Huku ndiko wapambe nuksi!
Kufanya mlinganyo wa aina hiyo nikumdhalisha unayedhani unampamba.
Kazi ya kupamba si mchezo eti.
Naomba kama unampenda Mhe.Raisi basi baki kwenye njia Kuu-yaani usichepuke mpaka kwenye vitu ninavyoshusha hadhi.
Kubwa hasa kumlinganisha Kambarage na Kikwete utasubiri sana hasa eneo la utendaji na nini kila Mmoja amefanikisha katika Utawala wake.
Wengi wanamsifia nyerere aidha wanasikia hotuba zake hizi baada ya kuwa yupo benchi , alikua hodari na mjuzi wa kukosoa ,
Wengi hawakuona utawala wake kwa macho. Hawakusikia miaka ile kuwa hotuba zake zilikua za vitisho tu.
kuna wakati Sadam alimhukumu mawaziri wake kwenye mkutano wa hadhara na wale wakapotezwa , ni ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu kufanywa nabSadam Hussein.MKosaji akikosa mpeleke mahakamani hata kama mahakama ina walakini lakini unafat sheria za nchi.
Nyerere huyu huyu 1968 pale mnazi mmoja mbele ya mkutano wa hadhara aliwakamata balozi wa TAnzania marekani OThman Sharif na MAkamo wa rais wa ZAnzibar akawaleta pale mnazi mmoja wakiwa na pingu, akawahukumu pale , yeye akawa mahakama akawa shahidi na mwendesha mashataka. Akawatoa na kuwambia mnakwenda Zanzibar mukamalizwe.
Hawakuonekana tena hata makaburi yao.
Tukimzungumza hatufanyi udini, lakini wanaomtetea bila shaka ni wakristo kwa sababu walifaidi na aliwapendelea mnoo akawajaza kila mahala.
Kuna mmoja alisema NYerere aliondoa ukabila , hata siku moja , alichoondoa ni mishahara ya machifu , ila machifu walikuwepo m
Na mpaka leo wapo.
Wakati ule ukienda NIC BIma utafhani upo MBeya , wanyachusa watupu , hivo hivo NBC , atc, THB, TRA ,kila sehemu mkuu akiwa kabila fulani basi timu nzima kutoka nyumbani. Haya yalifanyika akiyajua na hakuyakemea hata siku moja , thn tunakuja hapa kudsnganyana.
Aliyofanya iddi amni ya kunyanganya watu na yeye alifanya na pia alikuja na africanazation ikawatoa wote wasio waafrika na waislam serikalini.
Siddhani kama alikua anaambilika kitu , hakua anasikiliza mawazo ya wengine ndio maana kina kambona , bibi titi. Fundikira , kasela bantu aliwatia ndani kwani hakupenda kukosolews.
Tunafahamu namana tulivo kuwa tunapanga foleni za chakula na petrol kwa card ya ration ,
Tunakumbuka nguo sote tunavaaa sare
Haya yote faiza anamzingizia !!!