Nyerere alisingiziwa mengi sana

Nyerere alisingiziwa mengi sana

Maalim nakusoma tariiiiiiiib

Hivi na wewe ni mfuasi wa mtume alieoa mke wa mwanae wa kulea? Sura 33:37

And [remember, O Muhammad], when you said to the one on whom Allah bestowed favor and you bestowed favor, "Keep your wife and fear Allah ," while you concealed within yourself that which Allah is to disclose. And you feared the people, while Allah has more right that you fear Him. So when Zayd had no longer any need for her, We married her to you in order that there not be upon the believers any discomfort concerning the wives of their adopted sons when they no longer have need of them. And ever is the command of Allah accomplished.
 
Mkuu wangu hawa vijana mtihani sana huyo Nyerere kwa mara ya kwanza kukunyanga Dar es Salaam mwaka 1952 kapokelewa na wazee wetu wakampa hifadhi leo hii tena tunaambiwa yeye ndiyo muasisi wa taifa letu.

Kweli Nyerere kasingiziwa mengi sana.

Wazee wa Kariakoo walikuwa wanapigania Maslahi ya Kariakoo tu.Walikuwa hawajui kama Mwanza,Tabora,Mbeya,Kilimanjaro na Ruvuma nayo ni Tanganyika.Soma Vizuri Historia utaelewa Upeo waliokuwa nao wazee wa Kariakoo.Kama hujaathiriwa na Elimu ya Utotoni uliyopewa na Wazee wako utaelewa Malengo ya Chama cha AA na Vingine vilivyokuwepo kabla ya TANU.
 
nimesoma huu uzi hadi nimesikitika kwamba hadi vichaa sasa wamejaa JF
 
Wazee wa Kariakoo walikuwa wanapigania Maslahi ya Kariakoo tu.Walikuwa hawajui kama Mwanza,Tabora,Mbeya,Kilimanjaro na Ruvuma nayo ni Tanganyika.Soma Vizuri Historia utaelewa Upeo waliokuwa nao wazee wa Kariakoo.Kama hujaathiriwa na Elimu ya Utotoni uliyopewa na Wazee wako utaelewa Malengo ya Chama cha AA na Vingine vilivyokuwepo kabla ya TANU.
Wewe punguani kweli sasa ilikuaje Nyerere aje Dar kwa nini asiunde Tanganyika huko Butuiama.
 
Wanasaikolojia wanasema mwanadamu yeyote ujengwa akiwa mdogo. Mtu kama wewe, na FaizaFoxy, Mkiwa watoto wadogo kabisa mlipitishwa kwenye chuko cha chuki, chuo cha kuzalisha Magaidi ( a.k.a Madrasa) ni vigumu sana mkawa na Upendo. Imagine wewe ukiwa na miaka 4 unaambiwa fulani ni Kafirr, ni adui ya Uislam, unategemea nini?. Matokeo yake ni kama Yule kijana wa Kiislam kutoka TZ aliekamatwa Garisa baada ya kushindwa kujiripua

Wakati mimi nasomeshwa kwenye hizo madrasa nilifundishwa kuuliza maswali na nilipewa Uhuru wa Kukataa na Kupinga lolote ambalo linakwenda kinyume na Maadili hata km ni amri imetoka kwa KIONGOZI wa juu kabisa wa Dini Au Serikali.
Nyie wakristo Uhuru wa Kuumuliza viongozi wenu Makanisani Hamkupewa na Chochote mtakachoambiwa Mnaitikia "Tawiile baba" kwa sauti ya chini kabisa.
Ndio maana Kesi za unakaji na Udhalilishaji watu Kijinsia pamoja Na Mimba za Ghafla Zimejaa mno Makanisani Duniani Kote.
Na hali Hii HAIWEZI KUBADILIKA TENA! It is Too late for it.
Labda Muukimbie Ukristo kabisa. Na kuhamia Kwenye Dini Iliomfundisha binaadamu Kutumia Maji baada ya Kumaliza Haja kubwa na Sio zile za Kuchambia Makaratasi.

Karibu sana Kakende aka kapumbu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu hawa vijana mtihani sana huyo Nyerere kwa mara ya kwanza kukunyanga Dar es Salaam mwaka 1952 kapokelewa na wazee wetu wakampa hifadhi leo hii tena tunaambiwa yeye ndiyo muasisi wa taifa letu.

Kweli Nyerere kasingiziwa mengi sana.

Kumbe wazee wakikupokea Dar hata wakiwa katika ukoloni tayari wao ndio waliounda taifa hili? Bongo lala
 
Jf ina mambo makubwa lakini mengine tupunguze kama haya tusiyoweza weka kwenye gazeti na tv
 
Nyerere wetu, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania, kasingiziwa mengi sana.

