Tuacheni watu wa Msanga, hatuna maneno na mtu, breakfast yetu saaa tano asubuhi, dinner saaa kumi mchana, ugali na dagaa wawili ila mchuzi kwa wingi,
Hatuna noma, Mzee Jk kachola tulikuwa tunatembea kifua mbele, sasa tunaanza kutembea vichwa chini Jk mwanangu aibuuuu, sisi tulikutegemea mkombozi wetu zaramo, sasa vipi mwanangu?