Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

This is all I can say (from shaaban robert)

Nilikuwa ni waridi, furaha ya wasichana
Neno hawakunirudi, wakati wa kukutana
Sasa nanuka baridi, wanionapo waguna
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana.

Walio wakinibusu, walikuwa wengi sana
Wanawake wenye busu, uzuri na usichana
Sasa sina hata nusu, ya wanitajao jina
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana.

Wazuri wenye uturi, na mikono yenye hina
Kila mtu mashuhuri, alipenda kuniona
Nilifaa kwa shauri, na sasa sauti sina
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana

Sasa, na uzee huo si naruhusiwa kula kuona?

We naona umeshameza cialis na sasa imeanza kukusumbua....lol
 
This is all I can say (from shaaban robert)

Nilikuwa ni waridi, furaha ya wasichana
Neno hawakunirudi, wakati wa kukutana
Sasa nanuka baridi, wanionapo waguna
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana.

Walio wakinibusu, walikuwa wengi sana
Wanawake wenye busu, uzuri na usichana
Sasa sina hata nusu, ya wanitajao jina
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana.

Wazuri wenye uturi, na mikono yenye hina
Kila mtu mashuhuri, alipenda kuniona
Nilifaa kwa shauri, na sasa sauti sina
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana

Sasa, na uzee huo si naruhusiwa kula kuona?

I like that piece of Marehemu Shabby Robe
 
Ngabu, Mkjj amesikia kuwa Regis and Kelly ya jana ilikuwa na maneno fulani fulani ya watu wazima sasa leo macho yanamtoka anazani kuwa Kelly atarudia alichosema jana.....lol

Kumbe ndo maana jana alikimbia kwenda kuandikiwa prescription na daktari....lol...

Mwanakijiji...i'm just playin man...
 
They don't have eyes that's why they perceive darkness only! What do you expect a blind person to see? There are millions in Tanzania, Africa and beyond who continue to see light in Nyerere's legacy to this date, and millions more are thankful for the Nyerere's cotribution in improving the lives of the poor. Nyerere's positive role in transforming for the better lives of millions is acknowledged the world over, and the inspiration from the philosophy which he lived is so deeply and passionately upheld by people of good faith, that the likes of Mwijage can do absolutely nothing to erode Nyerere's reputation. Corrupt and selfish people who cherished retaining their priviledged positions at the expense of the poor majority hated Nyerere, and these are the likes of Mr Mwijage who shamelessly seem to possess the satanic courage to usher insults on such a dear leader and great statesman, Julius Nyerere. It is not surprising that some people want to pupularize Mwijage's book and ideas now, probably in support of the "fisadi's" in (and out of) power, preaching selfishness in opposition to patriotism.

Nyerere was a patriotic leader who did the best for his country in keeping with the prevailing circumstances at the time. Millions of people have eyes to see this, and they appreciate dearly. Selfish, greedy, and corrupt people like Mwijage (whom I equate to the chiefs who were willing to sell their kinsfolk to slavery for a piece of loin cloth) wanted to continue to amass wealth and priviledges, at any cost, even if it would include "selling" or killing their own people. Nyerere was smart, he wouldn't let them stand on his way, which makes him a hero for me.

Kithuku you have said all man .I got nothing to add on . Asante sana washindwe wenye mawazo ya Kishetani.Hata wazungu wanamjua Mwalimu hasa wamesha tengeneza documentary wanasema tulikuwa na Maisha mwanadamu Tanzania we just did not know .Leo walio pigwa chini ndiyo wanaleta fitina juu ya marehemu ? Shame on your guys na mwandishi wenu .
 
It depends which side your eyes were looking to. But in totality, the lighter side outweighs by far the Mwijage's rare darker side. Unlike Nyerere, the current leaders are not even ashamed of having themselves, their familly members and friends participate in the darkness acts.
Wakuu, hoja hii ina matusi lukuki! Kila unapoona pana ****** elewa palikuwa na tusi live. Kuna maneno yako censored hapa. Sasa kwa maana hiyo hoja hii kwa vile haijakaa kiungwana NAOMBA niisimamishe hadi mwanzishaji alete hoja katika mtiririko sawia ambapo itaweza kujadilika.

Kumradhi kwa maamuzi haya magumu! I have to do this for now.

BTW: Kuna hoja zinafanyiwa marekebisho na hii nitaifanyia editing ili isomeke vema ama anitumie hoja yake nzima au aiweke in PDF format (kama ndivyo ilivyo).
 
Invisible...

unaweza kuiacha tu hapa ili mwanzisha mada aonekane asivyofaa maana ukiitoa watu hawatajua kilichotokea na kama kawaida yake ataanza kutoa matusi kuwa hoja zake zinahamishwa hapa JF.

Wengi tulishaliona hili na tulikuwa tumeleta lazy boy zetu ili tuone jinsi anavyoexplode. Huyu mstahiki alianzisha kampeni hapa kuwa thread zake zinaondolewa na Mods na sasa hii ingeendelea kukaa hapa ili watu wamuone jinsi alivyo!

Haya ni maoni yangu tu!
 
Hivi kwa nini ikitokea mtu akatoa hoja inayopingana na "Umungu mtu" wa Julius watu wanamrukia as if ni msaliti?

