Ni kweli mimi sina uwezo huo. Nasijasema nina uwezo huo.
Ninahakika CHUKI zina uwezo huo ndio maana kwa upendo wangu ..NAKUONYA ...ukome kueneza CHUKI kwenye jamii vinginevyo hakika chuki itakujengea maradhi ..ambayo yatakutesa .. na utajuta. Nasema tena usinibishie.
Point No. 5, umedai Nyerere alisingiziwa kuwa mtanzani wa kwaza kupata Masters degree wakati akina Kibasila, Sewa na Mhimbili walikuwa na PhD tayari . Swali langu lilikuwa hao watu walikuwa na PhD gani? Sijahoji mtu kuitwa Dr bila PhD. Huyo Manyaunyau nishakwambia simjui labda tumzungumzie Prof. Maji Marefu!!
Nyerere hakuwahi kuwa Daktari na wala hajajiwahi kujitangaza hivyo, bali alikuwa akijitangaza siku zote kama "Mwalimu" The closes ni kuwa diploma yake ya ualimu ilikuwa katika Biology na History, na alifundisha Biology kule St Marys kabla hajaenda kusomea hiyo Masters ya Economics na History huko Scotland.
norrow minded guy!! yoote pumba...Mtei alikua BOT wakati nyerere anang'atuka??? tabu ya thinkers waisojua kuanalyise mambo kabla ya kupost.
Ukishangaa ya Jussa utaona ya Maalim.
JK anamchukia JK!
Chuki yangu niliyoienenza ni ipi? anza...
Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Mahesabu mengine ni ya kitoto sana.Siwezi kulinganisha Kichuguu na Mlima lakini nnaweza kutenganisha kama ifuatavyo:
Miaka 27 ya Nyerere wanafunzi walioingia chuo kikuu Tanzania hawazidi laki moja.
Miaka tisa ya Kikwete wanafunzi wanaoigia vyuo vikuu Tanzania ni zaidi ya laki tano kwa mwaka.
Beat that if you can.
Unaonekana umehadithiwa na mtu asie ijua tangangika/ tanzania.ninani kakuambia jkn alikuta nchi haina wasomi mm baba yangu mkubwa kasoma makerere na jkn na mze Abdallah fundikira na aliwahi kuniambia wakati wako makerere walikuwa wtz zaidi 150 sasa kama makerere tu walikuwa 150 vyuo vingine ktk dunia hii walikuwa wangapi?
Na ukumbuke hutuba ya mzee mwinyi aliohutubia daimond na wazee wa mkoa wa dsm alipo sema amekabidhiwa nchi haina akiba ya chochote kile haina akiba ya chakula, mafuta ya magari, pesa benk kuu hakuna ,madawa hakuna nk. Hili amelitamka mzee mwinyi wakati wa uhai wa jkn hajafa na jkn hakukanusha.
Sasa ikulu hiyo yenye mayai na benz zisizo na mafuta zinasaidia nini?
Mm naamini zaidi uchumi wa nchi hii umeanzia kuwa mzuri wakati wa uwongozo wa 1985 huko nyuma hatukuwa na mikakati ya kuisaidia nchi hii zaidi tulielekrza nguvu zetu ktk siasa na ukombozi wa afrika bila kujali wtz wana kula nini.
NN Katika Ubora wake.Anasingiziwa na nani? Kikwete naye siku hizi ni daktari. Je, naye anasingiziwa?
Ushahidi kwamba alishindwa masomo ya sayansi uko wapi? Na kwani wote waitwao madaktari wamesomea masomo ya sayansi? Kikwete naye kasomea masomo ya sayansi?
Sasa kama BOT iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, kwa nini unauliza nani alichukuwa? Nani alichukuwa nini kama hakuna senti moja iliyobakia?
Hata mantiki nyepesi tu zinakushinda! Unasema BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu halafu kwa wakati huo huo unadokeza kwamba huenda Nyerere aliiba. Nyerere ataibaje vitu vyote vilivyoteketezwa na moto? Aliiba majivu?
Tom yuko wapi?
weka hivyo vyet vya baba yako na huyo fundikila hapa km wamesoma
mwaka 1958 kwny uchaguz wa TANU kilichowafany sykes,tambaza,fundikila kukaa pemben na kumuach mwlm jkn walikuwa hawana xhule kichwan
Siwezi kulinganisha Kichuguu na Mlima lakini nnaweza kutenganisha kama ifuatavyo:
Miaka 27 ya Nyerere wanafunzi walioingia chuo kikuu Tanzania hawazidi laki moja.
Miaka tisa ya Kikwete wanafunzi wanaoigia vyuo vikuu Tanzania ni zaidi ya laki tano kwa mwaka.
Beat that if you can.
Unaonekana umehadithiwa na mtu asie ijua tangangika/ tanzania.ninani kakuambia jkn alikuta nchi haina wasomi mm baba yangu mkubwa kasoma makerere na jkn na mze Abdallah fundikira na aliwahi kuniambia wakati wako makerere walikuwa wtz zaidi 150 sasa kama makerere tu walikuwa 150 vyuo vingine ktk dunia hii walikuwa wangapi?
Na ukumbuke hutuba ya mzee mwinyi aliohutubia daimond na wazee wa mkoa wa dsm alipo sema amekabidhiwa nchi haina akiba ya chochote kile haina akiba ya chakula, mafuta ya magari, pesa benk kuu hakuna ,madawa hakuna nk. Hili amelitamka mzee mwinyi wakati wa uhai wa jkn hajafa na jkn hakukanusha.
Sasa ikulu hiyo yenye mayai na benz zisizo na mafuta zinasaidia nini?
Mm naamini zaidi uchumi wa nchi hii umeanzia kuwa mzuri wakati wa uwongozo wa 1985 huko nyuma hatukuwa na mikakati ya kuisaidia nchi hii zaidi tulielekrza nguvu zetu ktk siasa na ukombozi wa afrika bila kujali wtz wana kula nini.
ukiwa na udini inawezekana sana.............:A S-rap: