Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

FaizaFoxy angetumia muda anaotumia kumfuatilia Nyerere kuichunguza dini ya Kiislamu. Angegundua kuwa marehemu mwalimu alikuwa msafi kuliko hayati Muhammad
 
Mkuu niko tofauti na wewe. Nchi zote duniani huwa hazisahau viongozi au binadamu yeyote aliefanya mazuri, kupitia role models hao ndio mwanzo wa Mendeleo, mfano China Wana Mao, India wana Mahatma Gandhi, Marekani wana akina Abraham Lincoln, SA wana Mandela nk. Hili tusonge mbele ni lazima tuenzi mazuri ya Nyerere. Unaposema tumsahau Nyerere maana yake unasema Tuwe wadini, Tuwe Wakabila, Tuwe na Utanganyika/Uzanzibar nk. Moja ya madhara ya kusahau usia wa Nyerere ni pamoja na Ufisadi tunaouona leo kupitia akina Chenge

hapo kuna tofauti kati ya hao unaowataja
kwanza China hawana habari na Mao , wao wanamuna Deo Xiaping ndio mkombozi wao na sio Mao mleta ya ujima na kumwaubudu mtu badala ya Budha.Same kama ilivokuwa hapa
Ghandi hakudhulumu mtu
Lincorn alifuta ukoloni na utumwa hakubagua wala kupendela raia wake , hapa kwetu alilipa kanisa nafasi lijitanue
Mandela alipigana na ubaguzi wa aiana zote , hakua na mawazo ya kuwabagua wazungu au watu wenye asili mbali ya Kiafrika , au pia mandela hakudhulumu au kutaifisha mali za wazungu hivyo yupo tofauti raia wake wote wanamuaona mtu wao

Russia wala hawana haja ya kumuenzi mtu kama Stalin au Lenin
Romania pia hawamuenzi Causuescu
Korea pia hawatamuenzi Kim Ill Sung
Eithiopia nao hawatamuenzi Haille sallasie aliwa ficha kuwa watu wake mamilioni wanakufa njaa
wala Uganda hawata mkumbuka Obote aliewabagua watu wake kwa makabila

ni sheria tu kuwa Nyerere ni baba wa taifa lakini anaenziwa zaidi na wakristo , tujiulize kwa nini ? kwani si waislam ndio wao walompokea kumsaidia kupata uhuru ? iweje tena wabadilike ? jibu aliwabagua baada ya kupata ukubwa
kama alikosoea tumkosoe tu hata kama hayupo ili iwe funzo., na kama zipo sifa zake pia tuzitaje
 
Kuna watu wengine heri wangekuwa wanakaa bondeni.kule kigogo huenda maji ya mvua yangewasomba
 
Hivi kitabia kati ya Nyerere na Mwamedi nani alikuwa na matendo mema?

Mkuu, Mwamedi na Nyerere ni watu wawili tofauti ingawa wote ni wanasiasa. Ni kweli Mwamedi alikuwa Mwanasiasa, lakini yeye kwenye siasa akahamua kuingiza dini, yaani akajiita mtume.

Kwa upande wa Udini/Ethics.

Mwamedi anasema ndugu yako ni mwislam tu, asie mwislam muite Kafirr, tena Usimfanye Mkristo kuwa rafiki yako (sura 5:51).

Kwa upande wa Nyerere, huyu hakutaka udini, alisema kila mtu ni ndugu yaani tusiwe wadini, alisema usimchague mtu kwa sababu yeye ni wa dini yako. Nyerere aliamini watu wote ni ndugu bila kujali dini na Rangi

Kuhusu nani alikuwa na matendo mema, Mwamedi tunamtazama kwa matunda yake, maana Yesu anasema uwezi kuchuma zabibu kwenye miiba, mti mwema uzaa matunda mema. Hivyo ukitaka tabia yake, tazama output zake kama vile tukio la GARISA, WESTGATE, ISIS nk
 
Kuna mada ambayo FAIZA amewahi anzisha halafu ikawa haina chembechembe za Udini?
 
Neno kusingiziwa hapa halikutumika kwa maana halisi. mtu hasingiziwi kufanya mazuri bali yasiyostahili mfono wizi, uuaji, ubakaji n.k. Wenye uelewa wa kiswahili watanisaidia hapa kama nakosea.
Nikirudi kwenye hoja yako ni kama unataka ku - "reverse" historia kwa kupachika mawazo binafsi yasiyo ya kitafiti.Yaliyotokea duniani wakati wa mwalimu yameandikwa na kurekodiwa si na Watanganyika au Watanzania pekee bali na watu wengi dunia nzima. Dunia inamtambua pia kama mwanafalsafa. Kielimu pia ameingia katika historia kwa falsafa yake ya "elimu ya kujitegemea".
Ikiwa Wote hawa walimsingizia basi ilikuwa dunia isiyo na macho na ni ajabu! Basi haya uliyosema ni sawa na kutaka kuuangusha mbuyu kwa kujaribu kuupiga teke!

Yote uliyoandika ni sawa wala sina pingamizi kasoro hilo moja la "kusingiziwa".

Unaweza kabisa kusingiziwa jema kwa kuwa tu kuna malengo fulani. Jee, utakatifu si mojawapo la "kusingiziwa mema"? Fikiri.

Sasa hivi kuna miujiza inatafutwa kwa nguvu ili kuipata dhanna kamili ya utakatifu (Sainthood) kwa utaratibu wa Kanisa Katoliki, sijuwi ni mingapi iliyopatikana mpaka sasa.

Naomba msome Ludovick Mwijage, hapa hapa JF: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mwijage-the-dark-side-of-nyereres-legacy.html
 
hapo kuna tofauti kati ya hao unaowataja
kwanza China hawana habari na Mao , wao wanamuna Deo Xiaping ndio mkombozi wao na sio Mao mleta ya ujima na kumwaubudu mtu badala ya Budha.Same kama ilivokuwa hapa
Ghandi hakudhulumu mtu
Lincorn alifuta ukoloni na utumwa hakubagua wala kupendela raia wake , hapa kwetu alilipa kanisa nafasi lijitanue
Mandela alipigana na ubaguzi wa aiana zote , hakua na mawazo ya kuwabagua wazungu au watu wenye asili mbali ya Kiafrika , au pia mandela hakudhulumu au kutaifisha mali za wazungu hivyo yupo tofauti raia wake wote wanamuaona mtu wao

Russia wala hawana haja ya kumuenzi mtu kama Stalin au Lenin
Romania pia hawamuenzi Causuescu
Korea pia hawatamuenzi Kim Ill Sung
Eithiopia nao hawatamuenzi Haille sallasie aliwa ficha kuwa watu wake mamilioni wanakufa njaa
wala Uganda hawata mkumbuka Obote aliewabagua watu wake kwa makabila

ni sheria tu kuwa Nyerere ni baba wa taifa lakini anaenziwa zaidi na wakristo , tujiulize kwa nini ? kwani si waislam ndio wao walompokea kumsaidia kupata uhuru ? iweje tena wabadilike ? jibu aliwabagua baada ya kupata ukubwa
kama alikosoea tumkosoe tu hata kama hayupo ili iwe funzo., na kama zipo sifa zake pia tuzitaje

Mkuu, Kanisa kujitanua si kwa sababu ya Nyerere, kwanza Nyerere karudisha nyuma kanisa kwa kutaifisha Rasilimali zake. Kanisa linatanuka kutokana na desturi yake, Ukristo ni zaidi ya kanisa, ukristo ni pamoja na kusaidia watu kupitia matibabu kama hospital, kupitia elimu kama shule, kupitia vituo vya kulelea yatima nk. Hata leo hii Palestina kuna Shule na Mahospital ya kanisa, hata Pale Mosul Iraq kulikuwa na Hospital na shule, tatizo IS wamebomoa.
Somalia kwenyewe kuna shirika linaitwa Catholic relief services linahudumia Wasomali na uislam wao, isipokuwa ofisi ziko Nairobi. Marekani kwenyewe 15% ya hospitals ziko chini ya kanisa, so kutokana na desturi hiyo kanisa liko strong popote pale ambapo limeruhusiwa kuwekeza, Nyerere mmehamua kumuonea tu, yaani Idea yake ya kutaifisha shule za Kanisa ili Waislam nao wasome mmeisahau kabisa.