Ntaanza kuyataja hapa mambo 7 aliyosingiziwa na ntatowa sababu kwanini kasingiziwa.

1) Nyerere anasingiziwa kuwa kapigania Uhuru wa Tanganyika.

Si kweli, Nyerere hakupigania "Uhuru wa Tanganyika". Vita gani alivyopigana kudai Uhuru kama "Kapigania Uhuru"?

2) Nyerere anasingiziwa kuwa kaasisi TANU.

Si kweli, Nyerere hakuasisi TANU wala hajatowa jina la TANU.

3) Nyerere anasingiziwa kuwa ni mzalendo na anawaamini na kuwapenda Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, Nyerere hajawahi kuipenda Tanganyika. Kwanini aliifuta kwenye ramani ya dunia kama anaipenda?

Si kweli, kuwa ni mzalendo. Nyerere hajawahi kumuamini mtu yeyote mwenye asili ya Kiafrika, Nyerere alimuamini mtu mmoja tu katika maisha yake yote, nae ni Mzungu aliyekuwa katibu wake mpaka kufa kwake.

4) Nyerere anasingiziwa kuwa ni Daktari.

Si Kweli, Nyerere alishindwa kwenye sayansi na akaamuwa kuchukuwa masomo ya sanaa, Nyerere ni msanii.

5) Nyerere anasingiziwa kuwa ni msomi wa kwanza kutokea Tanganyika mwenye "Masters Degree".

Si kweli, kuna Watanganyika waliokuwa na udaktari "Phd" kabla yake, ushahidi ni akina Muhimbili, Sewa Haji, Kibasila na wengi wengineo.

6) Nyerere anasingiziwa kuwa ni kipenzi cha Watanganyika na Watanzania.

Si kweli, hakuna kiongozi Tanzania hii aliyewahi kutaka kupinduliwa au kuuliwa mara nyingi zaidi ya Nyerere.

7) Nyerere anasingiziwa kuwa hajaiba,

Si kweli, BOT kabla ya Nyerere kung'atuka iliwaka moto na hakuna senti moja iliyobakia, ni nani alichukuwa? ni nani alichunguza?

Kamasi Nyerere aliyeiba basi ni Mtei wa Chadema, aje hapa Mtei bado yuko hai, ni vipi BOT iliwaka moto mpaka kuteketeza kila kitu?

Mengine malizia wewe, mimi nikirudi naonesha jinsi alivyo singiziwa mengi mengine.

Nikirudi narudi na mengine saba aliyosingiziwa Nyerere.
norrow minded guy!! yoote pumba...Mtei alikua BOT wakati nyerere anang'atuka??? tabu ya thinkers waisojua kuanalyise mambo kabla ya kupost.
 
Ukijiamini na kupata ushauri wa Kiroho ambao ni sahihi utapata amani Moyoni wala hautaangaika na watu waliokwishafariki.Njoo kwa Yesu utapata amani na utakuwa mtu mpya.Utawashangaa sana ambao bado hawajamjua yesu maana wanalalamika tu bila kutafuta ufumbuzi wa Matatizo yanayowakabili.Utaijua KWELI nayo KWELI itakuweka huru na utakuwa huru kwelikweli.

Hawa hapa wameshampoe Yesu.
Tazama Walivyo huru.

View attachment 250789

View attachment 250790

View attachment 250791

Uhuru wa kulishwa majani, kunyweshwa Petroli Na Kumuoa Mwanamme mwenzangu Tu kwa sababu PADRI au Mchungaji Kasema Basi Uhuru huo Nakuachia wewe na Kakende.
Mimi sina haja nao kabisa nyie endeleeni kuwa Huru.

Na Nadhani Waungwana Wengi hapa JF watakubaliana na mimi kwamba Uhuru ambao Ukristo Unautoa kwa wafuasi wake HAUFAI kuwapa hata kwa Wanyama.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mimi nasomeshwa kwenye hizo madrasa nilifundishwa kuuliza maswali na nilipewa Uhuru wa Kukataa na Kupinga lolote ambalo linakwenda kinyume na Maadili hata km ni amri imetoka kwa KIONGOZI wa juu kabisa wa Dini Au Serikali.
Nyie wakristo Uhuru wa Kuumuliza viongozi wenu Makanisani Hamkupewa na Chochote mtakachoambiwa Mnaitikia "Tawiile baba" kwa sauti ya chini kabisa.
Ndio maana Kesi za unakaji na Udhalilishaji watu Kijinsia pamoja Na Mimba za Ghafla Zimejaa mno Makanisani Duniani Kote.
Na hali Hii HAIWEZI KUBADILIKA TENA! It is Too late for it.
Labda Muukimbie Ukristo kabisa. Na kuhamia Kwenye Dini Iliomfundisha binaadamu Kutumia Maji baada ya Kumaliza Haja kubwa na Sio zile za Kuchambia Makaratasi.