Mi nadhani hapa JF is where we dare talk openly, Nyerere was a human just like me and you. Hii ya kumuona kama Mungu mtu kwamba..the King can do no wrong nadhani si sawa. Watu wanatoa experience zao waliyoyapata na kuyaendure. Please give them a decent recognition hata kama hukubaliani na wanayoyaandika, lakini thats their experience. Kwamba nilisoma bure, it doesnt blind me kwamba kulikuwa na evils zinatendeka. Ni yale yale ya CCM eti chama kilikulea kwa hiyo "huwezi kupinga mzazi"

Nyerere did what any responsible leader should have done. Responsible leadership, fight corruption etc. Na haya ndo inabidi tujifunze kwamba ukipewa dhamana ya uongozi wa umma, usiibe na wala usijilimbikizie mali... lets not be apologetic...we should be bold enough to say this was wrong and this was right! I really dont buy this crap ya kumuona Mwalimu as if is our second God and if anybody says otherwise, we are on his/her nect..its unfair!! Jamaa alikuwa na mapungufu, watu walisweka ndani kwa ajiri ya kuwa na mawazo tofauti, watu walinyang`anywa mali zao walizotafuta kwa jasho simply because Julius alitaka kutekeleza sera zisizotekelezeka za ujamaa! watu walihamishwa vijiji..familia yangu ikiwemo (it was a good move,with good intentions but unplanned and heavy handed). Process haikuwa shirikishi...

Na usishangae mtu leo akiandika kitabu au memoir kuelezea what he new about Mwalimu ...people will come up na kumsulubu simply because mawazo yake hayakubaliani na indoctrination ambazo watanzania tumefundishwa. Kwamba hajawahi tokea kiongozi kama Mwalimu!! nyerere was a good leader for our country no doubt on that, he was a failure on many fronts: Mfano katiba na misingi ya chama kandamizi, poor accountability kwa watawala.... tunayopigana nayo leo..aliiweka yeye..hii mifumo ya kidekteta aliijenga yeye. Kuwa na katiba isiyokuwa na mawazo ya wengi (ya mwaka 1977) aliiweka yeye na ndo maana waliopo leo wanaona hawana haja ya kuibadili kwa sababu inawapendelea wao..on and on...).

Please for the sake of our country we should LEARN from the history and accomodate the views of those we dont agree with.

We shuld be a nation which is ready to learn from its past history na yale mabaya tuya-admit na yale mazuri tuyafanyie kazi. Na wala siyo kila hoja inayolenga kutoa upande wa pili wa shillingi wa Mwalimu tunawaona wajenga hoja kama wasaliti wa taifa. Hell no!

Nyerere was good leader. BUT HE HAD MANY FAILINGS AND WE SHOULD RESPECT AND ACCOMODATE THOSE BOLD ENOUGH TO EXPOSE THEM.
 
Hivi kwa nini ikitokea mtu akatoa hoja inayopingana na "Umungu mtu" wa Julius watu wanamrukia as if ni msaliti?

......

Masanja naona hapa unamiss the whole point na unajichanganya. Kama unataka watu waruhusu Nyerere kupingwa, basi inabidi nawe uwaruhusu watu kuwapinga hao wanaompinga Nyerere.

Kinachotumika hapa ni the same principle, watu wanaompinga Nyerere na wao wanapingwa vilevile, watu wanamwita Nyerere msaliti na wao wanaitwa wasaliti vile vile. Yaani kila mtu ana dare to talk openly.

Unavyoanza kumpinga Nyerere lazima uwe prepared kupingwa kama vile ambavyo watu wanapingana katika hoja zingine zote. Sio lazima kila mtu akubaliane nawewe ndio uone hili au sio mkuu?
 
Wow! you hit it right on the head...

Sidebar: We know Mwanakijiji (your man) is a man of miniature proportions standing only at 5 "2. What is it that really attracted you to him....is it his swagger...his intellect...a combo...?
 
Hivi kwa nini ikitokea mtu akatoa hoja inayopingana na "Umungu mtu" wa Julius watu wanamrukia as if ni msaliti?

nani kamrukia nani..!? - "umungu mtu" wa Julius? duh! mzee hili baraza huru hili sema utakalo huhitaji kibali; lakini usitegemee watu wote warukeruke na kupiga makofi. carry on.
 
Wow! you hit it right on the head...

Sidebar: We know Mwanakijiji (your man) is a man of miniature proportions standing only at 5 "2. What is it that really attracted you to him....is it his swagger...his intellect...a combo...?

I didnt know that Mwanakijiji (my man) is of that proportions.....lol. His intelligency, style, fearless way of doing things, and you know... have all made a complete combo for a perfect attraction!
 
kwa hiyo hili la udini siukubali,,nyerere alitaka tofauti kati ya wananchi isiwe kubwa ,kuna msemo wake "inabidi wengine msimame kimaendeleo ili muwasubiri wengine.." kama si nyerere kuna jamii nchi hii zingebakia manamba,wakati tunapata uhuru tayari mikoa kama kilimanjaro na wakristo walikua mbali.

.....tuwe na shukrani,,,,

Hoja hii nadhani kuna haja ya kuwa merged (kuunganishwa) na topic kadhaa. Ilikuwa sero na sasa imerejea. I will keep a close eye on this. Kama kuna haja ya kuifunga moja kwa moja basi naomba maoni yenu

Invisible
 
Back
Top Bottom