Kuhusu kwamba Nyerere anaenziwa na Wakristo tu huo ni uongo. Waislam wasio muenzi nyerere ni baadhi ya hawa wa mjini tu ambao wamelishwa na mafundisho ya chuki kutoka kwa akina PONDA na akina Marehemu Ilunga, wale walio vijijini wanamtambua Nyerere vizuri sana na kumkubali, labda muende mkawape sumu
 
Yote uliyoandika ni sawa wala sina pingamizi kasoro hilo moja la "kusingiziwa".

Unaweza kabisa kusingiziwa jema kwa kuwa tu kuna malengo fulani. Jee, utakatifu si mojawapo la "kusingiziwa mema"? Fikiri.

Sasa hivi kuna miujiza inatafutwa kwa nguvu ili kuipata dhanna kamili ya utakatifu (Sainthood) kwa utaratibu wa Kanisa Katoliki, sijuwi ni mingapi iliyopatikana mpaka sasa.

Naomba msome Ludovick Mwijage, hapa hapa JF: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mwijage-the-dark-side-of-nyereres-legacy.html

Katika Ukatholic utakatifu haulazimishwi, kama sign za maana zitatokea basi Nyerere ataitwa mtakatifu, isipotokea wala hataitwa mtakatifu. Kuna watu wamependekezwa kuitwa watakatifu tangu miaka ya 1700, mpaka leo hawajatangazwa kuwa watakatifu, so usiwe na wasiwasi na Nyerere, usije kufa kwa presha, kanisa Catholic halilazimishi miujiza
 
It is evidently this Milf (faizafoxy)-- belong to ISIS Boko haram or alshabaab,mtanzania mwenye mapenzi na nchi yake hawezi kuwa na chuki na Mwalimu Nyerere kwa kiasi hiki
 
Mkuu, Kanisa kujitanua si kwa sababu ya Nyerere, kwanza Nyerere karudisha nyuma kanisa kwa kutaifisha Rasilimali zake. Kanisa linatanuka kutokana na desturi yake, Ukristo ni zaidi ya kanisa, ukristo ni pamoja na kusaidia watu kupitia matibabu kama hospital, kupitia elimu kama shule, kupitia vituo vya kulelea yatima nk. Hata leo hii Palestina kuna Shule na Mahospital ya kanisa, hata Pale Mosul Iraq kulikuwa na Hospital na shule, tatizo IS wamebomoa.
Somalia kwenyewe kuna shirika linaitwa Catholic relief services linahudumia Wasomali na uislam wao, isipokuwa ofisi ziko Nairobi. Marekani kwenyewe 15% ya hospitals ziko chini ya kanisa, so kutokana na desturi hiyo kanisa liko strong popote pale ambapo limeruhusiwa kuwekeza, Nyerere mmehamua kumuonea tu, yaani Idea yake ya kutaifisha shule za Kanisa ili Waislam nao wasome mmeisahau kabisa.

Kuhusu kwamba Nyerere anaenziwa na Wakristo tu huo ni uongo. Waislam wasio muenzi nyerere ni baadhi ya hawa wa mjini tu ambao wamelishwa na mafundisho ya chuki kutoka kwa akina PONDA na akina Marehemu Ilunga, wale walio vijijini wanamtambua Nyerere vizuri sana na kumkubali, labda muende mkawape sumu

Kweli alitaifisha shule za kanisa lakini hata za waislam nazo alizitaifisha.
Mm nahisi vijijini anachukiwa zaidi kuliko mjini hasa lililo mchukiza ni uhujumu uchumi.
Ukizingatia waislam wengi ni wajasiria mali kuliko kuajiriwa.
Na usiwaone kina mzee ilunga na ponda tu kila utwala wake unawatu wanauchukia leo tunao kina gwajima na mapadri wengi tu wanaohubiri chuki dhidi ya utawala halali wa ccm na kikwete.
Kuhusu ustawi wa kanisa hili halina shaka kuwa serikali ina msukumo mkubwa ktk ustawi huo leo serikali inatoa mabilion ya shg kwenda ktk kanisa na sijawahi kusikia Cag akikagua matumizi ya pesa hizo.
Kama mm mtu wa mtaani nitajuaje kama zinatumika kwa malengo yalio kusudiwa?
Nikisema pesa hizo zinajenga makanisa zina nunua magari ya mapdri zinasomesha wakiristo tu nk nitakuwa nimekosea?
 