Karibu sana Kakende aka kapumbu

Dah, haya mambo ya kujitoa ufahamu. Sharia ya Kiislam inasema ukimpinga Mohammad uuwawe, huo ndio uhuru wa kuhoji? Unaweza kwenda Syria, Iran, Saudi Arabia, Afghanistan ukasimama ukahoji maswali yafuatayo ukabaki salama?, mfano. Kwanini Mtume Mohammad alioa wanawake zaidi ya 4 wakati Uislam unakataa, Kwanini Mohammad alichangia mke/Puchuchu na mwanae wa kulea?
 
Wewe punguani kweli sasa ilikuaje Nyerere aje Dar kwa nini asiunde Tanganyika huko Butuiama.

Acha Matusi pamoja na kwamba najua malezi ya Utotoni yamekuathiri.Nyerere alifika Dar kufundisha Pugu Sekondari.Kwa sababu alikuwa Mtu mwenye Maono na Mapenzi Makubwa kwa watanganyika alianzisha Harakati za Kudai Uhuru wa Tanganyika nzima na sio Kariakoo.Hao Wazee wa Kariakoo hawakuwa na Ubavu wa Kumsogelea Mzungu.Waliogopa kuuawa kwa hiyo wakamtanguliza Nyerere kama chambo.Soma Historia Kijana bila Jazba wala usiendekeze sana Elimu ya Utotoni maana itakupoteza.
 
Wewe punguani kweli sasa ilikuaje Nyerere aje Dar kwa nini asiunde Tanganyika huko Butuiama.

Unajadili na Mlokole unategea Atashirikisha kichwa?
Hapa utakesha Akhui.

Mtu anakwambia Waislamu Walikuwa wanapigania Uhuru wa Kariakoo huyo Anafiki hata kidogo kweli?
Aliyepa jina La Kondoo hakukosea hatta kidogo.
 
Great Thinkers yale mambo 7 aliyoyaleta FF ndiyo ya kujadiliwa, Je kuna ukweli katika hayo? sisi wengine tumeathirika na hiyo awamu ndiyo maana tunaitwa STDVII ya zamani. Back to topic
 
Dah, haya mambo ya kujitoa ufahamu. Sharia ya Kiislam inasema ukimpinga Mohammad uuwawe, huo ndio uhuru wa kuhoji? Unaweza kwenda Syria, Iran, Saudi Arabia, Afghanistan ukasimama ukahoji maswali yafuatayo ukabaki salama?, mfano. Kwanini Mtume Mohammad alioa wanawake zaidi ya 4 wakati Uislam unakataa, Kwanini Mohammad alichangia mke/Puchuchu na mwanae wa kulea?

Leta ushahidi wa Hio Amri.
Mipasho na Maneno ya Rusha roho peleka MMU hapa unachafua mazingira.
Amri hio Utaikuta ktk LUKA 19:27 pale yesu aliposema:-

"Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-"

Naona Umechanganya Frequency!
 
Hawa hapa wameshampoe Yesu.
Tazama Walivyo huru.

View attachment 250789

View attachment 250790

View attachment 250791

Uhuru wa kulishwa majani, kunyweshwa Petroli Na Kumuoa Mwanamme mwenzangu Tu kwa sababu PADRI au Mchungaji Kasema Basi Uhuru huo Nakuachia wewe na Kakende.
Mimi sina haja nao kabisa nyie endeleeni kuwa Huru.

Na Nadhani Waungwana Wengi hapa JF watakubaliana na mimi kwamba Uhuru ambao Ukristo Unautoa kwa wafuasi wake HAUFAI kuwapa hata kwa Wanyama.

Bado hujamjua Yesu vizuri.Pamoja na kujitahidi kusoma Biblia na kuufatilia Ukristo,Bado umepungukiwa kitu kimoja nacho ni kupata Ufafanuzi kuhusu Yesu Kristo.Jitahidi upate Maelezo kutoka kwa Mchungaji aliyekaribu kuhusu neno la MUNGU aliye hai nawe utauona Utukufu wa Mungu.Achana na Dini inayokufundisha Visasi,Chuki na Matusi.Yupo Mungu ambaye anauwezo kuliko huyo unayemwabudu na kukutia hasira mpaka kwa Wafu.Bado una nafasi,Achana na hiyo Dini uliyoridhi kutoka kwa Wazazi wako maana wao walipotea.
 
