa na ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naota na kuweweseka kwa sauti nimeona binadam kiungo cha kama binadamu sehemu ya uume wake na mguu mmoja akiwa anataka kuungia humu ndani!

Mimi nilikuwa namzuhia kwa kusoma Qur'an huku nikijitahidi kunyanyuka lakini ilichukua muda sana hadi saa kumi na nusu nafanikiwanafanikiwa, mile nilichokiona kinatoweka na ninamwamsha mwanamke naye ananieleza kuna sauti nilikuwa naitoa nikiwa nimelala.

Pia, naye ananieleza ya kwamba naye ameota njozi za ajabu na alijitahidi kusoma Qur'an ili kujikwamua! Kwani kuna mtu aliyetaka kumuingilia kimwili. Ananipa matumaini tulale M/Mungu atatuepusha na haya majaribu. Samahani kwa uhandishi mbovu!
 
Kuna kunguni wengi tu, hadi niliomba nibadilishiwe chumba nilibadilishiwa lakini hali bado ni ile ile! Mida ya saa Saba tulipitiwa na usingizi uliofuatiwa na ndoto za ajabu ajabu,
Ndoto za ajabu ajabu husaabishwa na mzunguko wa hewa safi kuwa mdogo mahala ulipo lala.
Je, unasemaje kuhusu madirisha ya chumba husika?, Yalikuwa yanaruhusu hewa ya kutosha?
 
Leo nipo sehemu hii ya Kahunda wilaya Sengerema kwenye nyumba ya kulala wageni inaitwa Mtula G.H. ni gesti ya muda mrefu Sana! Nilikuja hapa Mimi na mke. Kuna kunguni wengi tu, hadi niliomba nibadilishiwe chumba nilibadilishiwa lakini hali bado ni ile ile! Mida ya saa Saba tulipitiwa na usingizi uliofuatiwa na ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naota na kuweweseka kwa sauti nimeona binadam kiungo cha Kama binadamu sehemu ya uume wake na mguu mmoja akiwa anataka kuungia humu ndani! Mimi nilikuwa namzuhia kwa kusoma Qur'an huku nikijitahidi kunyanyuka lakini ilichukua muda Sana hadi saa kumi na nusu nafanikiwanafanikiwa, mile nilichokiona kinatoweka na ninamwamsha mwanamke naye ananieleza kuna sauti nilikuwa naitoa nikiwa nimelala, Pia naye ananieleza ya kwamba naye ameota njozi za ajabu na alijitahidi kusoma Qur'an ili kujikwamua! Kwani kuna mtu aliyetaka kumuingilia kimwili. Anapa matumaini tulale M/Mungu atatuepusha na haya majaribu. Samahani kwa uhandishi mbovu!
Kuandika unajua isipokuwa kiswahili ndiyo haukijui.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”«
 
Kajisomea kuran bado wanataka wamninihii waifu wake.
Hajasema kama usiku huo alikula tunda mpaka waifu kuota majini yanamuingilia
 
Sii kwamba wewe na mwanamke wako mlikua mnahangaika kufanya mapenzi usingizi...

Wewe unanganganiza yeye anakukaba usifanikiwe...


Cc: mahondaw
 
Sijakuelewa..

Yani uliota unataka kulawitiwa ama???
Na kama ni hivyo, mpaka unaamka alikua kafikia hatua gani

Sent using Jamii Forums mobile app


Nahis had kukata pumzi kwa hii comment yako yaan naandika huku nacheka balaaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nashukuru umekiri kitu kimoja kikubwa:UANDISHI MBOVU
 
Dah ..nimesahau ni lini nimeota ndoto mbaya jaman...aisee...mie nikiotaga panya panya sina siku mbele napatwa na malaria kaliiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..na nnavyoogopa panya sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baada ya kumaliza kusoma nikarudi kuangalia avatar yako, nikatambua unatu_enjoy tu wewe.
 
Back
Top Bottom