Katika Ukatholic utakatifu haulazimishwi, kama sign za maana zitatokea basi Nyerere ataitwa mtakatifu, isipotokea wala hataitwa mtakatifu. Kuna watu wamependekezwa kuitwa watakatifu tangu miaka ya 1700, mpaka leo hawajatangazwa kuwa watakatifu, so usiwe na wasiwasi na Nyerere, usije kufa kwa presha, kanisa Catholic halilazimishi miujiza

Presha sina na nimekuelwa unaposema "kanisa Catholic halilazimishi miujiza", lakini wafuasi wake hawawezi kusingizia mema ili tu kipenzi chao awe "mtakatifu"?

Msome: Ludovick Simon Mwijage kitabu chake kinaitwa Julius K. Nyerere: Servant of God or Untarnished Tyrant?
 
Kuna vitu ambavyo tunaweza kutafakari kuhusu namna mtu anavyoweza kuwa maarufu. Baadhi yake ni:
  1. Wakati anaoishi huyo mtu
  2. kazi au huduma anayoifanya (mfano siasa, muziki, dini ..)
  3. idadi ya watu anaowahudumia
  4. uhusiano wake na watu
  5. mahitaji ya watu
  6. hali ya hao watu (elimu, mali n.k.)
Kimsingi na kubwa hasa Nyerere aliingia katika hitoria kutokana na wakati alioishi. Watanganyika walikuwa wakitawaliwa wako nyuma; waafrika kote duniani walikuwa wameteswa, wanyonge n.k. kwa hivi Nyerere aliyakabili hayo kwa juhudi kubwa na hapo ndipo sifa zake zilipoenea. Kwa vyovyote angezaliwa leo hali ingekuwa tofauti.
 
FaizaFoxy unamchukia na kumuandama sana Mwalimu Nyerere.....it's the same as mpwa wako JK anavomchukia, sijui amewakosea nini!
 
Last edited by a moderator:
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.

Kweli wewe ungetamani umfuate huko aliko umpe sumu.
Tuna viongozi 3 tu wazalendo Tanganyika/Tanzania hii hadi sasa.
1. Julius Nyerere
2. Edward Sokoine
3. Joseph Warioba.
Hatujui kama watatokea wengine punde.
 
Huku zanzibar akitajwa mchonga meno watu husema laanatulah,laana za mwenyezi mungu zimshukie huko aliko.
 
unataka kulinganisha I.Q ya Kikwete na Nyerere? Ni kama kichuguu na Kilimanjaro

IQ ya kikwete ni kubwa sana anagalia mafanikio yake kwa miaka 10 tu alio ikaa ikulu. Anzia elimu, afya, miundo mbinu, mawasiliano nk....
Ndio utajua nini maana IQ mtu amekaa robo karne ikulu lakini tulikuwa tunakaa fuleni ya boflo tu. Sembuse mahitaji mengine.
Jiulize robo karne alikuta lami km ngapi na alicha km ngapi? Mm ninayoijua ni dar to tunduma na sijui kama hawakujenga mzee mabotu na kaunda..kwa kuwa walikuwa wanapitishia mizigo yao.
 
Kuna vitu ambavyo tunaweza kutafakari kuhusu namna mtu anavyoweza kuwa maarufu. Baadhi yake ni:
  1. Wakati anaoishi huyo mtu
  2. kazi au huduma anayoifanya (mfano siasa, muziki, dini ..)
  3. idadi ya watu anaowahudumia
  4. uhusiano wake na watu
  5. mahitaji ya watu
  6. hali ya hao watu (elimu, mali n.k.)
Kimsingi na kubwa hasa Nyerere aliingia katika hitoria kutokana na wakati alioishi. Watanganyika walikuwa wakitawaliwa wako nyuma; waafrika kote duniani walikuwa wameteswa, wanyonge n.k. kwa hivi Nyerere aliyakabili hayo kwa juhudi kubwa na hapo ndipo sifa zake zilipoenea. Kwa vyovyote angezaliwa leo hali ingekuwa tofauti.
Tanzanians nakumbuka nyerere kwa jinga naleta,na dunia nakumbuka yeye kama dictator na mwizi.
 
Back
Top Bottom