Leta ushahidi wa Hio Amri.
Mipasho na Maneno ya Rusha roho peleka MMU hapa unachafua mazingira.
Amri hio Utaikuta ktk LUKA 19:27 pale yesu aliposema:-

"Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-"

Naona Umechanganya Frequency!

Naona unajitahidi sana kusoma Biblia,Hongera.Bila Shaka utajua kweli hivi karibuni nawe utatoka Gizani.Hicho kifungu ulichokiandika soma Kuanzia LUKA 19:11-27, tena Soma Mathayo 25:14-30 utaelewa japo kidogo kwamba Yesu ndie Mfalme wa Amani na hufundisha kwa Mifano ili watu waelewe vizuri.Jitahidi uijue KWELI ili uachane na imani Potofu zinazofundisha Chuki na Visasi.Ukikjua Yesu utapata amani pamoja na Familia yako wala hutasikia Mtoto wako akija kulalamika au kujiunga na Vikundi vya Ugaidi.Kuwa na Yesu ni Raha sana.
 
Dah, haya mambo ya kujitoa ufahamu. Sharia ya Kiislam inasema ukimpinga Mohammad uuwawe, huo ndio uhuru wa kuhoji? Unaweza kwenda Syria, Iran, Saudi Arabia, Afghanistan ukasimama ukahoji maswali yafuatayo ukabaki salama?, mfano. Kwanini Mtume Mohammad alioa wanawake zaidi ya 4 wakati Uislam unakataa, Kwanini Mohammad alichangia mke/Puchuchu na mwanae wa kulea?

Mkuu Kakende, hayo maswali hata kabla ujamaliza swali la pili ni lazima Wajityoa Muhanga 10 watakuwa tayari wamevaa mabomu, maana hawa jamaa siku hizi wana stoo za mabomu misikitini kama tulivyoona Morogoro
 
Ahsante sana nimekubali na nimeridhika na majibu yako lakini haujamalizia namba 4 ilipoanzia hayo hayo ya namba tano.

Tuchambulie na hilo tafadhali.

Nyerere hakuwahi kuwa Daktari na wala hajajiwahi kujitangaza hivyo, bali alikuwa akijitangaza siku zote kama "Mwalimu" The closes ni kuwa diploma yake ya ualimu ilikuwa katika Biology na History, na alifundisha Biology kule St Marys kabla hajaenda kusomea hiyo Masters ya Economics na History huko Scotland.
 
Leta ushahidi wa Hio Amri.
Mipasho na Maneno ya Rusha roho peleka MMU hapa unachafua mazingira.
Amri hio Utaikuta ktk LUKA 19:27 pale yesu aliposema:-

"Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-"

Naona Umechanganya Frequency!

Mbona hapo bwana Jesus alikuwa anatoa mfano wenye mafunzo, wewe unasoma Bible kama Hadith za Novel? Yesu hakuuwa hata Sisimizi

Luka 19:12-28

12 Basi akasema, Mtu mmoja, kabaila, alisafiri kwenda nchi ya mbali, ili ajipatie ufalme na kurudi.
13 Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.
14 Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.
15 Ikawa aliporudi, ameupata ufalme wake, aliamuru waitwe wale watumwa aliowapa fedha, ili ajue faida aliyopata kila mtu kwa biashara yake.
16 Akaja wa kwanza, akasema, Bwana, fungu lako limeleta faida ya mafungu kumi zaidi.
17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.
18 Akaja wa pili, akasema, Bwana, fungu lako limeleta mafungu matano faida.
19 Akamwambia huyu naye, Wewe uwe juu ya miji mitano.
20 Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka akiba katika leso.
21 Kwa maana nilikuogopa kwa kuwa u mtu mgumu; waondoa usichoweka, wavuna usichopanda.
22 Akamwambia, Nitakuhukumu kwa kinywa chako, mtumwa mwovu wewe. Ulinijua kuwa ni mtu mgumu, niondoaye nisichoweka, na kuvuna nisichopanda;
23 basi, mbona hukuiweka fedha yangu kwa watoao riba, ili nijapo niipate pamoja na faida yake?
24 Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
25 Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi.
26 Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
28 Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu.
 
Mkuu Kakende, hayo maswali hata kabla ujamaliza swali la pili ni lazima Wajityoa Muhanga 10 watakuwa tayari wamevaa mabomu, maana hawa jamaa siku hizi wana stoo za mabomu misikitini kama tulivyoona Morogoro

Gaidi wa kwanza DUNIANI amenukuliwa ktk BIBILIA kwa Jina la SAMSON ambae aliuwa zaidi ya Watu wasio na hatia zaidi ya alfu tatu.!!
Na Wagalatia wanamuimbia nyimbo za kumpongeza kila siku.
Sasa sijui unaandika nini hapa.
 
Back
Top Bottom